Ombi kwa Rais Samia: Mrudishe Kalemani Wizara ya Nishati

Ombi kwa Rais Samia: Mrudishe Kalemani Wizara ya Nishati

Kwaiyo Kalemani Ni special one, ikitokea amekufa tutakaa giza milele au sio!?
Alijitahidi sana pale Nishati. Hata JK alijikuta anamrudisha JPM Ujenzi ingawa aliwahi kumbadilisha, lkn aliyepewa kuwa Waziri wa Ujenzi baada ya JPM alishindwa kufikia viwango ikabidi JK amrudishe tu.

Kama Kalemani aliifanya Wizara na Tanesco kuwa bora na bado yupo, akirudishwa inaswihi.

Vv
 
Ni ombe kwamba Rais Samia amurudishe Medard Kalemani pale Wizara ya Nishati atakusaidia.

Mpeleke January sehemu nyingine akafanye kazi zake huko.

Mfano; Unaweza ukampeleka Mazingira na Muungano ama Viwanda.

Huku Nishati anakuharibia sana, nadhani ni uwezo wake mdogo kumudu mambo magumu.

Naibu wa Nishati aliyepo usimtoe.
Kwani alizaliwa kuwa waziri? Why usijipigie debe hata wewe? Au wewe upo duniani ili uwe chawa??
 
Vifurushi havija pungua bei ili sasa wote tulipe kodi, una daiwa loans board umeajiriwa private sector sasa

Sasa matusi ndiyo yana fanya muonekane hamna hoja, ukinijibu kistaarabu utapungukiwa nini. Watu wengi hawawapendi nyie walinda legacy kwakua mna matusi. kwani ukitaja mazuri ya JPM kuna shida gani?
JK alikua ana nia nzuri sana ya kuanzisha shule za kata ila sasa kila mtu ana jua kila kitu.
 
Ni ombe kwamba Rais Samia amurudishe Medard Kalemani pale Wizara ya Nishati atakusaidia.

Mpeleke January sehemu nyingine akafanye kazi zake huko.

Mfano; Unaweza ukampeleka Mazingira na Muungano ama Viwanda.

Huku Nishati anakuharibia sana, nadhani ni uwezo wake mdogo kumudu mambo magumu.

Naibu wa Nishati aliyepo usimtoe.
Ombi hili zuri Sana, natamani Mhe Rais alione na alifanyie kazi kwa haraka! Tunamuhitaji aendelee kututawala 2025, na Umeme ndio kitu pekee kinachoweza kuzima ndoto hiyo! Hongera Sana mtoa post unaonyesha upendo mkubwa kwa Rais wetu kipenzi.
 
Msituletee uchuro wenu wa "kisukuma gang" hapa.

Huyo Kalemani ndiyo nani kwanza? Mtu hajui hata kuongea kiswahili eti tumrudishe wizara ya Nishati!? Ni usukuma tu ndiyo ulimpatia nafasi hiyo enzi za jini
Sifa wa kuwa waziri wa nishati ni kujua kiswahili!!!
 
Alijitahidi sana pale Nishati. Hata JK alijikuta anamrudisha JPM Ujenzi ingawa aliwahi kumbadilisha, lkn aliyepewa kuwa Waziri wa Ujenzi baada ya JPM alishindwa kufikia viwango ikabidi JK amrudishe tu.

Kama Kalemani aliifanya Wizara na Tanesco kuwa bora na bado yupo, akirudishwa inaswihi.

Vv
Tutoleeni utheeenge wenu, msitake kumpangia Rais huo ujinga wenu wa kikabila na udini, huyo Kalemani wenu yeye huwa anatoa fedha mfukoni za kuiendesha hiyo TANESCO?! Au kazaliwa awe waziri wa nishati!?
 
Ombi hili zuri Sana, natamani Mhe Rais alione na alifanyie kazi kwa haraka! Tunamuhitaji aendelee kututawala 2025, na Umeme ndio kitu pekee kinachoweza kuzima ndoto hiyo! Hongera Sana mtoa post unaonyesha upendo mkubwa kwa Rais wetu kipenzi.
Wasukuma mna tabu Sana, huyo Kalemani anaewapa hela mumpigie debe,mwambieni anajiharibia kabisaa
 
Kwani alizaliwa kuwa waziri? Why usijipigie debe hata wewe? Au wewe upo duniani ili uwe chawa??
Umataka tuanzae majaribio wakati walio weza kumdu angalau kwa mda fulani wapo?
 
Kalemani ni jembe hakuna anayeweza kuvaa viatu vyake pale Wizara ya Nishati.
 
Msituletee uchuro wenu wa "kisukuma gang" hapa.

Huyo Kalemani ndiyo nani kwanza? Mtu hajui hata kuongea kiswahili eti tumrudishe wizara ya Nishati!? Ni usukuma tu ndiyo ulimpatia nafasi hiyo enzi za jini
Ila wewe jamaa...kila nikisoma mabandiko yako huwa ninacheka sana😅

Inaonesha wazi JPM alikupiga na kitu kizito kichwani kiasi kwamba akili ikaisha akilini.
 
Sasa kipi bora?

Sukuma gang ama tuendelee kulala giza?.
January amefiti pale Nishati.
200 (9).gif

Sweet Mataga tears
 
Kwa maana hiyo unataka kusema kwamba Makamba ndio kajichagulia Wizara??

What are you trying to imply??

Kwamba Rais hana uwezo wa kufanya maamuzi??
Sio hana uwezo ila anamkubali Makamba kiasi anaweza kuchagua sehemu aitakayo! Hivi unajua kuwa ata Mkurugenzi wa Tanesco ni rafiki kitambo wa January? Unajua January ndiye alipeleka jina kwa Rais kuwa anamtaka Maharage awe Mkurugenzi na Ikulu ikatii?

Kiufipi Samia anaikubali team Msoga kuliko ata aliyekuwa Boss wake (Marehem) na ndiyo maana unaona kauli zake za kuwafuta kazi watu fulani ni tofauti na vile tuonavyo huku nje.

Kalemani aliambiei hafanyi kazi vizuri kitu ambacho wengi hawakikubali kabisa, Wengine wakaambiwa wanajipanga kwa uchaguzi 2025 sasa we jiulize Mwita Waitara naye wakuwaza Urais? au Mkumbo ambae kaingia CCM juzi tu hapa? ama kabudi na Lukuvi? Unapata picha kwamba huyu watu wa misimamo hawataki na uenda kuna watu wanampelekea taarifa kuwa watu fulani wanawakwamisha kwenye mambo yao.
 
No vifurushi vilikuwa vipande tena last week, Nape akapiga stop
Mi kwangu vimepanda maradufu!

Hicho cha 3000 nilikuwa napata gb 3 kwa wiki mwaka jana mpaka kufikia May wakapunguza gb, wakawa wanani gb 2 ila wiki 2 nyuma hapa wamenaza kunipa gb 1.6
Screenshot_2022-02-04-09-58-34-00_fe0597e34dee2a66a8a93e4f898da787.jpg
 
Back
Top Bottom