Oman: Rais Samia ataka kuwepo Maritime transport ya kusafirishia Wanyama wakiwa hai kutoka Tanzania kwenda Oman

Kwa dunia ya sasa jamani, kwanini tusiwasafirishie final product kama ni nyama, au ngozi zilizokwisha andaliwa kama final product.
Kusudi tuweze kutengeneza ajira kwa wanachi wetu, mbali na iyo nakutengeneza mzunguko makubwa wa pesa(multiplication of income).
 
Hapa wanaua viwanda vya ndani.

Sijui nani anatoa mawazo mabovu ya kuliangamiza Taifa kwa Rais.

Na Rais naye sidhani kama anapata muda wa kuwa na second thought.
Kivipi mzee, mbona unaleta ubishi wa kipumbavu hapa?? Umewahi hata kufika bara tofauti na Afrika??
Yaan unawaza kitoto sana. Nenda Australia ukajionee hizo biashara, hata USA wanauza NGURUWE hai kwenda nchi nyingi tu.

Umetawaliwa na ujima, na obvious umetokea familia duni mno, huna exposure yoyote zaidi ya kusoma kwenye magazeti au movie.

Go extra mile nigga, dunia haiendeshwi hivyo mkuu.
 
Hawa hua wana ongopeana huko kwenye vijiwe vya kahawa kisha wanayabeba hayo maneno kama yalivyo.

🤣🤣🤣🤣
 
Kwambaaaaali naanza kumuelewa Ndugai hapo simpendi kutoka moyoni. Na pia kwanini Wamasai wanaondolewa Kwa nguvu kutoka Wilayani Ngorongoro.
 
Twiga nk hasa kwa wawindaji wenye Vitaru.

Pia kazungumzia kuhusu meli za Kuvua samaki Bahari Kuu.

Amewataka Oman waje kuwekeza Tanzania ardhi ipo ya kutosha.

Watanzania Kaeni Mkao wa kula.
Mwisho wa siku tutaachwa tukiwa mifupa mitupu
 
Hongera sana Rais, haya ndio mambo tunataka kuyasikia, fursa, fursa, fursa.... Watanzania ni muda wa kuamka sasa na kuendana na fursa zilizopo Duniani, tusiwe Watu wa kulalamika hovyo.
 
Mkuu tuliambiwa anaupiga mwingi,au sasa hivi anabutua?
 
Wewe umeelewa vipi? Na je umeelewa alichomanisha? Je ni wanyama gani?
 
Yaniiii maji mtaita mma.... Acha kabisa... Eeeeee
 
Nawasubiri wazee wapambio ccm inawenyewe 2025 Ni...... Hatali
 
Nafkiri washauri wangejikita kushauri kwamba, kusafirisha wanyama hai, tutapoteza thamani ya bidhaa nyingi zitokanazo na wanyama husika kama,ngozi, nyama (processed meat) na viwanda kwa ujumla,hivyo tungejikita kuhimiza uwekezaji wa viwanda vya nyama na ngozi viwepo hapa nchini as faida itakuwa huku zaidi.hawa ndugu zetu kwa uwezo walionao kifedha wanaweza kununua hata mifugo yote then tukabakiwa na hewa .
 

Fremantle, Australia
Loading sheep for live export from Fremantle. This video shows preparation, transport and loading of sheep for export from Fremantle

 
Tulieni dawa iwaiingie" huu ni muda wa kulamba asali"

Nimetokea kumchukia sana huyu bibi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…