Ombi kwa Rais Samia: Mrudishe Kalemani Wizara ya Nishati

Ombi kwa Rais Samia: Mrudishe Kalemani Wizara ya Nishati

Labda ianzishwe Wizara ya Ngome na mbuzi, Nishati mwanasheria yule haiwezi.
 
Hawa watu ni wajinga. Kila raisi ana njia zake za kuongoza nnchi. Sasa ukimuuliza Makamba kakukosea wapi watakujibu ovyo. Personally simjui January Makamba.
Kelvin, makamba alipokosea hupaoni au labda unaishi Kenya? Kimsingi makamba hafai kabisa na Ana haribu uchumi wa wengi,2025 andaeni polisi wengi.
 
Ni ombe kwamba Rais Samia amurudishe Medard Kalemani pale Wizara ya Nishati atakusaidia.

Mpeleke January sehemu nyingine akafanye kazi zake huko.

Mfano; Unaweza ukampeleka Mazingira na Muungano ama Viwanda.

Huku Nishati anakuharibia sana, nadhani ni uwezo wake mdogo kumudu mambo magumu.

Naibu wa Nishati aliyepo usimtoe.
Daaaah yaani toka mwendazake aondoke umeme umekua taaaaaaabu.

Kila siku matengenezo yasiyoisha

Daaah kweli Magufuli alisema tutamkumbuka

Hao kina makamba,nape ndio maana Magu aliwapiga chini
 
Huyo Kalemani ndio chanzo Cha huu mgao,mitambo ya TANESCO ilikuwa inaitaji maintenance,yeye kwa kutaka kumfurahisha mjomba wake akatembeza gari bila oil, mashine zika knock
Acheni ujinga piece bearing imeisha engine uendelee kuwaka kwa kuwa rais ni magu hiyo haipo,uongo mwingine muwe na aibu kuusema.
 
Back
Top Bottom