Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aibu yakoAliyeombwa msamaha na mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema mchungaji Msigwa
Badala ushukuru Mungu kwa kutondolea ile kadhia wewe unatamani yule muuaji arudi tena. Kuwa siku watumwa walipewa uhuru wao lakini wengine wakakataa kuondoka na kuomba kubaki utumwani. Nadhani hata wewe ni aina ya watu wale.JPM Baba rudi basi
Ndiyo maana uliacha begi katika gari, akili kisodaJiwe alipigwa vita na kila mtu mwenye akili timamu.
Jiwe alipigwa vita na kila mtu mwenye akili timamu.
1: Mh LissuNitajie watu watano tu unaowajua aliyowauwa bwana yule.
Ya Ufipa stAibu yako
Utafukuzwa tena fanya kaziYa Ufipa st
Hawezi kuamka huyo, kwanza macho yake yamelegea utadhani amekula kungu! Anazidi kupotelea kwenye usingizi wa pono!Mama anazingua sana Sasa hivi.
Anatuuza mchana kweupe, Hapo ametumia Tu lugha ya staha Ila kinacholengwa ni wild animals.
Now, nimeelewa sasa kwanini ilisemwa mwanamke ni kiumbe dhaifu even if amesoma Ila Bado haiondoi udhaifu wake wa kiasili.
Pamoja na mazuri yake Ila kwa haya yanayoendelea mama anatuangusha sana.
Namuombea kwa Mungu apate kuamshwa kwenye usingizi wa fikra.
Ndugu hii inahusiana vp na mimi kusahau begi langu?Ndiyo maana uliacha begi katika gari, akili kisoda
Mkuu siyo poa kuhusisha tatizo langu na mada ya kitaifaNimesahau mzigo ndani ya basi
Habari wakuu. Moja kwa moja kwenye mada, Jumapili iliyopita ya tarehe 05/06/2022 mida kama ya saa 1 usiku kuelekea saa mbili nikiwa natoka Dar kwenda Morogoro ndani ya bus mali ya kampuni ya Frester nikaamua kushukia Chalinze na kusahau begi langu lenye computer na vitu vingine. Nikatafuta...www.jamiiforums.com
View attachment 2259291
Salaam Wakuu,
Rais Samia katika Kongamano la Wafanyabiashara wa Oman na Tanzania, amesema kuna umuhimu Mkubwa wa kuangalia Usafiri wa Majini akimanisha Meli yenye Uwezo wa kusafirisha Wanyama wakiwa hai kutoka Tanzania kwenda Oman.
Watu hapa wasifikilie Wanyama Pori tu, Bali ni Habari njema kwa Wafugaji wa Tanzania kwani sasa Wataanza Kusafirisha Ng'ombe, Sungura, Kitimoto, Mbuzi, Swala, Twiga nk hasa kwa wawindaji wenye Vitaru.
Pia kazungumzia kuhusu meli za Kuvua samaki Bahari Kuu.
Amewataka Oman waje kuwekeza Tanzania ardhi ipo ya kutosha.
Watanzania Kaeni Mkao wa kula.
............................................................................
Rais Samia akiwa kwenye kongamano Kiuchumi nchini Oman, amesema kuwepo kwa vyombo vya usafirishaji vya majini kusafirisha wanyama walio hai na bidhaa mbalimbali kwenda Oman kutaboresha biashara kati ya pande hizo mbili
Pia amegusia japokuwa tuna makubwa ya kuvua, kwa sasa hamna uvuvi wenye tija kwa taifa, amesema “kuna nchi zinakuja Tanzania kuvua na hatuwezi kuwafukuza kwa sababu hatuna vifaa, hivyo wanavua na kuondoka, hili ni eneo lingine ambalo tunaweza kushirikiana kwa pamoja”
Amesema kuwa kongamano la mwaka huu limekusudia kuangazia namna Tanzania itashirikiana na Oman katika sekta za utalii, kilimo, Uzalishaji (viwanda) mifugo na uvuvi na usafirishaji wa majini
SOKO LA WANYAMA HAI LIENDESHWE KISASA, TANZANIA TUNA MIFUGO MINGI
Tufanye kama vile wanavyofanya Australia kusafirisha kondoo, ngombe, mbuzi kupeleka masoko ya Omani na Arabuni
Livestock Transport: Take a ship tour onboard MV Becrux
Take a tour of the MV Becrux - a state-of-the-art purpose built live export vessel as it prepares to carry sheep and cattle from Australia to their overseas destinations. The MV Becrux has been engaged in live exports non-stop since its launch, carrying Australian sheep and cattle to various live export destinations in Asia and the Middle East. This livestock export ship has a desalination plant on board and produces all the fresh water for both livestock and crew. The MV Becrux has completed over 80 voyages carrying more than 3 million sheep and 500,000 cattle.
Hapa wamelengwa wanyama pori tu,wanyama kama ng'ombe kusafirishwa hai ni kupeleka ajira nje tu
Ni lini mtauza finished products? Wakiuzwa ng'ombe walio hai viwanda vya nyama vitawauzia nani?Kwa mfano ngombe wa ASAS wapelekwe soko la kimataifa kupitia bandari mpya ya Bagamoyo, hivyo kuna umuhimu wa kuwa na gati ktk bandari ya roll in roll off ya wanyama hai na mashamba ya kuneneoesha mifugo tayari kwa safari ya kuuzwa kimataifa. Tanzania inaongoza kwa kuwa na mifugo mingi Afrika na nchi ipo strategical karibu na Arabuni pia Comoro
Kweli Rais ametamka kitimoto kwenda Oman, au mleta uzi amejiongeza?Kitimoto kwenda Oman eeehhh???
Kitimoto 😳😁😁😁😁😁😁😁😂😂😂😂View attachment 2259291