Ole wenu wanawake hakuna mwanaume atakaye kubaliana na huu upuuzi ni mara mia usikubali kuchanua mapaja kama unajijua huwezi kuomba ruhusa kwa mumeo

Malalamiko ya wana ndoa yamekua mengi hadi kero, kwani Ndoa lazima?

Em mtupumzishe na hizi porojo zenu, mtajuana wenyewe huko huko.
Lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umri wako tafadhari.
 
Mijadala kama hii, busara ni kuisoma na kuisikiliza halafu unaacha kama ilivyo huku ukifuatilia maoni ya wengine
 
Kabinti kenyewe kamekauka kama kamekaangwa na mafuta ya transfoma, sidhani kama kuna mwanaume mwenye akili timamu anaweza kuoa ujinga kama huu.

Binafsi siwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…