Ole wako ukamatwe: Zanzibar kulaani ilikuwa ni zuga tu, kwenu wakristo leo ni pasaka ila muwe makini mkiwa nje, Hizi ndio sehem pekee salama kula

Ole wako ukamatwe: Zanzibar kulaani ilikuwa ni zuga tu, kwenu wakristo leo ni pasaka ila muwe makini mkiwa nje, Hizi ndio sehem pekee salama kula

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Mkae chonjo, msije mkabweteka kwa tamko la jana mkajiachia huru mkanasa kwenye mtego kwa siku ya leo ya Pasaka, mkumbuke tamko limelaani tu wala halijaweka wazi sehem yoyote kwamba kuna hatua zozote zimechukuliwa kusitisha vipigo na kukamata wanaokula hadharani.

Vichakani, kula kwa machale uwe eneo unaloweza kutokemea, ukikamatwa huna tofauti na paka aliekamatwa anakula samaki walioanikwa kwa jirani

Vyooni, Jaribu kutafuta vyoo vya staff huwa angalau ni visafi ila usisahau pafyum au air conditioner

Gesti, lipia chumba ficha chakula chini ya godoro uende kwenye mitoko yako ila muda wa kula urudi gesti kula.

Mapangoni, nunua tochi uweze kumulika ukiwa huko ndani japo inahitaji ujasiri sana kuna stori za kufugwa majini huko

Uvungu wa gari, watu wala hawatakuwa na time na wewe watadhani ni fundi
 
Kama ni sheria ilipitishwa na bunge la Zanzibar bajeti ya kununua fimbo itengwe tu sina cha kusema zaidi.
 
Vichakani
Vyoo
Mabafu
Mapangoni
Uvungu wa magari
Huu ni upumbavu tu, Mnashindwa kudhibiti vizazi vyenu juu ya Mapenzi ya Jinsia moja na sasa mpaka akina afande Rama wanajirekodi wakizibuliwa mitaro mnaona sahihi.
Pale Forozan Dawa za kulevya nje nje na mateja kibao.
Lkn cha ajabu mnatumia nguvu nyiiiingi kueneza chuki na kulamizisha sheria za kikuda pimbi nyie, Dini zimewamalizia ubongo kichwani.
2025 siyo mbali tunawafyekelea mbali jeuri ipungue, kinapachikwa chuma mpaka huko Mchambawima mkae sawa.
 
Zanzibar ilitakiwa iwe nchi ya Kiislamu.
Nina uhakika wanaumia sana kuchanganyika na watu wa Dini nyingine
Ila hawasemi kutokana na ukweli kuwa Wazanzibari wengi wako huku Bara wakinufaika na fulsa za Ajira, Kumiliki mali na Kujiajiri.
Hawa watu wanapendana wenyewe kwa wenyewe tu.
 
Mkae chonjo, msije mkabweteka kwa tamko la jana mkajiachia huru mkanasa kwenye mtego kwa siku ya leo ya Pasaka, mkumbuke tamko limelaani tu wala halijaweka wazi sehem yoyote kwamba kuna hatua zozote zimechukuliwa kusitisha vipigo na kukamata wanaokula hadharani.

Vichakani, kula kwa machale uwe eneo unaloweza kutokemea, ukikamatwa huna tofauti na paka aliekamatwa anakula samaki walioanikwa kwa jirani

Vyooni, Jaribu kutafuta vyoo vya staff huwa angalau ni visafi ila usisahau pafyum au air conditioner

Gesti, lipia chumba ficha chakula chini ya godoro uende kwenye mitoko yako ila muda wa kula urudi gesti kula.

Mapangoni, nunua tochi uweze kumulika ukiwa huko ndani japo inahitaji ujasiri sana kuna stori za kufugwa majini huko

Uvungu wa gari, watu wala hawatakuwa na time na wewe watadhani ni fundi
Duh, tulikofikishwa ni shida
 
Wewe endelea tu kutumia zile dawa zako za huo ugonjwa wako wa akili ukiziwacha utarudishwa tena Mirembe sheria zipo znz wewe mtanganyika inakuuma kitu gani sii ubaki kwenu tanganyika
Imesimama njoo ukalie
 
Back
Top Bottom