Oman: Rais Samia ataka kuwepo Maritime transport ya kusafirishia Wanyama wakiwa hai kutoka Tanzania kwenda Oman

Madini yameuzwa, gesi ya asili imeuzwa! Loliondo imeuzwa! Ngorongoro wameuza! Na wanyama nao wasafirishwe wakiwa hai kwenda Oman! Sasa kama nchi, tutabakiwa na nini!
 
JPM Baba rudi basi
Badala ushukuru Mungu kwa kutondolea ile kadhia wewe unatamani yule muuaji arudi tena. Kuwa siku watumwa walipewa uhuru wao lakini wengine wakakataa kuondoka na kuomba kubaki utumwani. Nadhani hata wewe ni aina ya watu wale.
 
Hii ziara angeenda Mwinyi tu.

Wazanzibar wasituingize mkenge watanganyika kwenye mahusiano na Oman.

Hao wanyama hai wachukuliwe Zanzibar!
 
Jiwe alipigwa vita na kila mtu mwenye akili timamu.
 
Hawezi kuamka huyo, kwanza macho yake yamelegea utadhani amekula kungu! Anazidi kupotelea kwenye usingizi wa pono!
Wakiisha wanyama itabidi irudishwe biashara ya watumwa!
Seriously, badala ya kuanzisha viwanda ili tuuze processed animal products unawaza upuuzi wa kusafirisha wanyama ghafi astaghafurrulahi🙆!
Mungu kwa nini ulimchukua Magu mapema?
Kweli JPM hatunae Tena! RIP JPM, our beloved president of the united Republic of Tanzania!
 
Anachofanya "Mama" ni sawa tu na alichofanya JPM kuanzisha hifadhi ya Burigi-Chato na kupeleka wanyama kule.

Kwa wanzanzibar,Oman ni home away from home.

Kwahiyo na yeye anapeleka wanyama nyumbani kwao pia!😁

Pinda Chana hatastopisha hili.
 
Mkuu siyo poa kuhusisha tatizo langu na mada ya kitaifa
 

Mbona unajiwahi bwa shee, nasisi tunajua ni wanyama hai tu
 
Kwanini wasichinjwe viwanda vyetu vya nyama na ngozi vipate biashara
 
Hapa wamelengwa wanyama pori tu,wanyama kama ng'ombe kusafirishwa hai ni kupeleka ajira nje tu

Waarabu wanapenda sana wanyama pori kwa ajili ya kula
Sioni vibaya kama wakiuziwa Pofu au Nyati ,Swala, digidigi na Nsha

Wapo wengi sana hawaishi

Kama tukiruhusiwa kuwafuga pia na kuwa na mashamba ya kufuga Swala tunaweza pia
Mbona wazungu wana mashamba yao ulaya na wanafuga Swala waliotoka Africa miaka kibao ?

Hao walinunua wachache na wamezaliana huko kwao
 
Ni lini mtauza finished products? Wakiuzwa ng'ombe walio hai viwanda vya nyama vitawauzia nani?
 
Kitimoto 😳😁😁😁😁😁😁😁😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…