FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Mwanamme ni mtumwa wa mwanamke daima.Em lea wajukuu zako wee mama etu.
Una baba mmoja au kila mwanamme anaeingia kwenu unaambiwa "mwamkie baba'ko"?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanamme ni mtumwa wa mwanamke daima.Em lea wajukuu zako wee mama etu.
"Wanawake wengi hawaoleki kutokana na kujifanya na wao ni wanaume kwa kujikuta wanatoa taarifa badala ya kuomba ruhusa huku wakijawa na kiburi cha hali ya juu na madharau kedekede"📌Ndugu zangu..
Ukweli ni kwamba mwanaume aliumbwa kutawala na kumcolonize mwanamke na vitu vyote viijazavyo dunia.
Mwanaume hakuumbwa kuomba ruhusa bali aliumbwa kutoa taarifa ya kila alichokabidhiwa kukitawala nakukiongoza yeye siku zote mwenye malaka ni mwanaume n anapaswa kuamuakupitia mamlaka aliyo nayo ikiwemo kutoa taarifa.
Wanawake wameumbwa kuwa chini ya wanaume na daima hapaswi kufanya jambo lolote bila idhini ya mwanaume na kwa mantiki hiyo anapaswa kuomba ruhusa kutoka kwa mumewe ili akubaliwe au akataliwe kulingana na vipimo husika mwanaume atakavyo vifanya ili kujiridhisha.
Wanawake wengi hawaoleki kutokana na kujifanya na wao ni wanaume kwa kujikuta wanatoa taarifa badala ya kuomba ruhusa huku wakijawa na kiburi cha hali ya juu na madharau kedekede
Enyi wanawake huu ndiyo ukweli na daima hakuna mwanamke mwezako atataka ujue ukweli huu
Ruhusu
Taarifa
MTU anatoa taarifa ya anapokwenda ili ikitokea ameshindwa kurudi ujue wapi pakumpatia.
Njia bora ya kumfanya mfungwa asitoroke gerezani hakikisha unamfanya asigundue kuwa YUPO gerezani .
Maana yake nini ?
MPE mwanamke Uhuru wa kutosha then katika huo Uhuru wewe mkubushe mipaka sahihi ya Uhuru wake ni IPI
Kosa kubwa ambalo WATU hufanya ni kumnyima MTU Uhuru hilo ni kosa
Mfundishe MTU njia bora za kutumia Uhuru wake na then usimuingilie Ila mkubushe .
Mwanaume akianza kuona ana nguvu na anabidi wamtii kwa kila kitu hapo ndo kosa linapoanzia that is hell .
Muachie simu yake Ila mfundishe mambo ya kuzingatia ili asipotoke
Mruhusu kutoka -Ila mwambie katika kutoka huko mambo gani ya kuzingatia.
Usimwekee Mwanamke mipaka Ila mfundishe namna sahihi ya Ku-handle mipaka yake.
Mkeo akikuambia "mume wangu naenda kazini".Mazingira ndio yanayoamua Kama umeoa mwanamke Hana kazi yeyote Ina maana kuwa akitaka kutoka nyumbani Hana mahala pa msingi pa kwenda hivyo nilazima kuomba ruhusa Kama Umeoa mwanamke msomi mwenye kazi inahoeleweka au hata mfanyabiashara au mkulima akitoka hawezi kusema naomba ruhusa ya kwenda Shambani au naomba ruhusa ya kwenda kazini. Ukiona anaomba ruhusa moja kwa moja anaenda sehemu isiyokuwa na umuhimu.
Tafadhali em jiangalie kwenye kiooMwanamme ni mtumwa wa mwanamke daima.
Una baba mmoja au kila mwanamme anaeingia kwenu unaambiwa "mwamkie baba'ko"?
Nakuelewa mtu anguNdyo au hapana, yote ni majibu.
Tena siyo kwa binadam tu, tazama hata wanyama, wadudu, wa kiume wote ni watumwa wa mwanamke.Tafadhali em jiangalie kwenye kioo
Wanaotoa Kauli hizo hawana Ndoa.....! So Wana hasira.Waendelee hivyo hivyo, hizo ni element za kiburi. Na mwisho wa siku mahisiano hayo kama ni ndoa au relationship ya aina yoyote huwa hayafiki mbali
Tatizo wewe ndio wa kwanza Kula lile tundaTena siyo kwa binadam tu, tazama hata wanyama, wadudu, wa kiume wote ni watumwa wa mwanamke.
Yamekuingia?
Wanaume msijidai kujitutumuwa, hamna lolote zaidi ya utumwa tu, ndivyo mlivyoumbwa, hamuwezi kubadili hilo.
Katoa taarifa , au tunaweza kusema kuaga. kuomba ruhusa Ni pale anaenda mahala ambapo kimsingi anajua wewe mwanume unaweza kutokumruhusu ndiposa anaomba ruhusa yako aende. Sehemu Kama kazini sio ya kuomba ruhusa kwasababu anajua huwezi kumzuia kwenda kazini otherwise uwe na matatizo ya akiliMkeo akikuambia "mume wangu naenda kazini".
Je, hapo kwa akili ya uanaume huyo mkeo kaomba ruhusa , kaaga au katoa taarifa?
Wanaume sio watumwa wa mwanamke Wala mwanamke sio mtumwa wa mwanaume. Utumwa upo kiuchumi na sio kijamii (kuhusiana) Ukiona kula yako inategemea mfuko wa mtu mwingine wewe Ni mtumwa maana utafanya kile anachotaka kiwe kibaya au kizuriTena siyo kwa binadam tu, tazama hata wanyama, wadudu, wa kiume wote ni watumwa wa mwanamke.
Yamekuingia?
Wanaume msijidai kujitutumuwa, hamna lolote zaidi ya utumwa tu, ndivyo mlivyoumbwa, hamuwezi kubadili hilo.
"Muumini mwislamu ni tofauti na mwislamu!."Mwanamme ni mtumwa wa mwanamke daima.
Una baba mmoja au kila mwanamme anaeingia kwenu unaambiwa "mwamkie baba'ko"?
Nje ya ndoa upo sahihi lakini ndani ya ndoa mke uomba ruhusa baada ya taarifa.Zingatia msingi wa "NDOA" ni DINI,nje ya DINI hakuna ndoa.Ruhusu
Taarifa
MTU anatoa taarifa ya anapokwenda ili ikitokea ameshindwa kurudi ujue wapi pakumpatia.
Njia bora ya kumfanya mfungwa asitoroke gerezani hakikisha unamfanya asigundue kuwa YUPO gerezani .
Maana yake nini ?
MPE mwanamke Uhuru wa kutosha then katika huo Uhuru wewe mkubushe mipaka sahihi ya Uhuru wake ni IPI
Kosa kubwa ambalo WATU hufanya ni kumnyima MTU Uhuru hilo ni kosa
Mfundishe MTU njia bora za kutumia Uhuru wake na then usimuingilie Ila mkubushe .
Mwanaume akianza kuona ana nguvu na anabidi wamtii kwa kila kitu hapo ndo kosa linapoanzia that is hell .
Muachie simu yake Ila mfundishe mambo ya kuzingatia ili asipotoke
Mruhusu kutoka -Ila mwambie katika kutoka huko mambo gani ya kuzingatia.
Usimwekee Mwanamke mipaka Ila mfundishe namna sahihi ya Ku-handle mipaka yake.
Mkuu hilo litawezekana ikiwa tu huyo mwanamke ni mama wa nyumbani anayemtegemea mumewe kwa kila kitu, ila kwa hawa wanaume wa siku hizi wanaodai kila mtu ajitafutie pesa na mali zake hawana budi kukubali kupoteza hayo mamlaka, huwezi kukitawala kiumbe usichokiwajibikia inaonekana wanaume wengi hawajui kwanini walipewa hiyo mamlaka wanayoililiaJadda unaitwa huku.