Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Una hangaika kulijibu hili lidada?Wewe kijana uwe na heshima! Acha mawazo yako ya ukabila na kudharau watu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una hangaika kulijibu hili lidada?Wewe kijana uwe na heshima! Acha mawazo yako ya ukabila na kudharau watu!
Ame mtaja Nape. Ila hata uyo Kalemani ni Mungu? Kila mtu na utaratibu wake wa kuedesha nchi kama hakupendi basi kaa pembeni. Kalem ni msanii sana hakuna hata cha maana alicho fanya ni kuzurura na camera tuSi ameshakutajia hapo na.matokeo tuliyaona chini ya kalemani.
Kinachokusumbua wewe kila siku ni cheti feki ,kwani ndiye aliyekufanya usisome na utumie vyeti vya watu , amini kilichokupata ni sahihi hata ufanyeje marehemu haumii huko aliko, ila wewe chamoto unakipata ulichostahili.Msituletee uchuro wenu wa "kisukuma gang" hapa.
Huyo Kalemani ndiyo nani kwanza? Mtu hajui hata kuongea kiswahili eti tumrudishe wizara ya Nishati!? Ni usukuma tu ndiyo ulimpatia nafasi hiyo enzi za jini
Ukisikia roho mbaya na ushamba ndio kama hu sasa; mtu kujua kuongea vizuri ndio kitu gani sasa? Unaweza kumchukia mtu kwasababu nyingine but sio kwa kuongea kwake vizuri; hivi enzi za Kaleman asiejua kiswahili na enzi za January anaejua kuongea vizuri wapi umeme ulikua stable? Nadhani tungezingatia matokea ya kazi badala ya kuangalia nani anajua kuongea vizuri; huko kuongea vizuri kusaidie kwa wadada wanapopigwa sound sio kwenye mamb o ya maana!Msituletee uchuro wenu wa "kisukuma gang" hapa.
Huyo Kalemani ndiyo nani kwanza? Mtu hajui hata kuongea kiswahili eti tumrudishe wizara ya Nishati!? Ni usukuma tu ndiyo ulimpatia nafasi hiyo enzi za jini
Yeye ndio kajichagulia enzi za jpm aliomba awe pm afu nape aliomba fedha wizara.Kwa maana hiyo unataka kusema kwamba Makamba ndio kajichagulia Wizara??
What are you trying to imply??
Kwamba Rais hana uwezo wa kufanya maamuzi??
Kwa hiyo Mabeyo ni Uchuro siyo,,kwa kuwa ni MusukumaMsituletee uchuro wenu wa "kisukuma gang" hapa.
Huyo Kalemani ndiyo nani kwanza? Mtu hajui hata kuongea kiswahili eti tumrudishe wizara ya Nishati!? Ni usukuma tu ndiyo ulimpatia nafasi hiyo enzi za jini
Bado tu unaendeleza Uongo tulioambiwa na January?.Huyo Kalemani ndio chanzo Cha huu mgao,mitambo ya TANESCO ilikuwa inaitaji maintenance,yeye kwa kutaka kumfurahisha mjomba wake akatembeza gari bila oil, mashine zika knock
Katosha lini sasa huyu January. Kila siku Mgao.Why Kalemani ,is kalememani the only Tanzanian who requires to benefit our national cake, don't we have any Tanzanian who can fit to that position?
Tuache porojo,huyo kashatoka!!
Hao ni vijana wa jk. Mama analipa fadhila kubeba vichwa vya panzi. Hamna kitu ila ujuzi wa kupiga hela ya umma.Huyo mama hachagui wa kumsaidia,kwanza hawajui vzuri kwani yy ni mzenji,...km unafikiri hivyo umepotea!
Huyo makamba ndo anachagua!!Na hyo wizara ndo kajichagulia Mwenyewe!Kulikuwa na ulazima gani nape kuwa waziri??
Hivi hakuna wabunge wengine wapya wenye uwezo wa kuongoza wizara.Kila mwaka ni hao hao tu! Kwanj kwenye nchi hii wao ndo wenye hati miliki ya madaraka?
Haya....,impact yao ni ipi Kwa maendeleo ya nchi katika wizara wanazosimamia
?
They are there to chew our money for nothing in return!
Si amesema yeye anaweza? Tafuta CV yake mpe kazi kama ni wewe unazigawa...unamwambia as if wewe ndiyo mgawaji wa hizo kazi!Kama ana uwezo na kazi husika kuna tatizo gani? Watanzania tuna matatizo sana.
Ukipewa uhuru wa kuandika jamiiforum ni kulalamika tu, sasa hebu tupe mapendekezo yako nani alistahili?
Tatizo la Kalemani ni kutudanganya umeme wa Mwl Nyerere utawashwa 2022 wakato hata robo tatu ya matengenezo bado....Tusipende kukosa objectivity...Kama huyu wa sasa hafai haina maana na Kalemani anafaa lets not be obsessed with individual interests!Katosha lini sasa huyu January. Kila siku Mgao.
Kalemani knows the Insitituion. Angalau tuendelee nae ili tubenefit sote.
Kama unaishi maisha mazuri wala huwazii wenzako huwezi nielewa hapa.
Watu wanaharibiwa biashara sana, na hii inaapa mashaka na uongozi uliopo. Biashara kama saloon, samaki, juice, soda, uchomeleaji n.k
Wewe unaishia kuangalia tu Makamba akibenefit.
Kalemani anapaweza sn sema maza udini unamtesa snNi ombe kwamba Rais Samia amurudishe Medard Kalemani pale Wizara ya Nishati atakusaidia.
Mpeleke January sehemu nyingine akafanye kazi zake huko.
Mfano; Unaweza ukampeleka Mazingira na Muungano ama Viwanda.
Huku Nishati anakuharibia sana, nadhani ni uwezo wake mdogo kumudu mambo magumu.
Naibu wa Nishati aliyepo usimtoe.
Kwahiyo mitambo ilisubiri atoke ndiyo ife?Huyo Kalemani ndio chanzo Cha huu mgao,mitambo ya TANESCO ilikuwa inaitaji maintenance,yeye kwa kutaka kumfurahisha mjomba wake akatembeza gari bila oil, mashine zika knock
Viwanda hatutaki labda wizara ya MajiNi ombe kwamba Rais Samia amurudishe Medard Kalemani pale Wizara ya Nishati atakusaidia.
Mpeleke January sehemu nyingine akafanye kazi zake huko.
Mfano; Unaweza ukampeleka Mazingira na Muungano ama Viwanda.
Huku Nishati anakuharibia sana, nadhani ni uwezo wake mdogo kumudu mambo magumu.
Naibu wa Nishati aliyepo usimtoe.