Ole wenu wanawake hakuna mwanaume atakaye kubaliana na huu upuuzi ni mara mia usikubali kuchanua mapaja kama unajijua huwezi kuomba ruhusa kwa mumeo

Loading failed

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2023
Posts
2,603
Reaction score
7,501
Ndugu zangu..

Ukweli ni kwamba mwanaume aliumbwa kutawala na kumcolonize mwanamke na vitu vyote viijazavyo dunia.

Mwanaume hakuumbwa kuomba ruhusa bali aliumbwa kutoa taarifa ya kila alichokabidhiwa kukitawala nakukiongoza yeye siku zote mwenye malaka ni mwanaume n anapaswa kuamuakupitia mamlaka aliyo nayo ikiwemo kutoa taarifa.


Wanawake wameumbwa kuwa chini ya wanaume na daima hapaswi kufanya jambo lolote bila idhini ya mwanaume na kwa mantiki hiyo anapaswa kuomba ruhusa kutoka kwa mumewe ili akubaliwe au akataliwe kulingana na vipimo husika mwanaume atakavyo vifanya ili kujiridhisha.

Wanawake wengi hawaoleki kutokana na kujifanya na wao ni wanaume kwa kujikuta wanatoa taarifa badala ya kuomba ruhusa huku wakijawa na kiburi cha hali ya juu na madharau kedekede

Enyi wanawake huu ndiyo ukweli na daima hakuna mwanamke mwezako atataka ujue ukweli huu
 

Attachments

  • Facebook_1723270546627.mp4
    901.2 KB
Waendelee hivyo hivyo, hizo ni element za kiburi. Na mwisho wa siku mahisiano hayo kama ni ndoa au relationship ya aina yoyote huwa hayafiki mbali
 
Kipi cha ajabu hapo? Ni kuwa mwanamke anatamka kuomba ruhusa ila kiuhalisia anatoa taarifa.
 
Huyu dada anajifanya ni conscious kumbe ni matope kichwani.

Huyu nikipata namba zake nakula lafu napita hivi kisha namtumia hii short video.
 
Malalamiko ya wana ndoa yamekua mengi hadi kero, kwani Ndoa lazima?

Em mtupumzishe na hizi porojo zenu, mtajuana wenyewe huko huko.
Lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanamme ni mtumwa wa mwanamke daima.

Una baba mmoja au kila mwanamme anaeingia kwenu unaambiwa "mwamkie baba'ko"?
 
Hizo style mnazoombaomba ndizo zinawafanya mkaliwe jumla
 
Mazingira ndio yanayoamua Kama umeoa mwanamke Hana kazi yeyote Ina maana kuwa akitaka kutoka nyumbani Hana mahala pa msingi pa kwenda hivyo nilazima kuomba ruhusa Kama Umeoa mwanamke msomi mwenye kazi inahoeleweka au hata mfanyabiashara au mkulima akitoka hawezi kusema naomba ruhusa ya kwenda Shambani au naomba ruhusa ya kwenda kazini. Ukiona anaomba ruhusa moja kwa moja anaenda sehemu isiyokuwa na umuhimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…