Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
He had his time, now yuko bench. Bado kuna raia wengine potential why urudishe hao hao?Sahau yaliyopita, , kama kuna mahali alikukosea huko nyuma,msamehe, ni mtendaji mzuri. Wizara ya ardhi aliimudu sana na mafanikio makubwa
Kwanini wote wa dini ileWizara ya Ardhi 2020-2024-Lukuvi, Angelina Mabula-Jerry Silaa-Ndejembi
Ni vigumu Sana kurudishwa ktk Wizara hiyo.Sahau yaliyopita, , kama kuna mahali alikukosea huko nyuma,msamehe, ni mtendaji mzuri. Wizara ya ardhi aliimudu sana na mafanikio makubwa
Vijana hawajawahi kufanya lolote duniani.Wazee wastaafu, huko Ikulu pana mtosha aendelee kumshauri rais, waandaliwe vijana.
sasa wa Msoga si watathibitiwa as long as huwaonei. kama unafanya kazi kwa haki, huna sababu ya kuwaogopa.Ni vigumu Sana kurudishwa ktk Wizara hiyo.
Lukuvi alikuwa mtu mzuri kwa Wananchi wa kawaida, lakini alikuwa mtu mbaya sana kwa 'wale jamaa wa msoga gang' kwani alikuwa anaathiri Sana maslahi yao binafsi.
Kumbukeni; Hao watu ambao Wananchi wa kawaida wanawatambua kuwa ni matapeli au majambazi wa Ardhi, baadhi yao ni 'mawakala wa umiliki wa Ardhi za wakubwa.' 'Wakubwa' wanawatumia hao ktk kumiliki hizo Ardhi, ukiwanyang'anya Ardhi hao 'matapeli wa Ardhi' maana yake umewanyang'anya Ardhi hao wakubwa wanaowawakilisha.
Naomba kuuliza, Hivi sakata la Lugumi liliishia wapi vile?????? Naomba mnijuze.
potential ni kama akina Sl;aa, leo wametumbuliwaHe had his time, now yuko bench. Bado kuna raia wengine potential why urudishe hao hao?
Sahau yaliyopita, , kama kuna mahali alikukosea huko nyuma,msamehe, ni mtendaji mzuri. Wizara ya ardhi aliimudu sana na mafanikio makubwa
Ndio waandaliwe sasa ili waweze kufanya lolote duniani.Vijana hawajawahi kufanya lolote duniani.
Lukuvi wa nini? Ana jipya gani? Huyu ni MNAFIKI kwa capital letters, muache tu amalizie ubunge wake wa Ismani maana mwaka 2025 HATOBOISahau yaliyopita, , kama kuna mahali alikukosea huko nyuma,msamehe, ni mtendaji mzuri. Wizara ya ardhi aliimudu sana na mafanikio makubwa
Sahau yaliyopita, , kama kuna mahali alikukosea huko nyuma,msamehe, ni mtendaji mzuri. Wizara ya ardhi aliimudu sana na mafanikio makubwa
Sahau yaliyopita, , kama kuna mahali alikukosea huko nyuma,msamehe, ni mtendaji mzuri. Wizara ya ardhi aliimudu sana na mafanikio makubwa
Ccm kama watahitaji uungwaji mkono wa kweli wanahitaji kumrudisha jerry slaa kwenye wizara ya ardhi.
Huwa tunajiuliza sana reasoning yetu wakati mwingine mtu anatatua migogoro ya ardhi walioshindwa mawaziri wote.
Sijawahi kumsikia angelina mabula katatua mgogoro wowote zaidi ya kuchaguliwa na magufuli kutokana na kabila lake. Na amejimilikisha viwanja pale Kawe beach club karibu na nyumba ya raisi wa znz maeneo ya Tanganyika packers ahkuna alama yotote alioacha