Olympic 2024 France: Maonesho ya Ufunguzi yashutumiwa kuonesha viashiria vya ushetani na upinga Kristo

Olympic 2024 France: Maonesho ya Ufunguzi yashutumiwa kuonesha viashiria vya ushetani na upinga Kristo

Kwa hiyo unahalalisha ushoga ufanywe maeneo ya wazi?

Mamaé kweli JF imejaa mapunga
Wapi nimehalalisha ushoga ufanywe sehemu ya wazi?

Naku uliza hivi 👇

Malaya wanaojiuza mitaani na barabarani ni sahihi?

Walevi wanaolewa barabarani ni sahihi?
 
Hili siyo jambo la kuchukulia powa watazoea mwisho vizazi vijavyo vitapotea kabisa. Suala hili lazima lipingwe kwa nguvu zote na watu wote wenye Imani thabiti kwa viongozi wetu wa dini.
 
Ndio na kila kitu kipo planned hata nyuzi za kusema wanapinga ila nyingi zinatumika kupromote hiko kitu.

Wanatudanganya humu eti hakuna Mungu wala shetani ni dhana fikirika. Wapuuzi hawa, watapotosha wajinga.

Mungu ni kweli na hakika. Shetani ni kweli, ulimwengu usioonekana kwa macho ni kweli, halisi na hakika.

Katika mpango ambao shetani anawapata wajinga wengi ni kutumia mawakala wake wapuuzi kama hawa akina Infropreneur kudanganya kuwa yeye ni nadharia na hakuna hukumu ya mwisho, hakuna kuzimu wala jehanamu. Eti Yesu ni nadharia na hakuwahi kuwepo. Hahaaaaa, hamtupati ng'oooooo
Hao Mioyo yao imeshakufa, haina haja ya kubishana nao
 
Hili siyo jambo la kuchukulia powa watazoea mwisho vizazi vijavyo vitapotea kabisa. Suala hili lazima lipingwe kwa nguvu zote na watu wote wenye Imani thabiti kwa viongozi wetu wa dini.
Kweli kabisa Mkuu, lakini mimi naona tayari wameshashinda hii vita, kwani ongezeko la mambo hayo limekuwa kubwa sana.

Jambo la kufanya ni kujilinda na kulinda familia zetu juu ya mambo hayo machafu
 
Mna complocate tu maisha. Wala haina uhusiano. Last supper ilikuwa na 12 wanafunzi. Hii ya Olympic ina watu zaidi ya 16. Huoni kuwa ni vitu viwili tofauti? ACHENI UONGO PLEASE.
Tatzo sio namba ya watu, tatzo ni kutumia hao mapunga kuigiza au kufananisha tukio hilo
 
Kauli zako ni za mlengo wa kishoga
Mimi sikubaliani na huo ushoga.

Ninachopinga mimi ni mnavyo husisha ushoga na Shetani ilhali huyo shetani Hayupo.

Ushoga ni Tabia chafu za mtu kama ulevi, umalaya n.k wala hazina uhusiano wowote ule na uwepo wa shetani.

Binadamu yupo responsible kwa matendo yake yote mema au mabaya anayo yafanya.

Hakuna Shetani au Mungu anaye ratibu matendo ya wanadamu hapa duniani.
 
Ni wewe umeona hivyo, huenda mchoraji hakuwaza kitu.

Dini ni wewe na imani yako, michoro haiwezi kubadili imani yako
Michoro haiwezi kubadili imani, lakini sio jambo la busara kugeza michoro ambayo ina maudhui ya kidini. Tena kugeza kwa kutumia watu wa trans Ni fedheha kubwa
 
Kweli kabisa Mkuu, lakini mimi naona tayari wameshashinda hii vita, kwani ongezeko la mambo hayo limekuwa kubwa sana.

Jambo la kufanya ni kujilinda na kulinda familia zetu juu ya mambo hayo machafu
Bado hawajashinda ila wapo kwenye mapambano. Watu wema duniani wakiendelea kupiga kelele watashindwa hila zao. Nimeona Leo baadhi ya makampuni waliofadhili Olympic wametangaza kujitoa kutokana na jambo hili
 
Mimi sikubaliani na huo ushoga.

Ninachopinga mimi ni mnavyo husisha ushoga na Shetani ilhali huyo shetani Hayupo.

Ushoga ni Tabia chafu za mtu kama ulevi, umalaya n.k wala hazina uhusiano wowote ule na uwepo wa shetani.

Binadamu yupo responsible kwa matendo yake yote mema au mabaya anayo yafanya.

Hakuna Shetani au Mungu anaye ratibu matendo ya wanadamu hapa duniani.
Kwa nini unawatetea mashoga?
 
Bado hawajashinda ila wapo kwenye mapambano. Watu wema duniani wakiendelea kupiga kelele watashindwa hila zao. Nimeona Leo baadhi ya makampuni waliofadhili Olympic wametangaza kujitoa kutokana na jambo hili
Bado vita inaendelea lakini tusipokuwa makini adui atashinda kwa kishindo kikubwa
 
Back
Top Bottom