Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Uzuri wenyewe JPM ni akili kubwa sana, yeye hakuna anaye weza kumtoa katika ile ahadi yake kuu. "Mniamini Watanzania Sitawaangusha" Na kweli hajawaangusha katika utendaji wake. Yuko focused sana haruhusu kelele za chura zimzuie kutimiza malengo yake.
Mabeberu wamejitahidi kumprovoke yeye kawapotezea, mpaka ikibidi sana ndio atawajibu. Moja ya maelekezo Lissu aliyo pewa huko alipotoka ni kuhakikisha anamchokoza JPM na serikali kwa namna yeyote ile.
Lakini mwenyewe JPM kaelewa na ameliona hili tayari. Pamoja na maneno ya Lissu ya kutaka kuumuzi JPM kwa kila namna ili aseme chechote so far kaambulia patupu.
JPM ni muumini wa ile kauli ya matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno.