Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Wapi nimehalalisha ushoga ufanywe sehemu ya wazi?Kwa hiyo unahalalisha ushoga ufanywe maeneo ya wazi?
Mamaé kweli JF imejaa mapunga
Naku uliza hivi 👇
Malaya wanaojiuza mitaani na barabarani ni sahihi?
Walevi wanaolewa barabarani ni sahihi?