Ombi kwa vijana ambao wapo katika ndoa, watoto ndio ndugu zako

Huna uvumilivu na hupendi maisha ya ushirikiano.Kwa ufupi,wewe unapenda kula "ebhitoke na ensenene" peke yako.Nchi ya ujamaa hii, remember?
Ili yanikuta kama ya MTOA POST.
kaamka saa 9 kutuletea Uzi wa mwanamke, ukute yupo nae ndani muda huu.

Muombee shetani asimpande "wakachinjana bureee"

#YNWA
 
It's ok but not very much alright!Kuwa makini.Njia ni ndefu na nyembamba.
 
It's ok but not very much alright!Kuwa makini.Njia ni ndefu na nyembamba.

Inategemea na choice zako na imani yako, hata hao ndugu wanaweza kukudhurumu na kukuzulu pia mifano iko mingi kila mahali.

Hivyo Kikristu namba one priority ya Mwanaume kwenye Ndoa ni Familia yake yaani Mke na Watoto wake na ukifanya hivyo utaona baraka na utabarikiwa pamoja na Familia yako itakuwa yenye upendo, amani na furaha, ndugu siyo Familia yako wana zao pia wajali hizo familia zao wawaweke kwanza pia wake na watoto wao kila mtu akifanya hivyo utaona matatizo yatapungua sana tu na hata mwishowe kuwa na Taifa imara na lenye upendo na hofu ya Mungu kwani kama hakuna Familia imara kwa maana ya Mke, Mume na watoto hakuna Taifa imara na ndugu ni ndugu wanabakia kuwa hivyo haujawachagua lkn siyo Familia yako, Familia Kikristu ni Mke, Mume na Watoto kama mkibarikiwa kuwa nao …
 
Pole sana mkuu kwa yaliyokusibu. Kwenye kikao cha wanawake tulitoa mwongozo kwamba...Kama ukipata chansi ya kumuumiza mwanaume umiza hadi mama yake tumbo la uzazi liume. Kwa sababu wanaume mna chansi nyingi za kutuumiza na huwa mnazitumia vizuri sana. Pole mnoo
 
Kila mtu ana experience yake kwenye hizi ndoa. Tuushi nao kwa akili sana wakuu.
 
Pole kwa yaliyokusibu, naona hujalala kabisa,

Huyo Mwanamke aliyeuvunja vunja moyo wako nampa cheers [emoji1635]

Aluta continua.
Wewe bwana, huenda in real life ni kapole tu hakana shida na mtu. Njoo huku sasa, unatamani ukalabue makofi🀣🀣
 
Hivi mnadhani hao watu watu wa zamani walikua na mapenzi ya dhati kiasi hicho??

Mkuu nilichokuja kugundua ni kua walikua na uvumilivu wa hali ya juu sana. Wazee wetu wamelea sana watoto wasio wao. Mtoto anakuja kujua huyo sio mzee wake halisi baadae sana na labda hata mzee mwenyewe ashafariki.

Sio kua walikua waaminifu sana kama tunavyodhani ila walifichiana sana madhaifu watoto wasijue. Hilo kizazi hiki cha utandawqzi ndo hakiwezi na ndo hapo tunafeli.
 
Wewe bwana, huenda in real life ni kapole tu hakana shida na mtu. Njoo huku sasa, unatamani ukalabue makofi[emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka hiyo ukalabue makofi,
Umeandika kweli lakini, mimi ni mpole sana.
 
Mkuu

Umejidanganya sana!!

Mwanamme hana ndugu mkuu labda mama yake tu!!

Watoto hata uwajali vipi wakiwa wakubwa watasema hakuna kama mama!!

Wanaume tunapowekeza nguvu KWA wanawake na WATOTO ni tunabet tu!!!

Ingekua hivyo wanaume sisi tusingekufa KWA presha,sukari,na sonona na wazee wa kiume wangekua wengi tambua hilo!!!

MWANAMKE ANAISHI na mwanamme KWA maigizo tu ILI alee watoto na kujenga uchumi na ndoto zikikamilika mwanamme anatengwa kisaikolojia yaani unaachwa mpweke ujifie naturally!!!


Hiki nimekiona live KWA macho yangu na KWANGU dalili naziona KABISA!!!

Wanaume wote humu Duniani hatuna chetu zaidi ya starehe tutakazofanya !!!


Chukua hiyo mkuu kwenye malezi endelea ku bet labda ubahatishe mtoto mmoja tena mara nyingi wa kike akujali labda mkuu!!

Ukweli mchungu sana HUO!!!
 
Husband Appreciation Dinner


Your circle matters. Ukiwa na mtu ana mawazo kama mleta mada unam cut off...who needs such negativity in their lives
 
Umesahau moja la muhimu kuliko yote,usimsahau Mungu katika kila jambo....
 
Si usioe tuu
 


One Man down
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…