Ombi la kusitisha mashambulizi kwa muda wa masaa 72 juu ya sakata la Tanganyika kuuzwa kwa DP World

Ombi la kusitisha mashambulizi kwa muda wa masaa 72 juu ya sakata la Tanganyika kuuzwa kwa DP World

Narudia, ningelishangaa kama MAKALIO YENU yasingemhitaji jk. Yaani nyie washamba a.k.a failures a.k.a wanyonge a.k.a mburura a.k.a maskini mmeaminishwa kila tatizo lenu ni jk........mnafirimbwa vibaya kweli nyie wakati mwingine!!
Acha matusi ya utoto, binafsi jk namtafuta na asipojitokeza naenda police fungua fail maana ni Mzee wetu na Rais mstaafu , na bado tunamhudumia pitia kodi zetu, tukana utakavyo ila jua ipo siku utakufa mdomo wazi tunza hii
 
Acha uongo na ujinga wewe,Acha ubaguzi kwa misingi ya aina yoyote Ile,Hakuna wa kuuza Taifa letu Wala Rasilimali zetu zilizopo ndani ya ardhi yetu kwa maslahi yake binafsi.mali na Rasilimali zetu za asili zipo katika mikono salama ya mzalendo wa kweli na aliyetukuka kiuadilifu mh Dr mama Samia suluhu Hassani,ndio maana watanzania Ni wenye utulivu , uvumilivu na subira kwa kuwa Wana Imani kubwa Sana na Rais wetu.
Upumbavu peleka kwenye familia yako sio kwa Watanganyika
 
Back
Top Bottom