Oman yapiga Marufuku abiria yeyote kutoka Tanzania asikanyage kwao

".....wanatuonea wivu....hivi ni vita vya kiuchumi.....hii nchi tumeibiwa sana.....wapinzani walituchelewesha....au naongopa ndugu zanu...."
 
Hivi korona ipo au haipo Tanzania?
 
HAWANA LOLOTE WANATUONEA GERE TU NA TANGAWIZI ZETU.. 😷 🥴
 
kwa hito unataka tupate faraja kwa sababu ni nchi nyingi?!? swali hapa na masikitiko hapa ni WHY MY TANZANIA!?!? hata kama ingekuwa kwa siku moja tu WHY TANZANIA?!? mi naona ndio la msingi hapa
 
Yeye ni mtanzania ameamua kuizungumzia nchi yake sasa kuna tatizo gani?Halafu Tanzania kuwekwa kundi moja na nchi kama South Africa ni hatari sana maana hilo Taifa limeathiriwa pakubwa.

Mpaka Oman kufikia kuiwekea vikwazo vya safari Tz basi ujue kuna tatizo kubwa ndani ya serikali hawalifanyii kazi.
 
Kwahiyo hayo mataifa nayo hayafuati kanuni za WHO kam tz?

Bavicha hili suala la corona hakitawafikisha popote. Muulizeni Mbowe mwaka jana baada ya kujaribu ili ajipatia kiki akaishia kutimuana chamani
Wanachoangalia ni wingi wa maambukizi maana watanzania wanaoingia Oman wakipimwa kule zaidi ya 18% wanapatikana na virusi vya korona.
 
Watetezi watakuja punde waseme “kwanza hatupo peke yetu by the way, zipo Nchi 10”

Kuna watu siku zote hutafuta namna ya kutetea tuuuu na hawaangalii picha kubwa
Hata wewe pia
 
Dah majamaa ya UVCCM ni mabishi balaa kwa kila kitu hata kama ni issues za maana zinaongelewa dah.
 
Wewe umeona ni Tanzania tu iliyozuiliwa watu wake kuingia Oman
Siku mwanao akija na kukuonyesha matokeo amescore 7% ukamuhoji na akakwambia “tupo wengi tumepata 7% na wengine wamepata 3%”. nadhani wewe unaweza kuwa happy tu kwa kuwa “wapo wengi na hivyo sio shida” na life likasonga as if hakuna lililotokea

Two wrongs don’t make it a right. Look at the big picture!
 
MUNGU YUPO
 
Hata katika familia ukiona huna msimamo wa maamuzi yako huwezi huthaminiwa Tanzania tuna maamuzi yetu kama nchi wasitubabaishe kabisa 1961 uhuru tulipata
 
Hata katika familia ukiona huna msimamo wa maamuzi yako huwezi huthaminiwa Tanzania tuna maamuzi yetu kama nchi wasitubabaishe kabisa 1961 uhuru tulipata
Baki na uhuru wako, hata panya wapo huru lakini wanazuiwa kuingia kwenye maboma ya watu
 
Maneno ya GODBLESS Lema yanatimia
 
Ikumbukwe kwamba Tanzania na Oman zina uhusiano wa karibu sana hususan Zanzibar ambao wameoleana sana. Hili litatuathiri sana.
Subiri atajitokeza mwanasiasa anakwambia kwani wakati wanaoa hawakujua kama sisi tuko tulivyo?
 

Mambo sio mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…