Oman ambao ni jirani wa Yemen yatoa wito kuwaunga mkono Houth kupigana na Israel

Njia za mungu sio za mwanaadamu, wote tunapewa pumzi za bure ila kuna wezi ,kuna wauaji kama hawa wazayuni, hata wao hitler aliwachoma kama kuku mungu alikuwepo na aliruhusu, hata hiki wanachopitia watu wa gaza historia itakumbuka tu ni swala la muda tu
 
Imam ni darasa la saba
Darasa la saba la wazungu.Kwa upande wa daraja za kielimu za waislamu ni zaidi kuliko profesa.Amehifadhi maneno ya Mungu na Mtume kama maji.
 
wanaheshimiwa na wanaheshimika.Sio kama hawa wa kwetu wanaotumiwa tu kutangaza ukimwi na kuhubiri amani bandia.
Idiot! yaani kila kitu cha Waarabu mnakiona cha maana.
 
Oman hii hii au nyingine
 
Tuko pamoja,ndiomaana nikasema kuwa kama dunia nzima imesimama na wapalesitina kwa kuamini kuwa wapalestina ni watakatifu na kuwapa mgongo waisrael kwa kuamini kuwa waisrael ndio wauaji na kuwaona wapalesitina kuwa siyo wauaji na kwamba waisrael 1200 waliouliwa na wapalestina siyo binadamu ni kama mbwa tu,ndio dunia ijue kuwa pamoja na yote hayo Mungu yuko pamoja nao ndio maana hata kipindi cha Hitiler mwenyewe wapo waliopona hakuwamaliza wote kwa kuwa nao wanalindwa na Mungu kama viumbe vyake na si kwa wema wao.
 
Narudia ni upambavu kusikiliza kiongozi wa kidini anayetaka kuingiza nchi vitani kisa chuki zake za kidini
Na wewe utakuwa hivyo pia Kama Unataka nchi itumie rasilimali zake kwa kusikiliza shehk mmoja mwenye chuki zake

Uislamu wanasema ni Dini ya amani usiichafue kwa kuungana na magaidi wanautumia dini ya kiislamau kuuchafua
Unajua maana ya salamu yenu

Au uniaminishe kivingine kuhusu uislimu
 
Ni mpumbavu mkubwa sana anaebadilisha maneno ya mtu.

Sikushngai, nafahamu tatizo ni shule za kusomea ujinga, unafikia mpaka unachokisoma unakuwa hukielewi.
 
Mapinduzi ya Zanzibar hayakua na si matukufu,waliuawa watu 13000 wasio hatia,wake kwa waume na watoto
Warabu na Wafrica walikuwa kama ndugu pale Zanzbar, Muingereza na Israel walihusika hapo kuleta fitna bada ya miaka Israel ndio akakiri.

Waliwasingizia warabu eti waliwafunga minyororo, na sisi tulivyo kuwa mijinga shule hatukuwa tunafahamu picture za kweli na fake. Yote kuonyesha warabu wabaya na kuzuia Wafrika wasingie Uislam, hio ndio siasa ya Muingereza na Shoga yake Israel.
 
Israel hajabanwa na yeyote.Madhara ya Hibulallah kwa Israel ni very minor ukilinganisha na loss ya Makamanda waliyonayo Hizbullah kutokana na vita hii.Labda nikuulize unajua kwa nini Hizbullah na houthi hawajafanya shambulio lolote kuanzia jumamosi?
Jibu ni kwamba Israel hakurupuki kama houthi na hizbullah.Anapiga strategic areas na kuneutralize.
Kwa sasa ndugu zako katika Imaan hawana silaha za maana.
Zimeteketezwa.
 
Shida unaamini hekaya za Mo Said
 
Unajipa moyo bandari kufilisika na mizigo kama mafuta unasema havina madhara? Hizo shule sijui mnaendaga kucheza kombolela?
 
Ni muendelezo wa vita vya muda mrefu ujao ambavyo havikuwepo upande wa Israel na hawakuvifikiria.Sasa wameingia na hawatotoka salama kama unavyofikiria.
Hata wakipigwa namna gani Houth,Hamas na Hizbullah hawatanyamaza .Itakuwa wanavizia tu.Tofauti na miaka iliyopita teknolojia walizonazo Israel nyingi wanazo na hao jamaa,Tofauti yao ipo kwenye hazina ya ndenge za kijeshi tu na inatarajiwa kila muda unavyosogea wataishiwa tu na kudhoofika,
 
Kama ni hivyo 1967 Six days War siyo muda mrefu historia itajirudia.
Nani kasema !?
Six days war Israel alilipua airbase ya Egypt na kushambulia Gollan heights.
Unadhani miaka ya 1960s ni sawa na sasa!?
Nchi gani ya kiarabu haina vifaa vya kijeshi?
Kama Hamas tu huu ni mwezi wa 9 Israel kapata hasara haijawahi tokea na kupata vifo vingi vya askari.
Je nchi zikiungana Israel itakua katika hali gani!?
 
Shida unaamini hekaya za Mo Said
Nyie mmesahau Europe nzima walikuwa wanavaa Hijab, tazama miaka ya 1920 leo mnajidai utamaduni wa Kislam.

Hizi bibilia zenu kila kukicha ni ammendment, kesho wasije kusema wewe ni mjukuu wa Yesu 😄
 
Marekani imeshaionya Israel isitishe vita kwa sababu wanajua kila vita vinavyojikokota ndio uwezekano wa kusambaa zaidi unavyoongezeka.Itaanza kwa Hamas na Houth na Hizbullah halafu hata mataifa mazima mazima yataingia.hawatakubali Israel iwachezee wote kwa pamoja na muda huo itakuwa ni kuchelewa sana kwani Israel itakuwa imeshachoka.
Kuna uwezekano hali ya Israel ikawa kama ya Ukraine.Kupata askari wa kupigana itakuwa ni kwa mbinde kama dalili zinavyoonesha sasa ambapo ultra orthodox wanalazimishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…