Ommy Dimpoz ajibu kuhusu tuhuma za yeye kuitwa Chakula (Shoga) na Dudu Baya

Ommy Dimpoz ajibu kuhusu tuhuma za yeye kuitwa Chakula (Shoga) na Dudu Baya

cocastic

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2019
Posts
123,324
Reaction score
202,767
Msanii wa Bongo Flava maarufu km Ommy Dimpoz amejibu kuhusu sakata la yeye kutuhumiwa ni shoga, na msanii mwenzake wa music wa zamani Dudu baya, wakati wakiwa kwenye tamasha la miaka 30 ya Bongo flava huko Arusha.

Ommy Dimpoz amejibu kupitia IG yake, na ujumbe huo unasomeka km hivyo hapo chini. Binafsi nilitamani huyu Dudubaya achukuliwe hatua kali za kisheria, ila Dimpoz kaamua kuchagua amani zaidi. Basi sawa.

Ila huyu Mzee apelekwe milembe hayuko sawa kiakili, anahitaji kuwa sober ili aondokane na hilo tatizo lake.
Screenshot_20260920-144518_1.jpg
 
Yaani niitwe ***** wakati sio halafu nimwachie Mungu?? Haipo hiyo, huyo dudubaya siju dudubwege angenitangaza hadharani alinichokoa lini na wapi, vinginevyo mimi ndio ningemchokoa yeye kwa mbinu yoyote na kumtangaza hadharani. Kuna tuhuma za kumezea ila sio za kuchokolewa, HUYO DIMPOZ ATAKUWA ***** KWELI NDIO MANA AMEAMUA KUMWACHIA MUNGU WAKATI HII ISHU NI YA KISHETANI
 
Izo skendo za omari kuwa chakula zimesemwa kitambo na watu tofauti. Nachoamini mwanaume rijali akiambiwa yeye ni ***** hiyo vita yake hapo hiroshima na nagasaki kuna afadhali. Mtukane, mkashifu neno lolote ila sio rijali umwambie *****. Ata hivyo omari kitambo anapotezea sana hii kashfa anaejua kwanini ni yeye mwenyewe.
 
Mwanamuziki maarufu nchini Tanzania, Ommy Dimpoz, amejibu rasmi tuhuma na maneno ya kashfa yaliyotolewa dhidi yake na msanii mwenzake Godfrey Tumaini, maarufu kama Dudu Baya, aliyemwita "chakula" (mshoga).

Ommy Dimpoz ameeleza kuwa hana mpango wa kuchukua hatua yoyote ya kisheria au ya kulipiza kisasi, badala yake amechagua kumwachia Mungu na kumsamehe.

Kauli hiyo imekuja kupitia mahojiano maalum ambapo Ommy Dimpoz alifunguka kuhusu namna anavyokabiliana na kashfa hizo zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii. Akifafanua mtazamo wake, msanii huyo alieleza kuwa jamii mara nyingi imekuwa ikiwazingizia watu mambo yasiyo ya kweli, kama vile kuwaita wizi au malaya na wahusika kushindwa kujitakasa, hivyo kuamua kuendelea na maisha yao.

Ommy Dimpoz alibainisha kuwa anamchukulia Dudu Baya kama kaka yake mkubwa na mmoja wa wasanii waliomshawishi kuingia kwenye tasnia ya muziki. Hata hivyo, alieleza kuwa Dudu Baya amechagua njia ya kutafuta umaarufu kwa kuwasengenya na kuwazungumzia wengine vibaya mtandaoni.

"Mimi sina cha kumfanya Dudu Baya kwa sababu anayenijua mimi kiundani ni Mungu tu. Yeye amechagua hayo maisha ya kuzungumzia watu kwa ubaya ili aweze kutrend," alisema Ommy Dimpoz, akiongeza kuwa anamwombea Msamaha kwa Mungu na ataendelea kuangazia maisha na kazi zake za muziki bila kuingizwa kwenye migogoro.
1789906674009.png
 
Izo skendo za omari kuwa chakula zimesemwa kitambo na watu tofauti. Nachoamini mwanaume rijali akiambiwa yeye ni ***** hiyo vita yake hapo hiroshima na nagasaki kuna afadhali. Mtukane, mkashifu neno lolote ila sio rijali umwambie *****. Ata hivyo omari kitambo anapotezea sana hii kashfa anaejua kwanini ni yeye mwenyewe.
Kama hujawahi kuwa maarufu au mtu flani ambaye watu wanamuangalia sana au kumuheshimu sana hata kwa level za shule. Huwezi ielewa reaction ya ommy

Ukiachana na dudu baya, kila siku watu wananuongelea kwa issue hiyo hiyo pasipo ushahidi. Je, atagombana na wangapi?..

Sometimes ukimya ni jibu tosha
 
Back
Top Bottom