Ombi kwa Rais Samia: Mrudishe Kalemani Wizara ya Nishati

Ombi kwa Rais Samia: Mrudishe Kalemani Wizara ya Nishati

Huyo Kalemani ndio chanzo Cha huu mgao,mitambo ya TANESCO ilikuwa inaitaji maintenance,yeye kwa kutaka kumfurahisha mjomba wake akatembeza gari bila oil, mashine zika knock
Nasikia jamaa anapelekewa schedule maintenance, anachomoa, jamani grease inahitajika, oil chafu, hataki,
Na wataalam WA hayo mainjini wanasema tulikuwa tunaelekea kuunguza kabisa ma turbines!

Hatari Sana! Kisa kumfurahisha mwendakuzimu!
 
Kweli mama Samia rudidha Kalemani. Kwani alikosea wapi mbona wizara aliimudu vzr sana.
 
Ni ombe kwamba Rais Samia amurudishe Medard Kalemani pale Wizara ya Nishati atakusaidia.

Mpeleke January sehemu nyingine akafanye kazi zake huko.

Mfano; Unaweza ukampeleka Mazingira na Muungano ama Viwanda.

Huku Nishati anakuharibia sana, nadhani ni uwezo wake mdogo kumudu mambo magumu.

Naibu wa Nishati aliyepo usimtoe.
Wewe ni mshauri wa Raisi?
 
Msituletee uchuro wenu wa "kisukuma gang" hapa.

Huyo Kalemani ndiyo nani kwanza? Mtu hajui hata kuongea kiswahili eti tumrudishe wizara ya Nishati!? Ni usukuma tu ndiyo ulimpatia nafasi hiyo enzi za jini
Kwahy huoni kabisa tatizo la umeme tangu aingie huyo kipara ktk wizara hii nyeti? Nina uhakika unaishi kwenu au ni shoga ww
 
1643888635693.jpeg
 
Yeye ndio kajichagulia enzi za jpm aliomba awe pm afu nape aliomba fedha wizara.
Walimwambia Mana walijua kwa uhakika kuwa wao ndio nchi Yao ama ccm Yao tu hakuna wengine.
Pia hii Hali huwa naona tofauti jinsi wanyama wengine wanavyokula wengine. Nyumbu wapo hata buku wanasimama wanashuhudia mmoja wao analiwa hata na Simba/chui mmoja ama wawili Ila wanashindwa kushirikiana na kuwafukuza hao wanaomla mwenzao
Kwahiyo jamaa akachagua u PM kabisa.

Na mwingine Wizara ya Mpunga.

Ama kweli.
 
Serikali haibadilishwi kwa mtandao. Kalemani hafai serikali inayoendeshwa kistaarabu alifaa kwa Magu kwenye hadaa nyingi na wizi uliozidi kifani. Huku hatoweza hii ni serkali ya wastaarabu wenyekufuata sheria. Walizoea vya kunyonga vya kuchinja hawawezi.
 
Kwa maana hiyo unataka kusema kwamba Makamba ndio kajichagulia Wizara??

What are you trying to imply??

Kwamba Rais hana uwezo wa kufanya maamuzi??
1. Makamba
2. Liziwani
3. Nappe
Hao wamejichagulia wizara
 
Tatizo la Kalemani ni kutudanganya umeme wa Mwl Nyerere utawashwa 2022 wakato hata robo tatu ya matengenezo bado....Tusipende kukosa objectivity...Kama huyu wa sasa hafai haina maana na Kalemani anafaa lets not be obsessed with individual interests!
Sasa unazani umeme hauwashwi 2022?

Uko nyuma kama mkia wa panya. Jiweke sawa ili twende sawa.
 
Wale ambao mlikuwa mnawaandama baada ya kifo cha jpm ndiyo hao hao anawapa ulaji, Kama hutaki hama nchi au jinyonge. Haamuliwi, kama unaona wanamuharibia 2025 usimchague
 
Ni ombe kwamba Rais Samia amurudishe Medard Kalemani pale Wizara ya Nishati atakusaidia.

Mpeleke January sehemu nyingine akafanye kazi zake huko.

Mfano; Unaweza ukampeleka Mazingira na Muungano ama Viwanda.

Huku Nishati anakuharibia sana, nadhani ni uwezo wake mdogo kumudu mambo magumu.

Naibu wa Nishati aliyepo usimtoe.
Hao unaosema watolewe ndio washauri wake nani atoke nani aingie nani ni tishio kwake 2025 kumbe asijue atageukwa na wao haohao.maoni yako aneyaona lakini unajisumbua soma upepo bwashe sasa hivi upepo ulishageuka. Dada vua setijali yake vizuri ! Utapata majibu.
 
Ni ombe kwamba Rais Samia amurudishe Medard Kalemani pale Wizara ya Nishati atakusaidia.

Mpeleke January sehemu nyingine akafanye kazi zake huko.

Mfano; Unaweza ukampeleka Mazingira na Muungano ama Viwanda.

Huku Nishati anakuharibia sana, nadhani ni uwezo wake mdogo kumudu mambo magumu.

Naibu wa Nishati aliyepo usimtoe.
Hawezi kukusikia acha ampe mbeleko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Kalemani ndio chanzo Cha huu mgao,mitambo ya TANESCO ilikuwa inaitaji maintenance,yeye kwa kutaka kumfurahisha mjomba wake akatembeza gari bila oil, mashine zika knock
Daaah kama uwezo wako wa kufikiri ni huuu basi tanzania tunasafari ndefu( unaamini wafanyakazi wa tanesco walikaa miaka mitano bila kufanya matengenezo hadi alipofariki mjomba yule)
 
Hapa mm naona kbsa kuwa makamba amewekwa happ kama mtego tu ili idhibtike kuwa hawaez kaza na atafeli vibaya mno na mbio zake za urais ife kiulaini mm simuamini San mam Kwan amuweke kweny vizara ngumu HV

Hatatoboa mamkamba
 
Back
Top Bottom