Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,720
- 6,957
Tatizo ni marehemu kumpendekeza huyu "Bibi" kuwa mgombea mwenza wake mwaka 2015.
Marehemu katuachia balaa kubwa sana.
Marehemu katuachia balaa kubwa sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio mbaya tatizo letu udhibiti hatuna,ndio maana unaona malalamiko maana yalishatokea huko nyuma,wanyama wanasafirishwa ambao hawapo hata hawaruhusiwi,hilo la kufuga sawa maana hata sisi tuna shida ya kula nyama ya porini,zilianzishwa bucha za nyama pori kila ukienda unaambiwa nyama hakuna,jamaa wanasema masharti magumu,lakini utashangaa huko uarabuni wanyama wataenda kirahisi mno
Niwew kwel mpiga miluziAkina Tembo lazima iwe meli
Akili ni nyingi sana hizi.Kama Somalia na Australia wanapeleka Ng'ombe na Mbuzi wa kutosha huko Oman, Oman anatafuta nini tena kutoka Tanzania?
Hivi unadhani Oman wana uhaba wa Mbuzi au Ng'ombe mpaka waje kuwasaka Tanzania?
Hivi Oman wanaposema wanataka kununua wanyama hai kutoka Tanzania unadhani wanataka Ng'ombe na Mbuzi? Ili wakawafuge au kuwachinja?
Jiongeze ndugu.
Toa hoja mkuuUmeandika maswali ya kitoto sana wala haina haja ya kukujibu,naona kama vile umesha jikoki kubishana tu! Endelea kuamini unachokiamini.
Kuna watu wanajiandikia tu humu ili mradi na yeye awe yumo!
Watu wanapewa fursa wanaanza matusi na kashfa! Sijui mara Twiga wetu,mara Tembo wetu! Na hizi fikra zimekuwepo miaka na miaka! Bila kubadili hizi mentality tutaendelea kulalamika maisha magumu milele na milele.
Tembo ni kitoweo bwasheeNiwew kwel mpiga miluzi
Upo sahihi boss, usisahau lakini Tz ni moja ya nchi yenye idadi kubwa ya mifugo Africa (Ukiondoa Sudan Kusini), kama kuuza mifugo ni njia ya kupanua biashara si mbaya.Wanyama hai sawa..ila tutapigwa sana...mana watachukua faida yote kutoka kwenye kwato..pembe..ngozi na offals.
Sikubaliani nalo hili.
Wauziwe meat and meat products sio myama hai.
Haya mambo JPM aliyakataa ya kuuza malighafi...hatuwezi kuza viwanda vya ndani na raia wetu watakosa kazi na ajira.
#MaendeleoHayanaChama
Panda juu soma comments zangu.Toa hoja mkuu
Mkuu msamehe bureTuhamasishe viwanda vijengwe hapa, ng'ombe achnjwe pale vingunguti, ngozi ipelekwe kwenye kiwanda cha Rostam pale morogoro. Ajira zitapatikana hapa, serikali itapata kodi nk.
Wanyama wakienda wazima, kuna kipato tutakikosa, serikali inatakiwa ishauriwe kwa hekima waelewe. Sasa nyinyi vijana wa kulipwa pesa kdg na kumsifia mama siku nzima upo online kwenye mada za kumtetea mama, huna unalojua zaidi ya matusi.
Vijana kama wewe ni bora sperms zingepotelea chooni, kwani mpo duniani kua "ass kissers" eti leo unamtukana hadi Mwalimu Nyerere... Dahhh.
Job Ndugai alishasema, iko siku tutauzwa ndo tumeanza hivyo kuuzwaSalaam Wakuu,
Rais Samia katika Kongamano la Wafanyabiashara wa Oman na Tanzania, amesema kuna umuhimu Mkubwa wa kuangalia Usafiri wa Majini akimanisha Meli yenye Uwezo wa kusafirisha Wanyama wakiwa hai kutoka Tanzania kwenda Oman.
Watu hapa wasifikilie Wanyama Pori tu, Bali ni Habari njema kwa Wafugaji wa Tanzania kwani sasa Wataanza Kusafirisha Ng'ombe, Sungura, Kitimoto, Mbuzi, Swala, Twiga nk hasa kwa wawindaji wenye Vitaru.
Pia kazungumzia kuhusu meli za Kuvua samaki Bahari Kuu.
Amewataka Oman waje kuwekeza Tanzania ardhi ipo ya kutosha.
Watanzania Kaeni Mkao wa kula.
............................................................................
Rais Samia akiwa kwenye kongamano Kiuchumi nchini Oman, amesema kuwepo kwa vyombo vya usafirishaji vya majini kusafirisha wanyama walio hai na bidhaa mbalimbali kwenda Oman kutaboresha biashara kati ya pande hizo mbili
Pia amegusia japokuwa tuna makubwa ya kuvua, kwa sasa hamna uvuvi wenye tija kwa taifa, amesema “kuna nchi zinakuja Tanzania kuvua na hatuwezi kuwafukuza kwa sababu hatuna vifaa, hivyo wanavua na kuondoka, hili ni eneo lingine ambalo tunaweza kushirikiana kwa pamoja”
Amesema kuwa kongamano la mwaka huu limekusudia kuangazia namna Tanzania itashirikiana na Oman katika sekta za utalii, kilimo, Uzalishaji (viwanda) mifugo na uvuvi na usafirishaji wa majini.
Mkuu usifike hukoHapo unaweza kukuta upo hapo kwa Shemeji yako juu ya sofa na remote ya tv huku ukisubiri ugali wa shikamoo,wenye kutambua fursa wata changamkia,wewe endelea tu kubadili channel hapo kwa Dada.
Ametoa list ya wanyama watao safilishwa?Hii nchi ina wajinga wengi sana. Yaani Wanyama hai wanapeleka dhana ya TWIGA, SIJUI SIMBA aiseeee.
Jmn Watz wanyama hai inamaanisha MBUZI, KONDOO, NG'OMBE, KUKU nk.
Mbona huwa tunawaza negativity all the way.....
USSHAMBA WA WATANZANIA UMEWAFANYA KUWA NA WOGA WA KILA KITU.
UJINGA PIA NAO UNACHANGIA.
Sina nongwa za ajabu ajabu.Weka na wewe hisia zako tuone