Oman yapiga Marufuku abiria yeyote kutoka Tanzania asikanyage kwao


Point ya maana. South Africa na Nigeria zina strain ya corona inayotisha zaidi na imeshaonekana kwa wasafiri toka Tanzania na nchi zingine. Tatizo zaidi ni kuwa Tanzania kuna blackout ya taarifa za Covid-19, hivyo hakuna namna ya kujua status ikoje. Wasiotaka shida wanatupiga blanket ban tu.
 
Mkuu, piga kazi ustake kuiona siku mbaya asubuhiasubuhi!
 
Wewe umeona ni Tanzania pekee iliyozuwiwa watu wake kuingia Oman?

Au na wewe ni walewale Watanzania mwili Ila mioyo Yao ni mabeberu?
Mkuu mimi pia ni beberu, je wew ni kinyume na beberu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Beberu??
Kwetu huku mabeberu tunawaita wapumbavu na wezi wa rasilimali zetu
Na watalii ni hao hao mabeberu au watalii wanatoka nchi tofauti na mabeberu. Inaonekana mabeberu no watu wabaya sana lakini tumenunua dreamliner kuwaleta watalii wasipate shida kabisa. Ebu tuelimishe mkuu
 
I am very pleased with the decision of the Ministry of Justice to change the use of English in court to bring it to our beloved Kiswahili language.

Meaning For most Tanzanians they do not know English like this relative

Use only Swahili
I meant that a leaders should always strusggle to be unique and excell in whatsoever she/he does not mimicing what others do.


I know English my dear more than your eloquent English from SAUT
 
I meant that a leaders should always strusggle to be unique and excell in whatsoever she/he does not mimicing what others do.


I know English my dear more than your eloquent English from SAUT
Ha ha hujui lugha ya malkia ila endelea kujipima hapa jf mradi hoja inaeleweka
 
Mkuu antimatter nilichotaka kufafanua hapo ni kuondoa atmosphere kwamba only Tanzania imepigwa pini, kuna kitu kinatengenezwa as if ni Tanzania tu, jambo ambalo sio sahihi,

Hali kama hii iliwahi kutokea kwa uingereza, kuzuia wasafiri kutoka Tanzania , DRC na nchi nyingine , lakini ajabu watu na western media walishadadia sana Tanzania kuliko hata DRC, sasa hapa unapata ukakasi kuna nini nyuma ya agenda hii, kwanini vyombo vya habari vishadadie Tanzania tu nakuacha nchi nyingine?!
 
Mkuu kwa akili yako ndogo tu, kama unaongelea/kuandika suala la Corona kati ya Tz na Malawi, heading yako utahusisha Malawi au Tz, ndiyo maana hata vichaa wawili kuna mmoja ni kichaa zaidi.
 
Na watalii ni hao hao mabeberu au watalii wanatoka nchi tofauti na mabeberu. Inaonekana mabeberu no watu wabaya sana lakini tumenunua dreamliner kuwaleta watalii wasipate shida kabisa. Ebu tuelimishe mkuu
Mkuu, tafadhari bhana!!
Beberu ni beberu, na ndicho nimeandika, wewe umeona nimeandika mtalii au dreamliner hapo?

Punguza mahaba
 
Nikusaidie tu ndugu Mataga, hujalazimishwa ila umepigwa ban ili upambane kivyako, nani kakulazimisha? Sijui umeelewa au ndiyo yale mambo ya kukabidhi bongo
 
Kuwa serious kupambana na corona ndo kukoje
 
Umetumia akili nyingi kulielimisha taga na bado halitaelewa
 
Mkuu, tafadhari bhana!!
Beberu ni beberu, na ndicho nimeandika, wewe umeona nimeandika mtalii au dreamliner hapo?

Punguza mahaba
Sawa mahaba sipunguzi, ila bado mnaotumia msamiati wa mabeberu hamtaki kututoa ujinga sisi wenzenu ili tuwatambue pia, wanaokuja TZ wengi ni watalii hao mabeberu wanatoka nchi hizo hizo wanazotoka watalii au tofauti. Mbona mnakuwa wagumu kujibu hoja nyepesi namna hii au na wewe hujui beberu ni nani ?
 
Anzisha Uzi ujibiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…