Mkae chonjo, msije mkabweteka kwa tamko la jana mkajiachia huru mkanasa kwenye mtego kwa siku ya leo ya Pasaka, mkumbuke tamko limelaani tu wala halijaweka wazi sehem yoyote kwamba kuna hatua zozote zimechukuliwa kusitisha vipigo na kukamata wanaokula hadharani.
Vichakani, kula kwa machale uwe eneo unaloweza kutokemea, ukikamatwa huna tofauti na paka aliekamatwa anakula samaki walioanikwa kwa jirani
Vyooni, Jaribu kutafuta vyoo vya staff huwa angalau ni visafi ila usisahau pafyum au air conditioner
Gesti, lipia chumba ficha chakula chini ya godoro uende kwenye mitoko yako ila muda wa kula urudi gesti kula.
Mapangoni, nunua tochi uweze kumulika ukiwa huko ndani japo inahitaji ujasiri sana kuna stori za kufugwa majini huko
Uvungu wa gari, watu wala hawatakuwa na time na wewe watadhani ni fundi