Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Bange iendelee kuwekewa katazo kwa vizazi na vizazi😀Kitimoto kwenda Oman eeehhh???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bange iendelee kuwekewa katazo kwa vizazi na vizazi😀Kitimoto kwenda Oman eeehhh???
Huu siyo muda wa kulalamikaMadhara ya ujamaa,ndio maana namlaumugi Sana Baba wa Taifa maana alijenga jamii ya watu walalamishi,Wenye kulaumu na kukosoa kila kitu huku akili zao zikiwa tegemezi kwa Serikali.
Wewe umekatazwa kusindika na kuuza nyama nje? Hilo ni suala la serikali?Hapa wanaua viwanda vya ndani.
Sijui nani anatoa mawazo mabovu ya kuliangamiza Taifa kwa Rais.
Na Rais naye sidhani kama anapata muda wa kuwa na second thought.
Hiyo ni export nchi itapata fedha za kigeni...Hapa wanaua viwanda vya ndani.
Sijui nani anatoa mawazo mabovu ya kuliangamiza Taifa kwa Rais.
Na Rais naye sidhani kama anapata muda wa kuwa na second thought.
Vipo vitu vingi vya kulalamikia kuliko hivi ambavyo havikupi faida yoyote. Mimi hiyo mbuga haina faida wala hasara kwangu.Mmhhh hatuna cha kufanya!! hv swala la katiba liliishia wapi,!!?
mambo ya kuzuia wanyama Pori kusafirishwa nje ya nchi yaliyakiwa yakatazwe kwenye katiba.
Tunajivunia mbuga yetu ya Serengeti hv ikitoweka tutalingia nini sisi?
Bangi ikiruhusiwa hata mm nalimaBange iendelee kuwekewa katazo kwa vizazi na vizazi[emoji3]
Watasafirisha wanyama kwa mfumo gani, au ndo utaletwa mfumo ule wa stakabadhi za ghala?View attachment 2259291
Salaam Wakuu,
Rais Samia katika Kongamano la Wafanyabiashara wa Oman na Tanzania, amesema kuna umuhimu Mkubwa wa kuangalia Usafiri wa Majini akimanisha Meli yenye Uwezo wa kusafirisha Wanyama wakiwa hai kutoka Tanzania kwenda Oman.
Watu hapa wasifikilie Wanyama Pori tu, Bali ni Habari njema kwa Wafugaji wa Tanzania kwani sasa Wataanza Kusafirisha Ng'ombe, Sungura, Kitimoto, Mbuzi, Swala, Twiga nk hasa kwa wawindaji wenye Vitaru.
Pia kazungumzia kuhusu meli za Kuvua samaki Bahari Kuu.
Amewataka Oman waje kuwekeza Tanzania ardhi ipo ya kutosha.
Watanzania Kaeni Mkao wa kula.
Wabongo tumekuwa watu wa kulalamika tuVipo vitu vingi vya kulalamikia kuliko hivi ambavyo havikupi faida yoyote. Mimi hiyo mbuga haina faida wala hasara kwangu.
Mtazamo wako ni mwembamba sana katika hili indirectly mbuga inakunufaisha. Serekali inakusanya kodi hapoVipo vitu vingi vya kulalamikia kuliko hivi ambavyo havikupi faida yoyote. Mimi hiyo mbuga haina faida wala hasara kwangu.
Ushawahi ona wakomoro wanavyo safirisha mifugo kutoka huku kwenda kwaoWatasafirisha wanyama kwa mfumo gani, au ndo utaletwa mfumo ule wa stakabadhi za ghala?
Mama yuko sahihi. Huko Arusha wakati huu bei ya mbuzi, kondoo na ng'ombe havishikiki. Sababu. Kufuatia kufungua nchi , solo kuu la mifugo ni Kenya ambapo pia ni mapito tu wakipelekwa Somalia na hata Sudan Kusini. Hivyo, mkakati wa mama utaondoa middlemen kama hao wa Kenya. Tuaondoe hofu na kuanza kujipanga kwa kuchangamkia fursa baada ya chi kufunguliwa.Nchi kama Somali wanasafirisha Mbuzi na Kondoo huko Oman,Australia wanasafirisha Kondoo huko Oman,
Naona badala ya kuchangamkia fursa mmekimbili sijui Twiga mara Tembo!
Bila kubadili hizi fixed mind mentality mtu atajikuta yupo pale pale tu miaka na miaka.
Endelea tu kuteseka ila wangekua ni masikini wenzako wala usingekua na chuki nao,angalia tu usije ukapata vidonda vya tumbo.Mwarabh anayeteseka zaidi Ni yule aliyeniquote, siwapendi kufwaa nyie watu
Wasomali na vita yote lakini wana export sana mbuzi hukoWewe umekatazwa kusindika na kuuza nyama nje? Hilo ni suala la serikali?
Ukiona mtu mda wote ni mlalanishi unajua kabisa hana future,endelea kulalamika na kulaumu uone utakachokipata..
Umekosea kuweka reference ya mtu aliyekuwa anaua biashara mpaka raia wakeWanyama hai sawa..ila tutapigwa sana...mana watachukua faida yote kutoka kwenye kwato..pembe..ngozi na offals.
Sikubaliani nalo hili.
Wauziwe meat and meat products sio myama hai.
Haya mambo JPM aliyakataa ya kuuza malighafi...hatuwezi kuza viwanda vya ndani na raia wetu watakosa kazi na ajira.
#MaendeleoHayanaChama
Kenya ananunua tz na yeye anapeleka gulf huko na kwenginekoM
Mama yuko sahihi. Huko Arusha wakati huu bei ya mbuzi, kondoo na ng'ombe havishikiki. Sababu. Kufuatia kufungua nchi , solo kuu la mifugo ni Kenya ambapo pia ni mapito tu wakipelekwa Somalia na hata Sudan Kusini. Hivyo, mkakati wa mama utaondoa middlemen kama hao wa Kenya. Tuaondoe hofu na kuanza kujipanga kwa kuchangamkia fursa baada ya chi kufunguliwa.
Ukiangalia vizuri wengi ni Sukuma gangWatu wanafikiria sijui kupigwa
Wakati sahv wanatakiwa wakamate fursa wapeleke wanyama huko mbuzi,kondoo,ngombe etc
Ova
Kwa mfano ngombe wa ASAS wapelekwe soko la kimataifa kupitia bandari mpya ya Bagamoyo, hivyo kuna umuhimu wa kuwa na gati ktk bandari ya roll in roll off ya wanyama hai na mashamba ya kuneneoesha mifugo tayari kwa safari ya kuuzwa kimataifa. Tanzania inaongoza kwa kuwa na mifugo mingi Afrika na nchi ipo strategical karibu na Arabuni pia Comoro