Ommy Dimpoz amkana baba yake

Tafadhali badilisha usemi wako,inamaana sisi madereva bodaboda hatuna maana si ndio...!
 
Naomba kueleweshwa...Ommy kasema ana wadogo zake wawili ...Huyu Mzee aliwatelekeza wote ...je hao wawili wote Baba Yao huyu Mzee?

Aliwatelekeza wote watatu?how?...
 
Mkuu inaonekana upo biased,

Ingawa ommy anachofanya binafsi naona siyo sahihi, lakini at least tuwe balanced na kuheshimu uamuzi wake.

Ommy alichosema baada ya mama yake kufariki, mzee alimkatia line na hakutaka kubeba jukumu la malezi, sasa hapa mwanamke anahusikaje?
 
Mkuu kwa muda huu jipange dogo akianza shule komaa wewe ndio ulipe ada kwa namna yoyote ile.Ukikwepa na hapo huyo mtoto umemkosa.
 
kuna huyu halafu kuna na yule mwingine wa tandale[emoji1][emoji1]

yaani hawa pamoja na kutoboa maisha kwa hatua fulani bado roho zao zimejaa magadi.

mimi ninavyojua tajiri hana kisirani,hawa ndugu zetu bado hali ni tia maji tia maji.
 
Sawa mama alizingua, alipokufa jee alishindwa hata kutokea mara moja moja kinafki? [emoji849] wanaume bana basi na sisi kina mama mkizingua tukatupe hawa viumbe.. Me naona ommy yuko Sawa kabisa iwe mama ndo ana makosa au baba yeye haimuhusu, sasa watu hamna connection yeyote unapata wap nguvu za kujishobokesha. Huyu baba apambane na hali yake ahesabu kama alipiga puchu bao la ommy
 
We unajua Mama ake Ommy alimuumiza kias gan huyo mzee kias cha kuamua kutengana nae? Au unajua familia ya Mwanamke ilimtreat vipi Baba ake Ommy kipind cha uhai wa bint yao? Ukiamua kuhukun kwa hoja za ya kale basi tafuta kujua vzuri kuhusu pande zote mbili.
 
Umshawahi fanya utafiti kujua watoto wangapi waliotelekezwa walitoboa maisha baada ya Ku_hussle na wangapi walifeli kabisa!? Unaonaje na wewe uwatelekeze wanao ili watoboe!?
 
kuna huyu halafu kuna na yule mwingine wa tandale[emoji1][emoji1]

yaani hawa pamoja na kutoboa maisha kwa hatua fulani bado roho zao zimejaa magadi.

mimi ninavyojua tajiri hana kisirani,hawa ndugu zetu bado hali ni tia maji tia maji.
Seriouz, Aliefanikiwa anakunjua moyo kila angle ili furaha iingie. Ukiona mtu ana kinyongo basi hali mbaya anaogopa Mizigo[emoji1787]
 
Umshawahi fanya utafiti kujua watoto wangapi waliotelekezwa walitoboa maisha baada ya Ku_hussle na wangapi walifeli kabisa!? Unaonaje na wewe uwatelekeze wanao ili watoboe!?
Siwezi telekeza damu yangu katu,thus niliamua kutozaa hovyo kama dume la nyani.
 
Naomba kueleweshwa...Ommy kasema ana wadogo zake wawili ...Huyu Mzee aliwatelekeza wote ...je hao wawili wote Baba Yao huyu Mzee?

Aliwatelekeza wote watatu?how?...
Kuna sehemu anasema huyo mshua alikuwa wa kufikia.... Pengine hao madogo wawili wengine walikuwa ni hivohivo pia ndiyo maana mzee akawa-delete tu
 
Naomba kueleweshwa...Ommy kasema ana wadogo zake wawili ...Huyu Mzee aliwatelekeza wote ...je hao wawili wote Baba Yao huyu Mzee?

Aliwatelekeza wote watatu?how?...

Labda kama mama yake alizaa watoto wengine na mwanaume mwingine maana jamaa ni wa 14 kwa mzee wake na last born wa 15 mzee ni kama nae hakuwa na habari nae
 
Wanaume tusiwatelekeza watoto japo wanawake ni mabingwa wa kuwalisha sumu anaweza akakuwekea block ya kuonana na mtoto ugomvi wenu wao ukosea uwashirikisha watoto.
Wanawake kwa figisu za kumbania mtu asiweze kumuona mtoto wake huwa hawajambo.
 
[emoji106][emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…