Ombi la Rais kuhusu Fei Toto kwa Yanga ni agizo lakini lisivunje kanuni za FIFA

Ombi la Rais kuhusu Fei Toto kwa Yanga ni agizo lakini lisivunje kanuni za FIFA

Mbolea za ruzuku tena jaman[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndiwoooo
 
Suala hapa ni kuachana na Fei. Weka dau la Fei mezani na sababu zenye mantiki alilipe aondoke. Akishindwa ni suala jingine.
Huo ndio ukweli wenyewe wa kulimaliza hili tatizo. Yanga toa dau lenu ili wanaomtaka Fei na hata wale wanaomhurumia Fei wajichange. Na dau lenyewe liwe halisia lisilokuwa la kukwamisha (value for money)
 
Dau lake si chini ya 350milioni, iyo wala ahiitaji uwe na elimu ya chuo kikuu
 
Huo ndio ukweli wenyewe wa kulimaliza hili tatizo. Yanga toa dau lenu ili wanaomtaka Fei na hata wale wanaomhurumia Fei wajichange. Na dau lenyewe liwe halisia lisilokuwa la kukwamisha (value for money)
Kabisa mkuu
 
Andaeni press ya kumsahiiisha Rais kuwa alikosea alichosema na sheria za FIFA aziingiliani na serikali...nipo apa apa JF nasubiria mrejesho[emoji16][emoji16]
Mama hajakosea kitu chochote kuomba swala limalizwe. Ni yanga na Fei wakae waone watalimalizaje. Kama Fei ataitwa na yanga akagoma kwenda basi Yanga watamwambia mama kuwa mtoto amegoma kuja klabuni walizungumze, lakini kwavyovyote vile Yanga na fei lazima wakutane.
 
Ukiona mtoto anadeka ujue kuna mtu mzito nyuma ya pazia.
La mtoto anakuwa mtiifu sana kama yuko mwenyewe tu.
Kutokana na mafanikio iliyoyapata yanga hata baada ya FEI kuingia mitini, hata Fei mwenyewe amejiona kuwa hakuwa na umuhimu sana kivileee, nadhani wanachokiogopa viongozi wa yanga ni kukiuka kanuni na taratibu ambazo zinahitajika kuheshimiwa na wachezaji wote 100% ili kuogopa ku set presidency (reference) kwa wachezaji wengine baasi, Hata Yanga wenyewe wamemchoka ila kwaajili ya maslahi ya timu ya yanga hawawezi kuamua kumfukuza kama mali yao binafsi/

Hakuni timu madhubuti yenye lengo la kushinda vikombe vikubwa ingependa kusajili mchezaji ambao anaweza kuonddoka kwenye timu siku moja kabla kabla ya mechi muhimu. Yaani Mayelle aondoke kwenye timu siku moja kabla ya mechi na Marumo Gallants nkwakuwa anadai alipwe.
 
Kwa hiyo Raisi akasikia Nina mgogoro na Mke wangu na akanirai tukayamalize, Hapo atakuwa amemaanisha nikatoe talaka? Hata kama hiyo talaka inatakiwa kwa njia zisizo sahihi kwa mujibu wa mkataba wa Ndoa na Dini yetu?
 
Nimeona wapambe wa fei toto wakifuraishwa sana na kauli ya Rais Samia juu ya kuiomba Yanga kumalizana Fei.

Nimeona baadhi ya wasioelewa wala kutambua hili jambo lipo kiutaratibu zaidi na sio kihisia wala kimihemko.

Ndiyo maana hata Rais katumia kauli ya kuomba na sio Amri akijua fika kuwa masuala ya soka ayaingiliwi kivyovyote na mambo ya kisiasa.

Na fei mwenyewe ndiye mwenye uwezo wa kulihitimisha ili jambo kwa kufuata utaratibu, sheria na kanuni za kimkataba aliousaini na sio vinginevyo.

Asitegemee kwamba ataachwa tu bure aondoke eti kwa kuwa Rais kasema iyo kitu aitokaa itokee.

Bahati nzuri yeye mwenyewe keshatamka hana tatizo lolote na Yanga wala mkataba wake.

Basi yeye mwenyewe ndiye anayeonekana ana ukorofi achutame kwa kufata utaratibu, na utaratibu ni kwenda pale yanga wamtajie dau wanalotaka kwa timu yoyote inayomuitaji iweke mpunga mezani aondoke zake.

Jambo analolazimisha kwamba aachwe tu bure kama anavyotaka yeye na wapambe wake waliomrubuni ili wampate bwerere alitowezekana na atateseka sana.

Viongozi wa yanga wako very clear na Fei angekuwa smart kichwani hili jambo lingekuwa lilishakwisha kitambo sana, lakini jeuri yake na wapambe wake ndio vimemfikisha hapa.

Anajua keshayakoroga pakubwa ndiyo maana anaona ata aibu kwenda pale yanga anapakwepa kama ugonjwa wa ukoma, na awezi kulimaliza hili bila kuihusisha yanga ambao ndio mwajiri wake.

Kwa maana hiyo napenda kuwaeleza waliofurahia kauli ya Rais ya kwamba fei mwenyewe ndiye mwenye utashi wa kulimaliza hilo jambo lake kwa kufata utaratibu na sio yanga.

Yanga wameshampa option 3 za kufata ili aondoke ivyo ni juu yake kusuka ama kunyoa itifaki inazingatiwa.
Utopolo bana kila siku kuota tu..imeisha hiyo. Agizo la rais ni Amri. Mama amesema anasubiri mrejesho
 
Kwa hiyo Raisi akasikia Nina mgogoro na Mke wangu na akanirai tukayamalize, Hapo atakuwa amemaanisha nikatoe talaka? Hata kama hiyo talaka inatakiwa kwa njia zisizo sahihi kwa mujibu wa mkataba wa Ndoa na Dini yetu?
Ukiwa na mgogoro na mkeo na mkeo hakutaki suala sio mkeo tena, suala ni mkataba wa hiyo ndoa yenu unasemaje iwapo mmeshindwana. Mume ukigoma kumuacha mkeo aliyepata mwanaume mwingine utaambiwa kistaarabu kakae na mwenzako mmalizane, ukishindwa kumshawishi kuna nguvu tofauti na wewe itavunja hiyo ndoa.

Yanga wameambiwa nendeni kamalizaneni na Fei. Ni suala la kumshawishi Fei, wakishindwa huo mkataba utavunjika tu.
Iwe ni CAS, Fei kuamua hachezi tena mpira au Raisi kuingilia ila mkataba utavunjika.
 
Nimeona wapambe wa fei toto wakifuraishwa sana na kauli ya Rais Samia juu ya kuiomba Yanga kumalizana Fei.

Nimeona baadhi ya wasioelewa wala kutambua hili jambo lipo kiutaratibu zaidi na sio kihisia wala kimihemko.

Ndiyo maana hata Rais katumia kauli ya kuomba na sio Amri akijua fika kuwa masuala ya soka ayaingiliwi kivyovyote na mambo ya kisiasa.

Na fei mwenyewe ndiye mwenye uwezo wa kulihitimisha ili jambo kwa kufuata utaratibu, sheria na kanuni za kimkataba aliousaini na sio vinginevyo.

Asitegemee kwamba ataachwa tu bure aondoke eti kwa kuwa Rais kasema iyo kitu aitokaa itokee.

Bahati nzuri yeye mwenyewe keshatamka hana tatizo lolote na Yanga wala mkataba wake.

Basi yeye mwenyewe ndiye anayeonekana ana ukorofi achutame kwa kufata utaratibu, na utaratibu ni kwenda pale yanga wamtajie dau wanalotaka kwa timu yoyote inayomuitaji iweke mpunga mezani aondoke zake.

Jambo analolazimisha kwamba aachwe tu bure kama anavyotaka yeye na wapambe wake waliomrubuni ili wampate bwerere alitowezekana na atateseka sana.

Viongozi wa yanga wako very clear na Fei angekuwa smart kichwani hili jambo lingekuwa lilishakwisha kitambo sana, lakini jeuri yake na wapambe wake ndio vimemfikisha hapa.

Anajua keshayakoroga pakubwa ndiyo maana anaona ata aibu kwenda pale yanga anapakwepa kama ugonjwa wa ukoma, na awezi kulimaliza hili bila kuihusisha yanga ambao ndio mwajiri wake.

Kwa maana hiyo napenda kuwaeleza waliofurahia kauli ya Rais ya kwamba fei mwenyewe ndiye mwenye utashi wa kulimaliza hilo jambo lake kwa kufata utaratibu na sio yanga.

Yanga wameshampa option 3 za kufata ili aondoke ivyo ni juu yake kusuka ama kunyoa itifaki inazingatiwa.
Rais amewaagiza Yanga, lakini Fei asitarajie Yanga wamfuate. Fei ndiye anapaswa kwenda Yanga, maana hakufukuzwa ni mtoro wakati ni mchezaji halali.

Fei na wapambe wake wasije wakajiona washindi, agizo la rais kwa Yanga ni kama amewaomba wamsikilize, wala hakua na maana ya kwamba wamuachie aondoke au wamlazimishe kubaki, bali wamalize mivutano.
So, Fei asivimbe kichwa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na mtoto Amesema kama bado wana mahaba naye,yule injinia uchwara raia wa Somalia,aondoke yanga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani patamuuu hapoooo.
 
Ukituzwa mpiga ngoja huwezi jichagulia wimbo wa kupiga mshatuzwa tulieni dawa iwaingie😂😂
 
Mpira ni taasisi yenye lugha yake, taratibu zake na sheria zake. Mpira ndio taasisi inayoruhusu mtu kuuzwa kwa mkataba fulani wa muda fulani kwa kiasi fulani. Hii inafanyika kwakuwa:

1. kila timu inataka wachezaji wazuri kuliko timu pinzani.

2. Wachezaji wazuri sio wengi sana kwenye jamii.

3. Kila timu inataka kushinda kwa gharama yoyote, haipendi kufungwa.

4. Mpira ni pesa, hivyo wachezaji ni pesa (bidhaa) pia.

Sababu hizi ndio zilizosababisha mpira ukawa na taasisi zake maalumu chini ya FIFA ambazo haziingiliwi na serikali na wanasiasa kwenye uendeshaji wake.

Ombi la Rais lazima liheshimiwe na Yanga na lazima litekelezwe kwa kufuata lugha na kanuni za kimpira kwakuwa utekelezaji wake utaacha alama, njia na utaratibu ambao utatumika kutatua matatizo mengine yajayo nchini yatayofanana na hili la Fei Toto na Yanga.

Ukweli ni kwamba Fei Toto:
1. Anatakiwa na timu nyingine ambayo haitakii kujitokeza wazi. Hiki ni kinyume.

2. Fei Toto ana mkataba mbichi na Yanga.

3. Fei Toto anataka kuvunja mkataba kwa unilaterally, kinyume na taratibu za mpira.

Swali hapa ni njia itakayotumiwa na Yanga kumaliza mgogoro na katoto Fei Toto itatoa SoMo gani kwa wachezaji wengine Yanga na timu nyingine nchini?

Je, njia hiyo inaweza kutumiwa tena kumaliza mgogoro mwingine unaofanana na huo kama ukijitokeza?

Soma:
- Rais Samia: Sifurahii Mgogoro wa Yanga na Feitoto. Nataka umalizike
yatamalizwa km raisi anavyotaka ila kwa taratibu zinavyotaka
 
yatamalizwa km raisi anavyotaka ila kwa taratibu zinavyotaka
Raisi anataka Fei acheze mpira.
Na Fei hataki kuichezea Yanga kama Injinia atakuwepo Yanga.

Kama kufuata taratibu kwanini nyie hamtaki kufuata taratibu za Ardhi ili kupata Ardhi zaidi hapo Jangwani ?

Kanuni za kupata Ardhi hamzijui hadi mumuombe Raisi kwa Maneno ?

Fuateni taratibu za kupata Ardhi.

Mwacheni Fei acheze anakutana au mwondoeni injinia ili kijana arudi Jangwani.
 
Back
Top Bottom