Habari JF: Natumaini ni wazima wa afya na mchaka mchaka unaendelea wa kutafuta maisha na amani ya moyo, msisahau pia na kujioenda wenyewe.
Nilikuwa na mawazo au ushauri kidogo kutokana na changamoto nilizo zipitia mimi na zengine tunaziona kwa ndugu zetu au familia zilizo tuzunguka, Maana vitu vingi vinajirudia sana imekuwa sasa ndo maisha yenyewe hayo.
Kama upo katika ndoa epuka vitu vifuatavyo, kaanavyo mbali na fanya mambo haya.
EPUKA
1. Kama mke wako anakupenda, anakueshimu, anakusikiliza hata kwa kukuongopea au kukuzuga na kuna amani ndani katika nyumba usimfuatilie au usimchunguze.
2. Ukiona amekucheat au ana mtu nje, Kama unaweza kuachana nae au unaweza kumsamehe. Fanya maamuzi hapo au kama uwezi. Tafuta na wewe mtu wa nje uenjoy maisha yako. Maana maisha hayarudi tena nyuma furahia uwepo wako duniani asikufanye ukawa na mawazo na mtoto wa mtu kisa mapenzi. Usikubali mtu akukoseshe amani katika maisha yako.
FANYA HIVI
1. Fanya kazi kwa nguvu zote na penda sana familia yako na ndugu zako, watoto wako maana ndio ndugu zako wa kweli.
2. Mwanamke sio ndugu yako, ndugu zako ni watoto wako. Nasisitiza tena. Mwanamke sio ndugu yako, mwanamke hatosheki. Utampa kila kitu mwisho wa siku atakufanyia jambo ambalo hutoamini katika maisha yako. Mwanamke ni chombo cha starehe tu. Tena usije kumuonea huruma hata chembe.
3. Sio kila kitu unamwambia, jitahidi baadhi ya mambo unamwambia na baadhi fanya sili, usimwambie kila kitu unachofanya.
Tuendelee:
Nimekutana na vitu vingi sana na vengine nimeonana navyo na vengine nmeona kwa marafiki na vengine vimenitokea mimi mwenyewe. Kama mwanamke haujamkuta na bikra, una asilimia 60% tu. Mama zetu zamani walikuwa wanachaguliwa wanaume na wanakuwa wanaume wa kwanza kwao ndomana mpaka kesho wanakuwa pamoja 100%. Ndo zimekuwa sasa kama sehemu ya kufichia watu maovu yao au umri umeenda kachoka kukaa nyumbani au rafiki yangu kaolewa au kaowa na mimi nataka kuowa.
Jipende sana mwenyewe maana ndo maisha yako, ukipata mda wa kufurahi furahi na ukipata mda wa kustarehe fanya starehe na ukipata mda wa kutulia tulia. Penda sana kufanya mazoezi na kujali mwili wako nasisitiza.