Hiyo haitakaa itokee, na Kama itatokea . Mdahalo uwe Kisukuma maana Magufuli hajui Kiswahili wala Kiingereza fasaha.
Ni masaa mawili tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo haitakaa itokee, na Kama itatokea . Mdahalo uwe Kisukuma maana Magufuli hajui Kiswahili wala Kiingereza fasaha.
Dawa ya Magu imepatikana ataimeza kwa kadri madactari watakavyoona Kipenga hakijapulizwa ana kipingamizi.... alreadyHiyo haitakaa itokee, na Kama itatokea . Mdahalo uwe Kisukuma maana Magufuli hajui Kiswahili wala Kiingereza fasaha.
Sky is not a limit any more there is a footprint on the moonDawa ya Magu imepatikana ataimeza kwa kadri madactari watakavyoona Kipenga hakijapulizwa ana kipingamizi.... already
Mwaka 2010 na 2015 kulikuwa na midahalo mingapi? Halafu kukiwa na mdahalao huo, nina wasiwasi Lissu ataumia sana kwa sababu yeye atakwenda kuzungumza kwa hasira dhidi ya Magufuli ambaye amekuwa anamshmabulia kwenye vyombo vya habari vya nje kwa muda mrefu sasa.
Statement zake nyingi huwa ni za kuropoka na wakati mwingi huwa hazina ushahidi. Magufuli atakwenda pale akiwa na takwimu zote kichwani pamoja na vifungu vya sheria vinavyotawala maamuzi yote aliyowahi kufanya halafu na kusisitiza kwa uchungu kuwa hiyo ni kwa ajili ya watanzania maskini wa kawaida, maneno ambayo yanaweza kuwa na effect sana kwa wapiga kura kuliko maneno ya kinadharaia ya kwamba et i"nitajenga demokrasia ya kweli" au kuuliza kwa "nini kamera zilizimwa"
Wakati mwingine kuwa makini na lile uliombalo. Anayeweza kujenga mdahalo mzuri labda ni Mbowe tu; hata Zitto pia huwa hawezi.
Magufuli hawezi kutamuka hata jina la Tundu Lissu tu, sembuse mdahalo!
Anamaanisha mdahaloMajadiliano ya nini?
Hiyo ni kuchukulia kama vile naye siku hiyo ya mjadala hatajiandaa, na debate yenyewe itakuwa ya kupashana bila kuwa na modereta. Kwa debate kamili unaweza kushangaa mtu akarukwa na akili kwa nini aliomba debate hiyo. Debate siyo kama setting ya mahakamani bali ni setting ambayo kuna modereta anachunga muda na mada inayoongelewa. Huwezi kuleta mada yako ambayo haiko kwenye ratiba ya modereta ukalazimisha izungunguzwe...Jpm kumbukumbu zake siku hizo siyo sharp kama wakati alipokuwa waziri.
..pia Jpm anajua sheria mbili tu, sheria ya ardhi, na sheria ya barabara.
..zaidi, Jpm amezoea kuzungumza peke yake, hajazoea na hapendi kuwa challenged.
1. Hamna haja wala umuhimuwa mdjadala, kwakua hamna la kujadili, Rais Mgufuli aliyoyafanya katik utawala wake yanaonekana na kila mtu, wala haitaji kushawishi umma juuya ubora wa uongozi wake.Nashauri Magufuli ndiye awe wa Kwanza kuomba debate na Lissu. Ifanyike U Dom. Hii itakuwa nafasi nzuri kueleza mafanikio yako, mipango yako na kulinganisha.
Lakini Siasa za wimbo wa taifa. Kununua kuku, kununua mahindi na kusalimia kwa makabila tofauti haitoshi. Watanzania wamemsikiliza Lissu akiwaeleza watu uraisi wa kifalme kwa umakini hata CCM walikuwa hawajui mengine.
Sasa Magufuli uwe jasiri usiogope majadiliano na wewe ni mbishi mzuri tu. Huwezi kutegemea unyanyasaji pekee kwenye historian yako muhula wa mwisho huu. Una PHD na itakuwa kwa kiswahili uoga wa nini?
Lissu sio Lowassa ana nyota kweli kweli usije kituachia historia yako ikawa ni unyanyasaji pekee