tamsana
JF-Expert Member
- Jan 13, 2012
- 3,739
- 8,044
Sasa kama tumeuzwa unapata tafsiri gani mkuu.Kufanya nini huko wakati kila kitu kipo hapa??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama tumeuzwa unapata tafsiri gani mkuu.Kufanya nini huko wakati kila kitu kipo hapa??
Huwapendi wakati wao wala hawakujui na wala hawana habari na wewe,huoni kua wewe ndiye unayeteseka?😂😂😂tushauzwa kwa waarabu,, nisivyowapenda waarabu mimi
Hilo la wanyama pori umelitoa wapi?View attachment 2259291
Salaam Wakuu,
Rais Samia katika Kongamano la Wafanyabiashara wa Oman na Tanzania, amesema kuna umuhimu Mkubwa wa kuangalia Usafiri wa Majini akimanisha Meli yenye Uwezo wa kusafirisha Wanyama wakiwa hai kutoka Tanzania kwenda Oman.
Watu hapa wasifikilie Wanyama Pori tu, Bali ni Habari njema kwa Wafugaji wa Tanzania kwani sasa Wataanza Kusafirisha Ng'ombe, Sungura, Kitimoto, Mbuzi, Swala, Twiga nk hasa kwa wawindaji wenye Vitaru.
Pia kazungumzia kuhusu meli za Kuvua samaki Bahari Kuu.
Amewataka Oman waje kuwekeza Tanzania ardhi ipo ya kutosha.
Watanzania Kaeni Mkao wa kula.
Hizo chuki zenu huwa zinawasaidia kulamba asali?View attachment 2259291
Salaam Wakuu,
Rais Samia katika Kongamano la Wafanyabiashara wa Oman na Tanzania, amesema kuna umuhimu Mkubwa wa kuangalia Usafiri wa Majini akimanisha Meli yenye Uwezo wa kusafirisha Wanyama wakiwa hai kutoka Tanzania kwenda Oman.
Watu hapa wasifikilie Wanyama Pori tu, Bali ni Habari njema kwa Wafugaji wa Tanzania kwani sasa Wataanza Kusafirisha Ng'ombe, Sungura, Kitimoto, Mbuzi, Swala, Twiga nk hasa kwa wawindaji wenye Vitaru.
Pia kazungumzia kuhusu meli za Kuvua samaki Bahari Kuu.
Amewataka Oman waje kuwekeza Tanzania ardhi ipo ya kutosha.
Watanzania Kaeni Mkao wa kula.
Kama tunahitaji joint vencher basi tunahitaji walete mitaji siyo kutegemea mabenki yetu. Mabenki yetu yaje kutoa support baada ya production kuanza yonde yonde Mama asiwape open chequeView attachment 2259291
Salaam Wakuu,
Rais Samia katika Kongamano la Wafanyabiashara wa Oman na Tanzania, amesema kuna umuhimu Mkubwa wa kuangalia Usafiri wa Majini akimanisha Meli yenye Uwezo wa kusafirisha Wanyama wakiwa hai kutoka Tanzania kwenda Oman.
Watu hapa wasifikilie Wanyama Pori tu, Bali ni Habari njema kwa Wafugaji wa Tanzania kwani sasa Wataanza Kusafirisha Ng'ombe, Sungura, Kitimoto, Mbuzi, Swala, Twiga nk hasa kwa wawindaji wenye Vitaru.
Pia kazungumzia kuhusu meli za Kuvua samaki Bahari Kuu.
Amewataka Oman waje kuwekeza Tanzania ardhi ipo ya kutosha.
Watanzania Kaeni Mkao wa kula.
Lazima uwachukie tu, kwa kivazi kama ulichoweka kwenye avatar inaonyesha unapenda mambo ya kujiachia viuongo vyako vya ndani hovyo kwa namna hiyo ni ngumu kuishi sehemu zenye ustaarabu mzuri .😂😂😂tushauzwa kwa waarabu,, nisivyowapenda waarabu mimi
Hii njemba inabidi tuipuuze. Hatutaki watoto katika vikao vya watu wazimaHilo la wanyama pori umelitoa wapi?
Hizo chuki zenu huwa zinawasaidia kulamba asali?
Hilo la Wanyamapori hai umelitoa wapi?
Kwa Samia mtahangaika Sana aisee
Ndo hivyo mkuu. Wanyama ndo urithi uliokuwa umebaki baada ya madini, bahari na maziwa kuwa vimeuzwa, taratibu nchi imekabidhiwa kwa wapita njiaMwamba yuko wapi?
huoni vinapelekwa Oman?acha kutumia kichwa vibaya.Kufanya nini huko wakati kila kitu kipo hapa??