Ombi kwa vijana ambao wapo katika ndoa, watoto ndio ndugu zako

We unajua aje kwamba watoto ni wako 100%
 
Hahaha
 
Mama zetu zamani walikuwa wanachaguliwa wanaume na wanakuwa wanaume wa kwanza kwao ndomana mpaka kesho wanakuwa pamoja 100%.
Mkuu, hapa umekosea kidogo. Ipo hivi, zamani kuachika ilikuwa ni aibu kwa bibi zetu kwa maana mwanamke anaonekana hakulelewa vizuri huko kwao tofauti na sasa wanakwambia, I'm single and happy.

Halafu ndoa za zamani zilikuwa zinatokana na friendly families. Watu wanaoana kwa ukabila halafu wanajuana wazazi wao mpaka wifi na mashemeji, tofauti na sasa vijana wanakutana Vyuoni na Facebook.

Binti kabla hajaenda kwa mume, mama zake wanamwambia "Eliza mwanangu unaenda kwenye ukoo wa watu, tunaomba usitutie aibu huko," lakini siku hizi mwanamke anaambiwa "Ukiolewa kuwa makini sana na mawifi zako!"

Sasa kwa scenarios kama hizi unategemea ndoa za kisasa kudumu?
 
Mkuu umefika salama?
Yah. Ila nimekuja kujuwa ndoa now ni biashara na utumwa. Ila mm leo nampenda sana maa yangu ia sijui baba yangu ana hali gani uko alipo. Wanawake unatakiwa uwe nae sana kwa makini. Mm niliambiwa baba yako kakutelekeza ila now nmekuja kujuwa mama ndo alizingua. WANAWAKE NI CHOMBO CHA STAREHE TU AKUNA KUWAONEA HURUMA TENA
 
Ili yanikuta kama ya MTOA POST.
kaamka saa 9 kutuletea Uzi wa mwanamke, ukute yupo nae ndani muda huu.

Muombee shetani asimpande "wakachinjana bureee"

#YNWA
Siwezi kufika huku bado kuna watu wananitaji. Siwezi kuwa mpuuzi kiasi hicho. Anaenda kwao na mm naendelea na maisha yangu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ ndo kizazi cha sasa hicho chapa ilale tu
 
It's ok but not very much alright!Kuwa makini.Njia ni ndefu na nyembamba.
Ajakutana na kitu kizito uyo. Mke au demu wake maraika. Ajachapiwa bado uyo. Atakuja kuukumbuka huu uzi na kkuanza kujielezea humu
 
Ahsante Sana Rafiki, Nasaha zako ni mzuri nazitunza ktk diary ili nisizisahau.
 
Mkuu ishi maisha yako NDOA ni tamu sana japo ina hekaheka ,

Namba 2 kule kwenye kuepuka
Ni hivi

Mwanamke akikusalit kamwe hupaswi kumsamehe hata kidogo.

Una move on then unaendelea kuchenjua huko nje
 
Umeshamsamehe mzee wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…