Uchaguzi 2020 Ombi: Tume ya Uchaguzi tunataka mdahalo wa Wagombea Urais

feyzal

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2016
Posts
7,683
Reaction score
15,128
Wakuu habari za jioni poleni kwa kutafuta na mihangaiko ya kutwa nzima. Mimi sina mengi ila nina imani humu kuna watumishi wa tume ya uchaguzi basi wafikishe salamu hizi, tunaomba mdahalo wa wagombea wote watakaoteuliwa kugombe Urais kuanzia, CCM, CHADEMA , ACT - Wazalendo nk ili tuwapime kwa hoja zao tuulize maswali yetu wakiwa pamoja kwenye ukumbi mmoja tupate mgombea ambaye ni cream ili wanachi tuchague Rais makini ambaye atatavusha kwenye umaskini tulionao na kuweka sera zinazotekelezeka kwa weledi na maarifa yaliyotukuka.

Nawasilisha.





 
2010 upinzani walitaka mdahalo,2015 Ukawa (CHADEMA,NCCR,CUF) na CCM walikukataa mdahalo,ACT walikubali (sijui kwa nini?),2020 wanataka tena mdahalo.Siasa za Tz hazina tofauti na komedi......walicho kikataa juzi wanakikubali leo,sasa unajiuliza kwa nini juzi walikataa.
 
Tume haijawahi kulazimisha uwepo wa mdaharo huru. Siasa za bongo zina ujinga mtupu ndani yake. 2015 ni Chadema waliokimbia mdaharo coz walijua mgombea wao hawezi kujieleza hata kwa dakika 10 tu, this time ndio mnajifanya mko moto na midaharo.
Kila chama kifanye kampeni kwa style yake
 
Boss sijawasemea Chadema hapo na wala chadema hawajanituma mimi nimesemelea mtazamo wa wengi hasa mahala nilipo...

TUNATAKA MDAHALO HURU ILI KUWAPIMA WAGOMBEA WETU
 
Wewe ndiyo comedian, kwani hujui mambo hubadirika?
 
Mwaka huu mgombea wenu dhaifu nini!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…