Ombi kwa Utumishi: Mwenzi huu tunaingia mwezi mtukufu wa mfungo

Wewe una ideology za KI AL_SHABABU
 
exactly, mbona hata christians wanafunga, tena walokole wao wanafunga randomly for specific personal reasons, lakina huwa hakuna ku-impose restrictions/limitaions kwa wasiofunga, kwa sababu hii ni very personal na Mungu wako tu, kwa nini uwe distracted easly, wakati unaishi kwenye multicultural/multireligious environment?
 
Ajabu ni kuwa wakristo hawasemi hizo habari wakiwa kwenye mfungo wao,kwanini sisi tunakuwa na shida
Sidhani km mtu. Mwenye Imani thabiti na amefunga km anaweza kutamni chakula huko mtaani maana hata kupika tunapka tukiwa tupo kwenye swaumu mbona
Huu ndio uislamu unao zungumziwa sio huyu jamaa ni RADICAL MUSLIM
 
Hao hawanaga mwezi mtukufu na wancho fanya hakina rejea kwenye bibulia.
 
Wewe una ideology za KI AL_SHABABU

Yaani ufunge wewe halafu unipangie masharti Mimi.. Basi dini yako itakuwa haijakamilika
.
exactly, mbona kuna inchi ulaya zenye waislamu wengi, kama ALBANIA,TURKEY, AZERBAIJAN, MONTENEGRO, n.k hawana hizo restriction kwa wengine, including tourists, mfungo unazingatiwa sana, maisha ya wasiokuwa waislamu wana serebuka kama kawaida
 
Sheikh! Hivi lengo hasa la kufunga ni nini kiasi cha kutopenda sisi tusiofunga kula hadharani? Au hamuwezi kuuvumilia huo mfungo wenu, pale mnapotuona tunakula?
 
False 100% kwasababu naamini kile nilicho jifunza na najua niko hapa duniani kwasbabu ya kutekeleza kile nilicho agizwa na Mola wetu.
Kuna jamaa mmoja leo nilisoma alisema linapo kuja swala la udini hakunaga tofauti ya PhD candidate,full Professor au DR form 4, asiye na elimu yeyote kwenye arguments za udini.

Binafsi Leo kwenye hii thread yako niseme kweli umenishangaza, umenihuzunisha, umenisikitisha, umenistaajabisha.

Kila la kheli mkuu.
 
Mkuu my life is my religion ndo ukweli huo.
 
exactly, mbona kuna inchi ulaya zenye waislamu wengi, kama ALBANIA,TURKEY, AZERBAIJAN, MONTENEGRO, n.k hawana hizo restriction kwa wengine, including tourists, mfungo unazingatiwa sana, maisha ya wasiokuwa waislamu wana serebuka kama kawaida
Ni kweli tatizo kubwa Sana lipo kwa Radical Muslim..Hawa utawakuta nchi za kiarabu na some indians ie. Iran, Pakistan, Afghanistan, Bado nchi za uarabuni ni tatizo SANAAA.

Hao ndio huleta machafuko..mtu funga kwa funga yako..Mimi nikila inakushughurisha Nini?

Wengi kwenye mwezi huo ni kama wanabadilisha ratiba ya kula yaani badala ya mchana wanakula usiku..
Mfano anafungua saa let say Ile jion then saa 4 usiku anakula then alfajir anaamka shindilia daku..

Wengi hunenepa Sana kwenye mwezi wa mfungo jaribu kutafiti.
 
Hivi kwanini mtu akifuata misingi ya imani yake anaitwa radical au extremist kuafano walokole na wasabato wengi huitwa radical Christians na wakatoliki kujiona ndo real christians?
 

three meals or more per 24/7, ni changes za schedule tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…