Oman: Rais Samia ataka kuwepo Maritime transport ya kusafirishia Wanyama wakiwa hai kutoka Tanzania kwenda Oman

Si kila Mara customer huwa ni king
biashara yoyote ni vile ulivyoamuaa kuifanya. Tunanunua nguzo sana kutoka china, kwa hiyo leo tuliwaambia wachina hatununui nguo zao tena mpaka wajenge viwanda vyao huku watakubali?
Leo tunauza maparachichi nje ya nchi, kwa hiyo wakisema tuwauzie miti ya miparachichi badala ya parachichi napo tutakubali?
 
Akina Tembo lazima iwe meli
Wanyama Hai, Wanyama Hai, Wanyama Hai.
Sidhani kama tembo analiwa! Au Simba analiwa? Au Fisi analiwa? Au Kima analiwa!!!
Nafikiri kauli hii inahusisha wanyama ambao wamekuwa wakisafirishwa baada ya kuchinjwa.
 
Ndugu zenu? Usinilishe maneno!

BTW:Mimi huwajibika kwa ninachokiandika tu na si uelewa wa mtu
 
Hivi kweli duniani kuna uuzaji wa vitoweo wakiwa hai? Ngombe, nguruwe, kuku sungura wote huuzwa kama nyama na sio wakiwa hai. Hii ni pamoja na kuepuka kusambaza magonjwa.

Lakini pia tunazungumza kuanzisha viwanda vya kuongeza thamani mazao yetu huku kuuza live animal hakuna afya kwa viwanda na ajira nchini
 
Sharjah wameshaanzisha mbuga ya wanyamapori wa Africa.

Kitakachotikea watalii wanaokuja Africa wataenda Sharjah.

Samia amerudia habari hi,i za kutaka kupeleka wanyama nje, alilisema New York City, tena bila kuulizwa.

Alipita Central Park akajiropokea tu kwamba hapa tunaweza kuwapa wanyama muwaweke.
 
Huwa najiuliza bila kuwaambia atawapa wanyama hawawezi kumsikiliza?
 
Amesahau kuwakumbusha sasa kuacha kuwanyanyasa dada zetu wanaoenda kuganga njia kwenye majumba yao na ku end human trafficking
 
Wanyama Hai, Wanyama Hai, Wanyama Hai.
Sidhani kama tembo analiwa! Au Simba analiwa? Au Fisi analiwa? Au Kima analiwa!!!
Nafikiri kauli hii inahusisha wanyama ambao wamekuwa wakisafirishwa baada ya kuchinjwa.
Tembo analiwa bwashee

Waziri Kigwangalla alikuwa alileta nyamae za Tembo Swala Pofu Mamba nk nk na kutuuzia pale kijiji cha makumbusho
 
Nchi ya vituko hii, badala ya kuwamba wake wajenge viwanda vya nyama unawabia utawauzia wanyama hai. Alafu unataka maendeleo
Haya ndio yamefanya nchi za Africa kuwa hapa zilipo
 
Wanyama Hai, Wanyama Hai, Wanyama Hai.
Sidhani kama tembo analiwa! Au Simba analiwa? Au Fisi analiwa? Au Kima analiwa!!!
Nafikiri kauli hii inahusisha wanyama ambao wamekuwa wakisafirishwa baada ya kuchinjwa.
Kuhusu hao Simba na tembo aalisema alipokua Marekani kuwa anaomba awape hao wanyama maana kwao wapo wachache
 
Kwahiyo nchi kama Australia wanaosafirisha Kondoo huko ni wajinga ila wewe ndio una akili kuwazidi? Kama hao wahitaji wametaka Ng'ombe hai,wewe tatizo lako ni nini?
 
Mambo haya yalianza na Mwinyi kuuza kipande cha Serengeti mpakani mwa Loliondo.
Akaja Kikwete kuwapa Ngorongoro na twiga kusafirishwa mchana.
Mama anafuata nyayo tu
Kwanini hawa wote dini yao ni moja?? Au ni maagizo ya dini kuuza wanyama na ardhi za Tanzania
 
Hakuna dili lolote hapo. Wao wanapaswa kuuziwa finished products Kama nyama. Viwanda hapa vipo Kama havipo serikali iweke mazingira viongezwe au hao waoman waje kujenga viwanda huku wasafirishe hizo nyama

Kama Australia waliwapelekea nyama ya kangaroo kwa jina la kondoo
Unafikiri Sisi tutawapelekea nini?

Ila wapo wanaopeleka nyama kutoka Dar na Dodoma pia
Ila nchi nyingi wanapenda wanyama hai wachinje wenyewe nalijua sana hili
Lakini ni mawazo pia ila mwisho wa siku watamalizana wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…