Ommy Dimpoz ajibu kuhusu tuhuma za yeye kuitwa Chakula (Shoga) na Dudu Baya

Sitetei masulala ya mapunga (kama kweli), lakini huyo Dudubaya ni wazi ana mental issue. Na waandaaji wa hiyo shoo, wanamuogopa huyo bwana.
Hatakiwi kuwepo kwenye shoo kwa attitude yake hiyo ya kugombana na kila mtu.

Huwezi mtu mmoja ukawa na ugomvi na kila mtu! Kuna shida mahali.
 
Ukiachana na dudu baya, kila siku watu wananuongelea kwa issue hiyo hiyo pasipo ushahidi. Je, atagombana na wangapi?..

Sometimes ukimya ni jibu tosha
Kwanini wamuongelee yeye tu kila siku ana nini?kwanini wasiwe wenzake hata iwe kwake tu?

Yumkini hao wanaomsema hawajawahi kuitwa kuwasilisha ushahidi kama jamaa kweli shoga that's why jamaa nae anakaa kimya labda anajua kuna watu wanajua wakiambiwa wapeleke ushahidi watapeleka adhalilike.
 
Acheni Dudu Baya awapunguze speed...

Hao kina uncle T na wenzie kuna muda walikuwa wengi mtandaoni, na wanajivunia ...

Kwanza mwanaume unajiitaje Dimpoz?
Yani unajisifia una Dimpoz...
Kuna ukweli ndani yake jamaa ame left...

Kuna tuhuma ukipewa hata nguvu za kupinga unakosa, cause unaelewa watu wanafahamu tabia yako.... Tena wengi
 
Msanii wa Bongo Flava maarufu km Ommy Dimpoz amejibu kuhusu sakata la yeye kutuhumiwa ni shoga, na msanii mwenzake wa music wa zamani Dudu baya, wakati wakiwa kwenye tamasha la miaka 30 ya Bongo flava huko Arusha.

Ommy Dimpoz amejibu kupitia IG yake, na ujumbe huo unasomeka km hivyo hapo chini. Binafsi nilitamani huyu Dudubaya achukuliwe hatua kali za kisheria, ila Dimpoz kaamua kuchagua amani zaidi. Basi sawa.

Ila huyu Mzee apelekwe milembe hayuko sawa kiakili, anahitaji kuwa sober ili aondokane na hilo tatizo lake.View attachment 3674402
Mapunga yakiteteana ...
 
Sitetei masulala ya mapunga (kama kweli), lakini huyo Dudubaya ni wazi ana mental issue. Na waandaaji wa hiyo shoo, wanamuogopa huyo bwana.
Hatakiwi kuwepo kwenye shoo kwa attitude yake hiyo ya kugombana na kila mtu.

Huwezi mtu mmoja ukawa na ugomvi na kila mtu! Kuna shida mahali.
Dudu Baya hana mental issue yeyote..
Huyo chawa Dimpoz ndio alitukana Watanzania akiwa yeye na wenzake kina Diamond wakiwa kwenye gari...

Acha Dudu Baya awapelekee moto tu hao washenzi...
 
Kama hujawahi kuwa maarufu au mtu flani ambaye watu wanamuangalia sana au kumuheshimu sana hata kwa level za shule. Huwezi ielewa reaction ya ommy

Ukiachana na dudu baya, kila siku watu wananuongelea kwa issue hiyo hiyo pasipo ushahidi. Je, atagombana na wangapi?..

Sometimes ukimya ni jibu tosha
Kila siku usemwe
 
1789220719288.png
... 24/7 .................................. !
 
Kwanini wamuongelee yeye tu kila siku ana nini?kwanini wasiwe wenzake hata iwe kwake tu?

Yumkini hao wanaomsema hawajawahi kuitwa kuwasilisha ushahidi kama jamaa kweli shoga that's why jamaa nae anakaa kimya labda anajua kuna watu wanajua wakiambiwa wapeleke ushahidi watapeleka adhalilike.
Kibongo bongo uwe maarufu, hujaoa, huna mtoto na watu hawakuoni na mahusiano yoyote public. Lazma watu wakuwazie

Hata hivyo nilimjibu generally mkuu, kusingiziwa na kushtumiwa ni sehemu ya umaarufu. Kama huwezi kuyastahimili usiingie kwenye ustar.
 
Msanii wa Bongo Flava maarufu km Ommy Dimpoz amejibu kuhusu sakata la yeye kutuhumiwa ni shoga, na msanii mwenzake wa music wa zamani Dudu baya, wakati wakiwa kwenye tamasha la miaka 30 ya Bongo flava huko Arusha.

Ommy Dimpoz amejibu kupitia IG yake, na ujumbe huo unasomeka km hivyo hapo chini. Binafsi nilitamani huyu Dudubaya achukuliwe hatua kali za kisheria, ila Dimpoz kaamua kuchagua amani zaidi. Basi sawa.

Ila huyu Mzee apelekwe milembe hayuko sawa kiakili, anahitaji kuwa sober ili aondokane na hilo tatizo lake.View attachment 3674402
Bwabwa upendi dudu baya aongee ukweli!
 
Back
Top Bottom