Ombi la Rais kuhusu Fei Toto kwa Yanga ni agizo lakini lisivunje kanuni za FIFA

Wewe ndio hujui chochote, hakuna sehemu fei anataka kuachwa bure kama ulivyoeleza, fei aliwalipa yanga 112M sasa ndio bure hiyo? Na kama hujui kauli ya rais kwa nchi za kiafrika ina nguvu kiasi gani basi subiri muda uamue,
 
Una kichwa kigumu balaa
 
Na rais katoa oda kwa yanga watumie busara
 
Na mpira wetu tushazoea mambo ya busara kutumika, hapo yanga watamuacha free of charge. Raisi wa nchi ndio kila kitu mzee
 
Basi subilia embe chini ya mnazi kwa hizo akili zako, Usifikiri kila sehemu ombi la Rais linafanya kazi, ombi la Rais litafanyiwa kazi na fei mwenyewe kufata utaratibu na sio vinginevyo akatajiwe dau lake alipe aondoke zake
Mama sio chizi kuwaomba yanga watumie busara, angetaka fei afuate utaratibu angemuomba fei afate utaratibu.
 
Hahahaa, mwenye thamani ya mil350 hawezi lipwa 4m kwa mwezi, mwenye thamani ya 100m ndio hulipwa 4m kwa mwezi.
 
Wewe ndio hujui chochote, hakuna sehemu fei anataka kuachwa bure kama ulivyoeleza, fei aliwalipa yanga 112M sasa ndio bure hiyo? Na kama hujui kauli ya rais kwa nchi za kiafrika ina nguvu kiasi gani basi subiri muda uamue,
Fei hauzwi 112m.
 
yatamalizwa km raisi anavyotaka ila kwa taratibu zinavyotaka
Bila hivyo viongozi wa Yanga watalitema bungo. Timu za wanachama hazina mambo mengi ni NO or YES basi. Wanaweza kuwapa mwanya wale wasiowatakia mema.
 
Yanga wanaweza kumuachia ata Bure lakini Kwa kiasi flani ameharibu brand yake maana Kwa timu ambayo Iko makini haiwezi kumchukua mchezaji aina yake wanavunja mkataba kienyeji kwaiyo mpaka apo Fei ndio kapoteza zaidi kuliko yanga
 
Fei hauzwi 112m.
Kuuzwa kwani kuna timu inataka kumnunua? Na wala fei hataki kununua mkataba wake bali anataka kuuvunja kwa mujibu wa vipwngele vilivyomo na sio kukaa mezani kujadili, vipengele vipo wazi mnataka kujadili nini? Hivi ulishawaza kwanini fei aliweka 112m na sio laki moja au bilioni mbili?
 
I'm
angekuwa yuko sahihi niijuavyo mimi tff hii ingeshasema Fei ni mchezaji huru kitambooo.
 
Nijuavyo mm namna mpira wetu ulivyosogea mbele hakuna timu imara na makini itamsajili Fei Toto ikawa na matumizi nae kama aliyokuwanayo Nabi. Niite mbwa nimekaa paleee,
 
Nijuavyo mm namna mpira wetu ulivyosogea mbele hakuna timu imara na makini itamsajili Fei Toto ikawa na matumizi nae kama aliyokuwanayo Nabi. Niite mbwa nimekaa paleee,
Hayo mambo ya sheikh yahya hatuyataki
 
yale mabango ya kisiasa uwanjani yanawaumiza wao wenyewe.

Hakuna ombi hapo. Issue ya feedback ni Amri🤣🤣🤣🤣
Hakuna kocha wala ofisa makini angependa kukaa mahali ambapo kazi ya mpira imechanganyika na siasa, wataondoka tu. Pale Chelsea Uingereza ilichanganya siasa na mpira, sasa hivi chelsea imepoteza uelekeo. Chelsea ilitekeleza maagizo ya Serikali kumfukuza Abramovic kwaajili ya Ukraine.

Fei toto ameondoka kwa njia ile, Yes!! lakini njia ile ina consequences zake kwa wachezaji, benchi la ufundi na uongozi kwakuwa lazima kutatokea mgongano wa mawazo na maoni ndani ya wachezaji, benchi la ufundi, mashabiki na viongozi kuhusu kutekeleza ombi lile la Mkuu. Kuna wakati Yanga italazimika kutumia fedha nyingi sana msimu huu kuliko ambavyo ingekuwa kuwabakiza wachezaji, makocha na hata viongozi wakuu.
 
Chagueni kati ya kupewa eneo la kuongezea kujenga uwanja jangwani au mwacheni fei aende zake msimbazi.
Nilisemaga humu wakati uleeee kuwa sakata la Toto na namna alivyohamia Azam litautesa mpira wetu. Watu walinichukilia poa. Hebu ona Simba nao wanatarajia sauti ya Rais Samia kumaliza swala la Awesu Awesu, maana linafanana kabisaaaaaaaaaa na lile la Fei Toto.
 
Hakika....sasa yametimia
 
yale mabango ya kisiasa uwanjani yanawaumiza wao wenyewe.

Hakuna ombi hapo. Issue ya feedback ni Amri🤣🤣🤣🤣
Kama Awesu nae mzanzibar anatarajia the same to happen . Sio sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…