Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si kila Mara customer huwa ni kingMsemo wa 'Customer is always the King' , hatuwezi kuwalazimisha wateja bali tunafuata vile wateja wanavyopenda. Yaani nyama za makopo zilizosindikwa hazina biashara kubwa zaidi ya nyama za buchani zilizotoka ktk machinjio ya jirani na kwao.
Tamaduni za wateja ziheshimiwe na biashara ilenge vile mteja anataka na tuifanye vizuri ndivyo tutakavyowashinda washindani wetu wa soko la wanyama hai .
Wanyama Hai, Wanyama Hai, Wanyama Hai.Akina Tembo lazima iwe meli
Ndugu zenu? Usinilishe maneno!Hoja yako ilikua ni kuhamisha wanyama na ukasema oman ni ndugu zetu, ndio nikakuuliza Marekani alisema pia atawapa nao ni ndugu zetu?
Serious business ya kuuza wanyama hai?
Nchi zote duniani zimeendelea kwa kuwa na viwanda vya kuzalisha finished products na kuuza nje. Kwa nn hao wa oman wasije kuwekeza viwanda vya nyama hapa?
Zanzibar ilianza kupata maendeleo kabla ya TanganyikaMkiwa kwenye vikao vyenu vya Lumumba mwambieni Mwenyekiti hao wanyama wawe wale wakutoka Zanzibar
Hivi kweli duniani kuna uuzaji wa vitoweo wakiwa hai? Ngombe, nguruwe, kuku sungura wote huuzwa kama nyama na sio wakiwa hai. Hii ni pamoja na kuepuka kusambaza magonjwa.View attachment 2259291
Salaam Wakuu,
Rais Samia katika Kongamano la Wafanyabiashara wa Oman na Tanzania, amesema kuna umuhimu Mkubwa wa kuangalia Usafiri wa Majini akimanisha Meli yenye Uwezo wa kusafirisha Wanyama wakiwa hai kutoka Tanzania kwenda Oman.
Watu hapa wasifikilie Wanyama Pori tu, Bali ni Habari njema kwa Wafugaji wa Tanzania kwani sasa Wataanza Kusafirisha Ng'ombe, Sungura, Kitimoto, Mbuzi, Swala, Twiga nk hasa kwa wawindaji wenye Vitaru.
Pia kazungumzia kuhusu meli za Kuvua samaki Bahari Kuu.
Amewataka Oman waje kuwekeza Tanzania ardhi ipo ya kutosha.
Watanzania Kaeni Mkao wa kula.
............................................................................
Rais Samia akiwa kwenye kongamano Kiuchumi nchini Oman, amesema kuwepo kwa vyombo vya usafirishaji vya majini kusafirisha wanyama walio hai na bidhaa mbalimbali kwenda Oman kutaboresha biashara kati ya pande hizo mbili
Pia amegusia japokuwa tuna makubwa ya kuvua, kwa sasa hamna uvuvi wenye tija kwa taifa, amesema “kuna nchi zinakuja Tanzania kuvua na hatuwezi kuwafukuza kwa sababu hatuna vifaa, hivyo wanavua na kuondoka, hili ni eneo lingine ambalo tunaweza kushirikiana kwa pamoja”
Amesema kuwa kongamano la mwaka huu limekusudia kuangazia namna Tanzania itashirikiana na Oman katika sekta za utalii, kilimo, Uzalishaji (viwanda) mifugo na uvuvi na usafirishaji wa majini
Sharjah wameshaanzisha mbuga ya wanyamapori wa Africa.yaani apo watakao 'safirishwa' (kuibiwa) ni wild animals kama twiga, faru, tembo, simba & Nyati etc. na wala si domestic animals kitimoto, mbuzi au ng'ombe
UWT sijui wanakwama wapi, yaani wamelala usingizi wa pono wakati mama anaelekea kuihujumu nchi ya Tanganyika tena live kabisaa,
Nimerudia ulichokiandika au hukusema oman ni ndugu wa Zanzibar?Ndugu zenu? Usinilishe maneno!
BTW:Mimi huwajibika kwa ninachokiandika tu na si uelewa wa mtu
Huwa najiuliza bila kuwaambia atawapa wanyama hawawezi kumsikiliza?Sharjah wameshaanzisha mbuga ya wanyamapori wa Africa.
Kitakachotikea watalii wanaokuja Africa wataenda Sharjah.
Samia amerudia habari hi,i za kutaka kupeleka wanyama nje, alilisema New York City, tena bila kuulizwa.
Alipita Central Park akajiropokea tu kwamba hapa tunaweza kuwapa wanyama muwaweke.
Tembo analiwa bwasheeWanyama Hai, Wanyama Hai, Wanyama Hai.
Sidhani kama tembo analiwa! Au Simba analiwa? Au Fisi analiwa? Au Kima analiwa!!!
Nafikiri kauli hii inahusisha wanyama ambao wamekuwa wakisafirishwa baada ya kuchinjwa.
Nchi ya vituko hii, badala ya kuwamba wake wajenge viwanda vya nyama unawabia utawauzia wanyama hai. Alafu unataka maendeleoHivi kweli duniani kuna uuzaji wa vitoweo wakiwa hai? Ngombe, nguruwe, kuku sungura wote huuzwa kama nyama na sio wakiwa hai. Hii ni pamoja na kuepuka kusambaza magonjwa.
Lakini pia tunazungumza kuanzisha viwanda vya kuongeza thamani mazao yetu huku kuuza live animal hakuna afya kwa viwanda na ajira nchini
Mwamba kagoma kutuvushaKwisha habari.
Kuhusu hao Simba na tembo aalisema alipokua Marekani kuwa anaomba awape hao wanyama maana kwao wapo wachacheWanyama Hai, Wanyama Hai, Wanyama Hai.
Sidhani kama tembo analiwa! Au Simba analiwa? Au Fisi analiwa? Au Kima analiwa!!!
Nafikiri kauli hii inahusisha wanyama ambao wamekuwa wakisafirishwa baada ya kuchinjwa.
Kwahiyo nchi kama Australia wanaosafirisha Kondoo huko ni wajinga ila wewe ndio una akili kuwazidi? Kama hao wahitaji wametaka Ng'ombe hai,wewe tatizo lako ni nini?Kuuza nyama na kuuza ng'ombe ipi ni fixed mentality?
Anayeuza nyama ndio amechangamkia fursa kwa kuwa anauza finished product. Na ataongeza thamani ya bidhaa yake kuliko kuuza ng'ombe
Matatizo unayoyaona Leo kwenye nchi zote za Africa ni sababu ya huo ujinga wa kuuza malighafi na sio finished products.
Kwanini hawa wote dini yao ni moja?? Au ni maagizo ya dini kuuza wanyama na ardhi za TanzaniaMambo haya yalianza na Mwinyi kuuza kipande cha Serengeti mpakani mwa Loliondo.
Akaja Kikwete kuwapa Ngorongoro na twiga kusafirishwa mchana.
Mama anafuata nyayo tu
Hakuna dili lolote hapo. Wao wanapaswa kuuziwa finished products Kama nyama. Viwanda hapa vipo Kama havipo serikali iweke mazingira viongezwe au hao waoman waje kujenga viwanda huku wasafirishe hizo nyama