Ommy Dimpoz ajibu kuhusu tuhuma za yeye kuitwa Chakula (Shoga) na Dudu Baya

Ommy Dimpoz ajibu kuhusu tuhuma za yeye kuitwa Chakula (Shoga) na Dudu Baya

Msanii wa Bongo Flava maarufu km Ommy Dimpoz amejibu kuhusu sakata la yeye kutuhumiwa ni shoga, na msanii mwenzake wa music wa zamani Dudu baya, wakati wakiwa kwenye tamasha la miaka 30 ya Bongo flava huko Arusha.

Ommy Dimpoz amejibu kupitia IG yake, na ujumbe huo unasomeka km hivyo hapo chini. Binafsi nilitamani huyu Dudubaya achukuliwe hatua kali za kisheria, ila Dimpoz kaamua kuchagua amani zaidi. Basi sawa.

Ila huyu Mzee apelekwe milembe hayuko sawa kiakili, anahitaji kuwa sober ili aondokane na hilo tatizo lake.View attachment 3674402
Hii kesi ngumu
 
Yaani niitwe ***** wakati sio halafu nimwachie Mungu?? Haipo hiyo, huyo dudubaya siju dudubwege angenitangaza hadharani alinichokoa lini na wapi, vinginevyo mimi ndio ningemchokoa yeye kwa mbinu yoyote na kumtangaza hadharani. Kuna tuhuma za kumezea ila sio za kuchokolewa, HUYO DIMPOZ ATAKUWA ***** KWELI NDIO MANA AMEAMUA KUMWACHIA MUNGU WAKATI HII ISHU NI YA KISHETANI
....
 
Acheni Dudu Baya awapunguze speed...

Hao kina uncle T na wenzie kuna muda walikuwa wengi mtandaoni, na wanajivunia ...

Kwanza mwanaume unajiitaje Dimpoz?
Yani unajisifia una Dimpoz...
Kuna ukweli ndani yake jamaa ame left...

Kuna tuhuma ukipewa hata nguvu za kupinga unakosa, cause unaelewa watu wanafahamu tabia yako.... Tena wengi
We jamaa pamoja na kuwa mfuasi wa muziki unakua Lishamba kiasi hicho kuweza ku box artist kisa anatumia jina hilo kama artist card?

Dudu baya ni mjinga maana anasambaza kitu asicho jua. Infact mbona miaka anatamba hakuwa mnamuita Dimpoz katika muktadha huo?

Wabongo ni watu wajinga sana maana huwa wanafata mikumbo tu. Lakini pia wasanii na wao huwa wanapenda maisha ya kuigiza sana mpaka watu wanaanza kuwastukia
 
Kwanza mie nashangaa, Show ni kwa ajili ya performance ya Wanamuziki wa zamani, tena inakuaje Mtu kupewa nafasi ya kuchafua watu? Maajabu haya na show zenu
 
Hiyo vita hawezi kushinda, mshaurini huyo Ambazo wenu aachane nayo.

Yesu mwenyewe ilimshinda,
Aliikuta akaiacha.

Huyo mnayemwita Mungu alichoma sodoma na gomora ili amalize kizazi kichafu lakini ilimshinda na sijui hii specie nyingine ilitoka wapi tena
Alipoianza hakutuomba ushauri, iwe alikurupuka au alijipanga, anafahamu yeye.

Ila kwa hii milio inayotoka sehemu nyingi, inaonesha Dudubaya yuko kwenye njia sahihi, ni kuendelea kukaza tu. Machoko hawatakiwi.
 
Kwanza mie nashangaa, Show ni kwa ajili ya performance ya Wanamuziki wa zamani, tena inakuaje Mtu kupewa nafasi ya kuchafua watu? Maajabu haya na show zenu
Dimpoz alienda kufanya nini kwenye show ya wasanii wa zamani?

Kwa maoni yangu, yeye ndiye aliye chafua hali ya hewa.
 
Izo skendo za omari kuwa chakula zimesemwa kitambo na watu tofauti. Nachoamini mwanaume rijali akiambiwa yeye ni ***** hiyo vita yake hapo hiroshima na nagasaki kuna afadhali. Mtukane, mkashifu neno lolote ila sio rijali umwambie *****. Ata hivyo omari kitambo anapotezea sana hii kashfa anaejua kwanini ni yeye mwenyewe.
Vita na kichaa ni usengerema wa Hali ya juu

Dudubaya is sick , is mental, is violent and hajitambui

He should be banned for life

Kijana amehandle vizuri
 
Back
Top Bottom