Ombi kwa Utumishi: Mwenzi huu tunaingia mwezi mtukufu wa mfungo

Hilo la 4 linaonesha mwandishi ana matatizo makubwa. Kufunga kwako kunamhusu nini mtu ambaye hajafunga. WATU WATAKULA HADHARANI NA MUDA WOWOTE ULE. UPUUZI HUO PELEKENI HUKO
Sio lazima utekeleze ila sio ustaarabu kuenda kula hadharani haliakua unajua hapo ulipo kuna mkusanyiko wa Islam ambao wamefunga, ila ukila hupingwi ila tutajua we ni primitive man.
 
Ndiyo wajue hilo kwamba zaidi ya 50% ya walipa kodi wa nchi wanaingia kwenye mwezi mtukufu .
i.e wasio waislamu wataishi mwezi mzima kwa kuheshimu sheria za mfungo?
 
Shangazi umenena vema kabisaa.
 
i.e wasio waislamu wataishi mwezi mzima kwa kuheshimu sheria za mfungo?
Hizo sio sheria ni kuheshimu imani ya wengine unaweza ukafanya unaweza usifanye.
 
Sio lazima utekeleze ila sio ustaarabu kuenda kula hadharani haliakua unajua hapo ulipo kuna mkusanyiko wa Islam ambao wamefunga, ila ukila hupingwi ila tutajua we ni primitive man.
.. kula hadharani maana yake nini, kwani hicho kitendo kinahitaji faragha as if unakula ukiwa naked?
 
Sio lazima utekeleze ila sio ustaarabu kuenda kula hadharani haliakua unajua hapo ulipo kuna mkusanyiko wa Islam ambao wamefunga, ila ukila hupingwi ila tutajua we ni primitive man.
Si ustaarabu kupangia wenzio wakati na sehemu za kula kwa shida zako. Huko ni kuonesha hujastaarabika. Na kufunga si maonesho au adhabu. Huko ni kubadili muda wa kula. Mimi nakula kulingana na mahitaji wakati wowote na mahali sahihi popote. Sijali wapumbavu ambao wataumia roho wakisema wamefunga kumbe wameshinda na njaa.
 
Ajabu ni kuwa wakristo hawasemi hizo habari wakiwa kwenye mfungo wao,kwanini sisi tunakuwa na shida
Sidhani km mtu. Mwenye Imani thabiti na amefunga km anaweza kutamni chakula huko mtaani maana hata kupika tunapka tukiwa tupo kwenye swaumu mbona
Ukifunga toka moyoni hata wakikuomba uwapikie unawapikia vizuri kwa furaha na amani kabisa. Suala la kufunga ni la moyoni zaidi. Sijajua kwa nini hasa wanaume wanakuwa na madeko sana.kuliko hata wanawake. Kuna tatizo nadhani. Wanawake hawa wanafunga na ndo wapishi wa futari mbona hawalalamiki? YAANI DUNIA HII WANAUME WANAKUWA WALALAMISHI KULIKO WANAWAKE.
 
Niache kula hadharani kwani ni mimi ndio niliyekulazimisha ushinde njaa??!!. Muda mwingine muwe mnatumia akili.
BTW: Sasa hata bei ya kitimoto itashuka kidogo
 
...ila hapo bado sijaeleeewa, how comes fasting ina-ambatana na 3 heavy meals in 24 hrs??
 
Ajabu ni kuwa wakristo hawasemi hizo habari wakiwa kwenye mfungo wao,kwanini sisi tunakuwa na shida
Sidhani km mtu. Mwenye Imani thabiti na amefunga km anaweza kutamni chakula huko mtaani maana hata kupika tunapka tukiwa tupo kwenye swaumu mbona
Shida kubwa ni unafiki na kutaka kuonekana watakatifu machoni pa wanadamu!
 
Tunaenda sokoni tukiwa na swaumu
Tunaandaa chakula tukiwa kwenye swaumu.
Tunapika tukiwa kwenye swaumu
Kwann tusitamni tunavovishika tutamani vya mitaani jmn
Hapoo sasa.
 
Soma Qur"an alisha qeka bayana kwamba hu mwezi ni mtakatifu zaidi.......ila siko hapa kwa ajili ya ligi niko hapa kuhamasisha umuhimu wa mwezi hu.
Kwa nini unafikiri Quran ni kitabu muhimu kwa kila mtu?

Aliyeweka bayana nani?

Unaweza kuthibitisha aliweka bayana?

Unaweza kuthibitisha yupo?

Weka ushahidi wa kimantiki usiopingika hapa.
 
Ajabu ni kuwa wakristo hawasemi hizo habari wakiwa kwenye mfungo wao,kwanini sisi tunakuwa na shida
Sidhani km mtu. Mwenye Imani thabiti na amefunga km anaweza kutamni chakula huko mtaani maana hata kupika tunapka tukiwa tupo kwenye swaumu mbona
Mkuu usifuata ukuristo wanacho amini, Uislamu ni tofauti sanaa na ukristo wengi wako pale kwa sababu wame zaliwa ila kwao dini sio kipaumbele, jambo ambalo ni tofauti na waislamu.

we are proud kua waislamu na tuna haki ys kuahamasisha wengine mambo muhimu katika uislamu suala la kukejeli au kukata sio lako, Quran imesisitiza umuhimu w mwezi hu jambo la kutokula ni dogo sana ila mengine muhimu tunao fanya ndani ya mwezi hu unayajua, wao wanajua funga ya kutokula ndo jambo peke katika mwenzi hu kumbe hata robo haifiki acha, nferiority complex "Islam came to stay like it or leave it"
 
Inafikirisha.
Kwani ndio Mara ya kwanza kuwa na huu mwezi tangia dunia iumbwe?

Umekuwepo for years na utaendelea kuwepo for years so Mimi binafsi naona hoja zako hazina mashiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…