Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Umuhimu wa Nape hujauona mpaka sasa?,,Huyo mama hachagui wa kumsaidia,kwanza hawajui vzuri kwani yy ni mzenji,...km unafikiri hivyo umepotea!
Huyo makamba ndo anachagua!!Na hyo wizara ndo kajichagulia Mwenyewe!Kulikuwa na ulazima gani nape kuwa waziri??
Hivi hakuna wabunge wengine wapya wenye uwezo wa kuongoza wizara.Kila mwaka ni hao hao tu! Kwanj kwenye nchi hii wao ndo wenye hati miliki ya madaraka?
Haya....,impact yao ni ipi Kwa maendeleo ya nchi katika wizara wanazosimamia
?
They are there to chew our money for nothing in return!
Au mpaka vifurushi vya Vodacom, airtell, etc vianze kutolewa bure ndo uone umuhimu wake?