PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Unakumbuka shuka asubuhi?We are officially sold out.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakumbuka shuka asubuhi?We are officially sold out.
Kivipi mzee, mbona unaleta ubishi wa kipumbavu hapa?? Umewahi hata kufika bara tofauti na Afrika??Hapa wanaua viwanda vya ndani.
Sijui nani anatoa mawazo mabovu ya kuliangamiza Taifa kwa Rais.
Na Rais naye sidhani kama anapata muda wa kuwa na second thought.
Hawa hua wana ongopeana huko kwenye vijiwe vya kahawa kisha wanayabeba hayo maneno kama yalivyo.Kivipi mzee, mbona unaleta ubishi wa kipumbavu hapa?? Umewahi hata kufika bara tofauti na Afrika??
Yaan unawaza kitoto sana. Nenda Australia ukajionee hizo biashara, hata USA wanauza NGURUWE hai kwenda nchi nyingi tu.
Umetawaliwa na ujima, na obvious umetokea familia duni mno, huna exposure yoyote zaidi ya kusoma kwenye magazeti au movie.
Go extra mile nigga, dunia haiendeshwi hivyo mkuu.
Kwambaaaaali naanza kumuelewa Ndugai hapo simpendi kutoka moyoni. Na pia kwanini Wamasai wanaondolewa Kwa nguvu kutoka Wilayani Ngorongoro.Mama anazingua sana Sasa hivi.
Anatuuza mchana kweupe, Hapo ametumia Tu lugha ya staha Ila kinacholengwa ni wild animals.
Now, nimeelewa sasa kwanini ilisemwa mwanamke ni kiumbe dhaifu even if amesoma Ila Bado haiondoi udhaifu wake wa kiasili.
Pamoja na mazuri yake Ila kwa haya yanayoendelea mama anatuangusha sana.
Namuombea kwa Mungu apate kuamshwa kwenye usingizi wa fikra.
Mwisho wa siku tutaachwa tukiwa mifupa mitupuTwiga nk hasa kwa wawindaji wenye Vitaru.
Pia kazungumzia kuhusu meli za Kuvua samaki Bahari Kuu.
Amewataka Oman waje kuwekeza Tanzania ardhi ipo ya kutosha.
Watanzania Kaeni Mkao wa kula.
Mkuu tuliambiwa anaupiga mwingi,au sasa hivi anabutua?yaani apo watakao 'safirishwa' (kuibiwa) ni wild animals kama twiga, faru, tembo, simba & Nyati etc. na wala si domestic animals kitimoto, mbuzi au ng'ombe
UWT sijui wanakwama wapi, yaani wamelala usingizi wa pono wakati mama anaelekea kuihujumu nchi ya Tanganyika tena live kabisaa,
Wewe umeelewa vipi? Na je umeelewa alichomanisha? Je ni wanyama gani?Nchi kama Somali wanasafirisha Mbuzi na Kondoo huko Oman,Australia wanasafirisha Kondoo huko Oman,
Naona badala ya kuchangamkia fursa mmekimbili sijui Twiga mara Tembo!
Bila kubadili hizi fixed mind mentality mtu atajikuta yupo pale pale tu miaka na miaka.
Yaniiii maji mtaita mma.... Acha kabisa... EeeeeeSalaam Wakuu,
Rais Samia katika Kongamano la Wafanyabiashara wa Oman na Tanzania, amesema kuna umuhimu Mkubwa wa kuangalia Usafiri wa Majini akimanisha Meli yenye Uwezo wa kusafirisha Wanyama wakiwa hai kutoka Tanzania kwenda Oman.
Watu hapa wasifikilie Wanyama Pori tu, Bali ni Habari njema kwa Wafugaji wa Tanzania kwani sasa Wataanza Kusafirisha Ng'ombe, Sungura, Kitimoto, Mbuzi, Swala, Twiga nk hasa kwa wawindaji wenye Vitaru.
Pia kazungumzia kuhusu meli za Kuvua samaki Bahari Kuu.
Amewataka Oman waje kuwekeza Tanzania ardhi ipo ya kutosha.
Watanzania Kaeni Mkao wa kula.
............................................................................
Rais Samia akiwa kwenye kongamano Kiuchumi nchini Oman, amesema kuwepo kwa vyombo vya usafirishaji vya majini kusafirisha wanyama walio hai na bidhaa mbalimbali kwenda Oman kutaboresha biashara kati ya pande hizo mbili
Pia amegusia japokuwa tuna makubwa ya kuvua, kwa sasa hamna uvuvi wenye tija kwa taifa, amesema “kuna nchi zinakuja Tanzania kuvua na hatuwezi kuwafukuza kwa sababu hatuna vifaa, hivyo wanavua na kuondoka, hili ni eneo lingine ambalo tunaweza kushirikiana kwa pamoja”
Amesema kuwa kongamano la mwaka huu limekusudia kuangazia namna Tanzania itashirikiana na Oman katika sekta za utalii, kilimo, Uzalishaji (viwanda) mifugo na uvuvi na usafirishaji wa majini.
Nafkiri washauri wangejikita kushauri kwamba, kusafirisha wanyama hai, tutapoteza thamani ya bidhaa nyingi zitokanazo na wanyama husika kama,ngozi, nyama (processed meat) na viwanda kwa ujumla,hivyo tungejikita kuhimiza uwekezaji wa viwanda vya nyama na ngozi viwepo hapa nchini as faida itakuwa huku zaidi.hawa ndugu zetu kwa uwezo walionao kifedha wanaweza kununua hata mifugo yote then tukabakiwa na hewa .Salaam Wakuu,
Rais Samia katika Kongamano la Wafanyabiashara wa Oman na Tanzania, amesema kuna umuhimu Mkubwa wa kuangalia Usafiri wa Majini akimanisha Meli yenye Uwezo wa kusafirisha Wanyama wakiwa hai kutoka Tanzania kwenda Oman.
Watu hapa wasifikilie Wanyama Pori tu, Bali ni Habari njema kwa Wafugaji wa Tanzania kwani sasa Wataanza Kusafirisha Ng'ombe, Sungura, Kitimoto, Mbuzi, Swala, Twiga nk hasa kwa wawindaji wenye Vitaru.
Pia kazungumzia kuhusu meli za Kuvua samaki Bahari Kuu.
Amewataka Oman waje kuwekeza Tanzania ardhi ipo ya kutosha.
Watanzania Kaeni Mkao wa kula.
............................................................................
Rais Samia akiwa kwenye kongamano Kiuchumi nchini Oman, amesema kuwepo kwa vyombo vya usafirishaji vya majini kusafirisha wanyama walio hai na bidhaa mbalimbali kwenda Oman kutaboresha biashara kati ya pande hizo mbili
Pia amegusia japokuwa tuna makubwa ya kuvua, kwa sasa hamna uvuvi wenye tija kwa taifa, amesema “kuna nchi zinakuja Tanzania kuvua na hatuwezi kuwafukuza kwa sababu hatuna vifaa, hivyo wanavua na kuondoka, hili ni eneo lingine ambalo tunaweza kushirikiana kwa pamoja”
Amesema kuwa kongamano la mwaka huu limekusudia kuangazia namna Tanzania itashirikiana na Oman katika sekta za utalii, kilimo, Uzalishaji (viwanda) mifugo na uvuvi na usafirishaji wa majini.
Organized and executed by CCM flag bearer.We are officially sold out.
Nafkiri washauri wangejikita kushauri kwamba, kusafirisha wanyama hai, tutapoteza thamani ya bidhaa nyingi zitokanazo na wanyama husika kama,ngozi, nyama (processed meat) na viwanda kwa ujumla,hivyo tungejikita kuhimiza uwekezaji wa viwanda vya nyama na ngozi viwepo hapa nchini as faida itakuwa huku zaidi.hawa ndugu zetu kwa uwezo walionao kifedha wanaweza kununua hata mifugo yote then tukabakiwa na hewa .
Ccm ikiendelea kuwa mamlakani zaidi ya haya yatatokeaWe are officially sold out.
HahahhaaaHapo kwenye kitimoto umechapia mkuu...
HahahhaahahahaaaahaDunia ingekuwa inawasikiliza wa Tanzania mpaka leo kungekua hakuna umeme.
Weka na wewe hisia zako tuoneHizi ni hisia zako tu mkuu.