Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Ewaaa😂Kwamba
Wanyaki mnapenda wenye uchebe
Ama sijaelewa dada shemeki[emoji1787][emoji848]
Sisi wenyewe tuna vijindevu,sasa tupate mwanaume ana vijindevu si tutakuwa sawa!
Tunataka wenye bustani ya ndevu.