Omary Mjenga: Gharama za Gulf Stream kwenda Rio de Janerio Brazil ni mara 7 ya Dreamliner ya ATC

🤣🤣🤣
 
Wananchi waelezwe gharama yote ya Mhe. Rais kwenda Brazil kwenda na kurudi ikijumuisha ujumbe wake wote. Pili tuelezwe ni faida gani itapatikana na safari ya Mhe. Rais kwenda Brazil?.
🙋‍♂️👍👏👌🤝🙏
 
Omary Mjenga,kijana zao la Songea Boys Secondary School
 
Hatujapigwa mbona kawaida sn
 
Huyu Omary naye anafukuzia uteuzi
 
Hivi mbona Rais wa Zambia huwa anaondoka na watu wasiozidi wa4 na hatujawahi kusikia amepata shida huyu wa kwetu anaondoka na watu zaidi 100 kwenda kufanya nini? huyu mama hana huruma na watanzania hata kdg
 
Huyu mama siyo mzalendo hata kdg ni aibu tupu
 
Yeye si anakuta tu ndege hapo anapanda ? Acha ajilie raha mwanamke mwenzetu, maisha ni haya haya tena ni mafupi.
Kwa hiyo ajilie mwenyewe kwa vile kwa wengine maisha yao ni marefu, siyo?
 
Kwa hulka za machawa watakubeza kwa kauli sawa na hizi:
Acha wivu wa like
Ndege wapo nayo Rio na wanatamba nayo!
Chungulia angani!
Kajiajiri
Bata batani
 
Fedha za walipa kodi zinatumika kirafiki? Vifaa muhimu vya uokoaji vipo?
 
Cha kusikitisha ni kwamba Samia alisema mashirika ya umma yasiingiliwe na wanasiasa halafu yeye anatumia ndege ya shirika la umma.
 
Kiukweli wewe ni mpumbavu,Rais ataenda popote bila kujalisha gharama yaani unafanya marudio.

Enzi ya Mkapa mliambiwa Ndege ya Rais lazima inunuliwe hata kama mtakula nyasi,hii ni baada ya wengine kudai Ina gharama kubwa kama unavyosema wewe.

Kiufupi kuwa na Rais ni gharama
 
Cha kusikitisha ni kwamba Samia alisema mashirika ya umma yasiingiliwe na wanasiasa halafu yeye anatumia ndege ya shirika la umma.
CAG akija kuhoji na yeye atajifanya kushangaa wakati ni yeye amesababisha hasara!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…