Ombi kwa Rais Samia: Mrudishe Kalemani Wizara ya Nishati

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
7,914
Reaction score
10,793
Ni ombe kwamba Rais Samia amurudishe Medard Kalemani pale Wizara ya Nishati atakusaidia.

Mpeleke January sehemu nyingine akafanye kazi zake huko.

Mfano; Unaweza ukampeleka Mazingira na Muungano ama Viwanda.

Huku Nishati anakuharibia sana, nadhani ni uwezo wake mdogo kumudu mambo magumu.

Naibu wa Nishati aliyepo usimtoe.
 
Huyo mama hachagui wa kumsaidia,kwanza hawajui vzuri kwani yy ni mzenji,...km unafikiri hivyo umepotea!

Huyo makamba ndo anachagua!!Na hyo wizara ndo kajichagulia Mwenyewe!Kulikuwa na ulazima gani nape kuwa waziri??

Hivi hakuna wabunge wengine wapya wenye uwezo wa kuongoza wizara.Kila mwaka ni hao hao tu! Kwanj kwenye nchi hii wao ndo wenye hati miliki ya madaraka?

Haya....,impact yao ni ipi Kwa maendeleo ya nchi katika wizara wanazosimamia
?
They are there to chew our money for nothing in return!
 
Huwa inanishangaza sana ,rais kumchagua au kumteua MTU aliyekuwa waziri zamani au mkurugenzi zamani kuwa kwenye madaraka tena wakati watanzania tupo zaidi ya m 60.inamaana sisi wote ambao hatujazipata hzo nafasi ni vichwa maji? Au ni kuona koo zao ndio zinafaa kuiongoza hii nchi.huwa ni dharau ya hali ya juu sana.ila IPO siku kitaeleweka
 
Msituletee uchuro wenu wa "kisukuma gang" hapa.

Huyo Kalemani ndiyo nani kwanza? Mtu hajui hata kuongea kiswahili eti tumrudishe wizara ya Nishati!? Ni usukuma tu ndiyo ulimpatia nafasi hiyo enzi za jini
 
Kama ana uwezo na kazi husika kuna tatizo gani? Watanzania tuna matatizo sana.
Ukipewa uhuru wa kuandika jamiiforum ni kulalamika tu, sasa hebu tupe mapendekezo yako nani alistahili?
 
Hapo mmepigwa na kitu kizito kichwani , vumilieni tu maana hakuna namna , watu ni wale wale , nguo zile zile , mitizamo ile ile msitegemee kuona mabadiliko asilani.Labda kama atakuja mtu mwingine tofauti nchini, sie ngoja tuendelee kubeba boksi na kusafisha mitaa huku duniani
 
Chuki ni mbaya sana kwani huyo alibadirisha nini?, sasa hivi kuna mabadiriko huwa tunapewa taarifa kama kuna tatizo kipindi chake huyo kaleman ilikuwa nishida. January anatosha sana.
 
Huyo mama hachagui wa kumsaidia,kwanza hawajui vzuri kwani yy ni mzenji,...km unafikiri hivyo umepotea!

Huyo makamba ndo anachagua!!Na hyo wizara ndo kajichagulia Mwenyewe!Kulikuwa na ulazima gani nape kuwa waziri??

Hivi hakuna wabunge wengine wapya wenye uwezo wa kuongoza wizara.Kila mwaka ni hao hao tu! Kwanj kwenye nchi hii wao ndo wenye hati miliki ya madaraka?

Haya....,impact yao ni ipi Kwa maendeleo ya nchi katika wizara wanazosimamia
?
They are there to chew our money for nothing in return!
Kwa maana hiyo unataka kusema kwamba Makamba ndio kajichagulia Wizara??

What are you trying to imply??

Kwamba Rais hana uwezo wa kufanya maamuzi??
 
Wewe kijana uwe na heshima! Acha mawazo yako ya ukabila na kudharau watu!
Msituletee uchuro wenu wa "kisukuma gang" hapa.

Huyo Kalemani ndiyo nani kwanza? Mtu hajui hata kuongea kiswahili eti tumrudishe wizara ya Nishati!? Ni usukuma tu ndiyo ulimpatia nafasi hiyo enzi za jini
 
Huyo mama hachagui wa kumsaidia,kwanza hawajui vzuri kwani yy ni mzenji,...km unafikiri hivyo umepotea!

Huyo makamba ndo anachagua!!Na hyo wizara ndo kajichagulia Mwenyewe!Kulikuwa na ulazima gani nape kuwa waziri??

Hivi hakuna wabunge wengine wapya wenye uwezo wa kuongoza wizara.Kila mwaka ni hao hao tu! Kwanj kwenye nchi hii wao ndo wenye hati miliki ya madaraka?

Haya....,impact yao ni ipi Kwa maendeleo ya nchi katika wizara wanazosimamia
?
They are there to chew our money for nothing in return!
Tatizo lililopo sio la mtu mmoja mmoja bali ni tatizo la system nzima kufel.kwahiyo ata akibadilisha kila leo usitegemee kitu cha tifauti.
 
Ni ombe kwamba Rais Samia amurudishe Medard Kalemani pale Wizara ya Nishati atakusaidia.

Mpeleke January sehemu nyingine akafanye kazi zake huko.

Mfano; Unaweza ukampeleka Mazingira na Muungano ama Viwanda.

Huku Nishati anakuharibia sana, nadhani ni uwezo wake mdogo kumudu mambo magumu.

Naibu wa Nishati aliyepo usimtoe.
Huyo Kalemani ndio chanzo Cha huu mgao,mitambo ya TANESCO ilikuwa inaitaji maintenance,yeye kwa kutaka kumfurahisha mjomba wake akatembeza gari bila oil, mashine zika knock
 
Huwa inanishangaza sana ,rais kumchagua au kumteua MTU aliyekuwa waziri zamani au mkurugenzi zamani kuwa kwenye madaraka tena wakati watanzania tupo zaidi ya m 60.inamaana sisi wote ambao hatujazipata hzo nafasi ni vichwa maji? Au ni kuona koo zao ndio zinafaa kuiongoza hii nchi.huwa ni dharau ya hali ya juu sana.ila IPO siku kitaeleweka
Pambana tupate katiba mpya itakayokufanya ata wewe mwenye uwezo wakuongoza uonekane bila kua chawa au kujipendekeza kwa mtu.
 
Msituletee uchuro wenu wa "kisukuma gang" hapa.

Huyo Kalemani ndiyo nani kwanza? Mtu hajui hata kuongea kiswahili eti tumrudishe wizara ya Nishati!? Ni usukuma tu ndiyo ulimpatia nafasi hiyo enzi za jini
We endelea na mada zako za kukaza nyuchi hii achana nayo.
 
Kama ana uwezo na kazi husika kuna tatizo gani? Watanzania tuna matatizo sana.
Ukipewa uhuru wa kuandika jamiiforum ni kulalamika tu, sasa hebu tupe mapendekezo yako nani alistahili?
Si ameshakutajia hapo na.matokeo tuliyaona chini ya kalemani.
 
Back
Top Bottom