Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mbona wakomoro wanakujaga huku kununua wanyama mfano mbuzi,ngombe etc.We are officially sold out.
Vya hapa tunavifanyia niniKufanya nini huko wakati kila kitu kipo hapa??
Watu wanafikiria sijui kupigwaNchi kama Somali wanasafirisha Mbuzi na Kondoo huko Oman,Australia wanasafirisha Kondoo huko Oman,
Naona badala ya kuchangamkia fursa mmekimbili sijui Twiga mara Tembo!
Bila kubadili hizi fixed mind mentality mtu atajikuta yupo pale pale tu miaka na miaka.
Usipotosheka sema nikuongezee zingineLazima uwachukie tu, kwa kivazi kama ulichoweka kwenye avatar inaonyesha unapenda mambo ya kujiachia viuongo vyako vya ndani hovyo kwa namna hiyo ni ngumu kuishi sehemu zenye ustaarabu mzuri .
Sukuma gang kaziniyaani apo watakao safirishwa(kuibiwa) ni wild animals kama twiga, faru, tembo, simba & Nyati etc. na wala si domestic animals kitimoto, mbuzi au ng'ombe
UWT sijui wanakwama wapi, yaani wamelala usingizi wa pono wakati mama anaelekea kuihujumu nchi ya Tanganyika tena live kabisaa,
Wachangamkie sasa fursa wapeleke mbuzi, ngombe, kondoo, asali nkHilo la wanyama pori umelitoa wapi?
Hizo chuki zenu huwa zinawasaidia kulamba asali?
Hilo la Wanyamapori hai umelitoa wapi?
Kwa Samia mtahangaika Sana aisee
Miaka nenda rudi wakomoro wananuaga wanyama waliyokufaWanyama hai sawa..ila tutapigwa sana...mana watachukua faida yote kutoka kwenye kwato..pembe..ngozi na offals.
Sikubaliani nalo hili.
Wauziwe meat and meat products sio myama hai.
Haya mambo JPM aliyakataa ya kuuza malighafi...hatuwezi kuza viwanda vya ndani na raia wetu watakosa kazi na ajira.
#MaendeleoHayanaChama
Bora kwa sasa watu roho zao zina amani. Bwana Yule angekuwa kaisha tumaliza raia wote kwa risasiTz nilikupenda sana, ulale salama na ukapumzike kwa amani huko uendako. R. I. P
This is sad, but a poignant rhetoric of what really transpires within our country.Bado najiuliza...kuna uhusiano gani wa dini na uuzwaji wanyama na vipande vya ardhi kwa waarabu?
Madhara ya ujamaa,ndio maana namlaumugi Sana Baba wa Taifa maana alijenga jamii ya watu walalamishi,Wenye kulaumu na kukosoa kila kitu huku akili zao zikiwa tegemezi kwa Serikali.Wachangamkie sasa fursa wapeleke mbuzi,ngombe,kondoo,asali nk
Haya mambo sjui tunapigwa blhblh
Hauendi popote zaidi ya kila siku kulialia tu
Waamke wakamatie fursa hiyo
Ova
Mwarabh anayeteseka zaidi Ni yule aliyeniquote, siwapendi kufwaa nyie watuHuwapendi wakati wao wala hawakujui na wala hawana habari na wewe,huoni kua wewe ndiye unayeteseka?
Tafuta lesa ili wewe ndiye uwe unaenda kwao kutalii. Acha kulalamika tu bila Kuchukua hatua. Poleni sana Sukuma gang2050 hakuna mtalii atakuja tanzania
Ulitaka awasaidie usafirishwe wewe?Kwenye kerne ya 14 na 16 hawa Oman walisafirisha wanadamu kama watumwa. Leo raisi wa Tanzania anaenda kuwasaidia kusafirisha wanyama
Kila kitu nyie sukuma gang ni kulalamika. Hamia BurundiMama anazingua sana Sasa hivi.
Anatuuza mchana kweupe, Hapo ametumia Tu lugha ya staha Ila kinacholengwa ni wild animals.
Now, nimeelewa sasa kwanini ilisemwa mwanamke ni kiumbe dhaifu even if amesoma Ila Bado haiondoi udhaifu wake wa kiasili.
Pamoja na mazuri yake Ila kwa haya yanayoendelea mama anatuangusha sana.
Namuombea kwa Mungu apate kuamshwa kwenye usingizi wa fikra.
Yaache yaendelee kulalamikaWatu wanafikiria sijui kupigwa
Wakati sahv wanatakiwa wakamate fursa wapeleke wanyama huko mbuzi,kondoo,ngombe etc
Ova
Hapa wanaua viwanda vya ndani.Wanyama hai sawa..ila tutapigwa sana...mana watachukua faida yote kutoka kwenye kwato..pembe..ngozi na offals.
Sikubaliani nalo hili.
Wauziwe meat and meat products sio myama hai.
Haya mambo JPM aliyakataa ya kuuza malighafi...hatuwezi kuza viwanda vya ndani na raia wetu watakosa kazi na ajira.
#MaendeleoHayanaChama
That's is good. Kuna watu watakuwa wanafikiria twiga wetu tu!!View attachment 2259291
Salaam Wakuu,
Rais Samia katika Kongamano la Wafanyabiashara wa Oman na Tanzania, amesema kuna umuhimu Mkubwa wa kuangalia Usafiri wa Majini akimanisha Meli yenye Uwezo wa kusafirisha Wanyama wakiwa hai kutoka Tanzania kwenda Oman.
Watu hapa wasifikilie Wanyama Pori tu, Bali ni Habari njema kwa Wafugaji wa Tanzania kwani sasa Wataanza Kusafirisha Ng'ombe, Sungura, Kitimoto, Mbuzi, Swala, Twiga nk hasa kwa wawindaji wenye Vitaru.
Pia kazungumzia kuhusu meli za Kuvua samaki Bahari Kuu.
Amewataka Oman waje kuwekeza Tanzania ardhi ipo ya kutosha.
Watanzania Kaeni Mkao wa kula.