Omary Mjenga: Gharama za Gulf Stream kwenda Rio de Janerio Brazil ni mara 7 ya Dreamliner ya ATC

Ona nguruwe 🐖 hili!
 
sawa kabisa ,isije Ikawa tunasafiri kisa kuna siti 100

na,tunaenda kichwa wazi na kurudi kichwa wazi
 
Hakuna hasara ATCL unapata maana hizo ndege Huwa zinakodishwa na Serikali na watalipia Kwa mda wote watakaoitumia.

Hoja iwe idadi ya watu wanaosafiri Hadi kukodi ndege kubwa ila kinyume na hapo hakuna hoja maana ziara nyingi za Rais Nje ya Nchi zimeleta manufaa ya kifedha directly na manufaa ya kiuchumi Kwa uwekezaji au fursa za masoko.
 
Tatizo lako ni kujenga hoja huku ushatoa uamuzi,rais anasagiri kwa madlahi ya nchi,hilo kaa uelewe
 
Wala makombo wa ikulu hampotezi muda kuleta utetezi..
 
Orodhesha faida zilizotokana na ziara za Rais kama siyo kwenda kuuza rasilimali za nchi!
 
Tatizo lako ni kujenga hoja huku ushatoa uamuzi,rais anasagiri kwa madlahi ya nchi,hilo kaa uelewe
Sana sana anakwenda kuuza sura na rasilimali za nchi! Miradi yote inayoendelea kujengwa hivi sasa ilianzishwa na Magufuli ambaye hakuwahi kwenda kuuza sura huko nje!
 
Tumia akili yako kuelewa ujumbe
 
Kama nchi yetu inataka kupata maendeleo ya haraka haraka hawa wazee wote inatakiwa wafe wote kwanza tupate watu wenye akili timamu, huyu mzee naye utakuta ni mkuu wa taasisi.
 
Kama nchi yetu inataka kupata maendeleo ya haraka haraka hawa wazee wote inatakiwa wafe wote kwanza tupate watu wenye akili timamu, huyu mzee naye utakuta ni mkuu wa taasisi.
Huyu ndiye Mtendaji Mkuu wa chuo cha jeshi - National Defense College.
 
Wengi humu ni walalamikaji wasio na taarifa wala kujua mifumo ya kiserikali inafanya vipi kazi.
 
Sana sana anakwenda kuuza sura na rasilimali za nchi! Miradi yote inayoendelea kujengwa hivi sasa ilianzishwa na Magufuli ambaye hakuwahi kwenda kuuza sura huko nje!
Huna ujualo lolote. Ipo miradi mingi sana anaianzisha Samia na inaendelea kupanuka.

Chuki za kundi la hayati JPM zinazeeka pamoja na wahusika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…