Huwa inanishangaza sana ,rais kumchagua au kumteua MTU aliyekuwa waziri zamani au mkurugenzi zamani kuwa kwenye madaraka tena wakati watanzania tupo zaidi ya m 60.inamaana sisi wote ambao hatujazipata hzo nafasi ni vichwa maji? Au ni kuona koo zao ndio zinafaa kuiongoza hii nchi.huwa ni dharau ya hali ya juu sana.ila IPO siku kitaelewekaHuyo mama hachagui wa kumsaidia,kwanza hawajui vzuri kwani yy ni mzenji,...km unafikiri hivyo umepotea!
Huyo makamba ndo anachagua!!Na hyo wizara ndo kajichagulia Mwenyewe!Kulikuwa na ulazima gani nape kuwa waziri??
Hivi hakuna wabunge wengine wapya wenye uwezo wa kuongoza wizara.Kila mwaka ni hao hao tu! Kwanj kwenye nchi hii wao ndo wenye hati miliki ya madaraka?
Haya....,impact yao ni ipi Kwa maendeleo ya nchi katika wizara wanazosimamia
?
They are there to chew our money for nothing in return!
Huwa inanishangaza sana ,rais kumchagua au kumteua MTU aliyekuwa waziri zamani au mkurugenzi zamani kuwa kwenye madaraka tena wakati watanzania tupo zaidi ya m 60.inamaana sisi wote ambao hatujazipata hzo nafasi ni vichwa maji? Au ni kuona koo zao ndio zinafaa kuiongoza hii nchi.huwa ni dharau ya hali ya juu sana.ila IPO siku kitaeleweka
Kama ana uwezo na kazi husika kuna tatizo gani? Watanzania tuna matatizo sana.Huwa inanishangaza sana ,rais kumchagua au kumteua MTU aliyekuwa waziri zamani au mkurugenzi zamani kuwa kwenye madaraka tena wakati watanzania tupo zaidi ya m 60.inamaana sisi wote ambao hatujazipata hzo nafasi ni vichwa maji? Au ni kuona koo zao ndio zinafaa kuiongoza hii nchi.huwa ni dharau ya hali ya juu sana.ila IPO siku kitaeleweka
Msituletee uchuro wenu wa "kisukuma gang" hapa.
Huyo Kalemani ndiyo nani kwanza? Mtu hajui hata kuongea kiswahili eti tumrudishe wizara ya Nishati!? Ni usukuma tu ndiyo ulimpatia nafasi hiyo enzi za jini
Adui wa Tanzania Ni Mtanzania MwenyeweChuki ni mbaya sana kwani huyo alibadirisha nini?, sasa hivi kuna mabadiriko huwa tunapewa taarifa kama kuna tatizo kipindi chake huyo kaleman ilikuwa nishida. January anatosha sana.
Kwa maana hiyo unataka kusema kwamba Makamba ndio kajichagulia Wizara??Huyo mama hachagui wa kumsaidia,kwanza hawajui vzuri kwani yy ni mzenji,...km unafikiri hivyo umepotea!
Huyo makamba ndo anachagua!!Na hyo wizara ndo kajichagulia Mwenyewe!Kulikuwa na ulazima gani nape kuwa waziri??
Hivi hakuna wabunge wengine wapya wenye uwezo wa kuongoza wizara.Kila mwaka ni hao hao tu! Kwanj kwenye nchi hii wao ndo wenye hati miliki ya madaraka?
Haya....,impact yao ni ipi Kwa maendeleo ya nchi katika wizara wanazosimamia
?
They are there to chew our money for nothing in return!
Msituletee uchuro wenu wa "kisukuma gang" hapa.
Huyo Kalemani ndiyo nani kwanza? Mtu hajui hata kuongea kiswahili eti tumrudishe wizara ya Nishati!? Ni usukuma tu ndiyo ulimpatia nafasi hiyo enzi za jini
Huku ndipo hafai kabisa mkuu....
Mpeleke January sehemu nyingine akafanye kazi zake huko, unaweza ukampeleka Mazingira na Muungano ama Viwanda...
Kwaiyo Kalemani Ni special one, ikitokea amekufa tutakaa giza milele au sio!?Sasa kipi bora?
Sukuma gang ama tuendelee kulala giza?.
Tatizo lililopo sio la mtu mmoja mmoja bali ni tatizo la system nzima kufel.kwahiyo ata akibadilisha kila leo usitegemee kitu cha tifauti.Huyo mama hachagui wa kumsaidia,kwanza hawajui vzuri kwani yy ni mzenji,...km unafikiri hivyo umepotea!
Huyo makamba ndo anachagua!!Na hyo wizara ndo kajichagulia Mwenyewe!Kulikuwa na ulazima gani nape kuwa waziri??
Hivi hakuna wabunge wengine wapya wenye uwezo wa kuongoza wizara.Kila mwaka ni hao hao tu! Kwanj kwenye nchi hii wao ndo wenye hati miliki ya madaraka?
Haya....,impact yao ni ipi Kwa maendeleo ya nchi katika wizara wanazosimamia
?
They are there to chew our money for nothing in return!
Huyo Kalemani ndio chanzo Cha huu mgao,mitambo ya TANESCO ilikuwa inaitaji maintenance,yeye kwa kutaka kumfurahisha mjomba wake akatembeza gari bila oil, mashine zika knockNi ombe kwamba Rais Samia amurudishe Medard Kalemani pale Wizara ya Nishati atakusaidia.
Mpeleke January sehemu nyingine akafanye kazi zake huko.
Mfano; Unaweza ukampeleka Mazingira na Muungano ama Viwanda.
Huku Nishati anakuharibia sana, nadhani ni uwezo wake mdogo kumudu mambo magumu.
Naibu wa Nishati aliyepo usimtoe.
Hawa watu ni wajinga. Kila raisi ana njia zake za kuongoza nnchi. Sasa ukimuuliza Makamba kakukosea wapi watakujibu ovyo. Personally simjui January Makamba.Kwaiyo Kalemani Ni special one, ikitokea amekufa tutakaa giza milele au sio!?
Pambana tupate katiba mpya itakayokufanya ata wewe mwenye uwezo wakuongoza uonekane bila kua chawa au kujipendekeza kwa mtu.Huwa inanishangaza sana ,rais kumchagua au kumteua MTU aliyekuwa waziri zamani au mkurugenzi zamani kuwa kwenye madaraka tena wakati watanzania tupo zaidi ya m 60.inamaana sisi wote ambao hatujazipata hzo nafasi ni vichwa maji? Au ni kuona koo zao ndio zinafaa kuiongoza hii nchi.huwa ni dharau ya hali ya juu sana.ila IPO siku kitaeleweka
We endelea na mada zako za kukaza nyuchi hii achana nayo.Msituletee uchuro wenu wa "kisukuma gang" hapa.
Huyo Kalemani ndiyo nani kwanza? Mtu hajui hata kuongea kiswahili eti tumrudishe wizara ya Nishati!? Ni usukuma tu ndiyo ulimpatia nafasi hiyo enzi za jini
Si ameshakutajia hapo na.matokeo tuliyaona chini ya kalemani.Kama ana uwezo na kazi husika kuna tatizo gani? Watanzania tuna matatizo sana.
Ukipewa uhuru wa kuandika jamiiforum ni kulalamika tu, sasa hebu tupe mapendekezo yako nani alistahili?