stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,216
- 26,225
Tafadhali badilisha usemi wako,inamaana sisi madereva bodaboda hatuna maana si ndio...!Sema watu utazama zaidi negativity, hivi kwa mfano mzazi alikutelekeza then ukalazimika ukapambana na hadi ukatoboa kwa hasira, Mimi binafsi kama positive man lazima nikurespect mzazi kwamba kunitelekeza kwako ndipo kumenifanya nifanikiwe, maana ungenilea vyema nisingekaza ningekuwa labda bodaboda, dereva au muajiriwa fulani masikini hivi.
So dimpos, diamond, Elon musk, luck dube wawashukuru baba zao kutokuwa karibu nao kumewafanya watoboe.