Ommy Dimpoz ajibu kuhusu tuhuma za yeye kuitwa Chakula (Shoga) na Dudu Baya

Ommy Dimpoz ajibu kuhusu tuhuma za yeye kuitwa Chakula (Shoga) na Dudu Baya

Ni leo tuu sitaki kubishana....😆😆
Basi sawa.

Nitakukumbusha tena siku nyingine "leo vipi?" 😂😂😂

Maana nilishaanza kuwa disappointed.

Kuna watu wanapenda kubishana kama ubwabwa wa shughuli. Tena wanakuja na ndizi kabisa, kama hutaki kubishana wanakukumbusha.
 
Yaani niitwe ***** wakati sio halafu nimwachie Mungu?? Haipo hiyo, huyo dudubaya siju dudubwege angenitangaza hadharani alinichokoa lini na wapi, vinginevyo mimi ndio ningemchokoa yeye kwa mbinu yoyote na kumtangaza hadharani. Kuna tuhuma za kumezea ila sio za kuchokolewa, HUYO DIMPOZ ATAKUWA ***** KWELI NDIO MANA AMEAMUA KUMWACHIA MUNGU WAKATI HII ISHU NI YA KISHETANI
Umemuita *****, kwa logic yako unataka aje akuchokoe.
 
Kuna watu wanashauri Dudubaya asiwe anapewa airtime ku-perform kwenye hilo tamasha

Mmewahi kujiuliza, labda Dudubaya anatumika kuli-trendisha hilo tamasha je

Biashara lazima uwe mbunifu, akina Diamond wenyewe huwa wanatengeneza scandal kwamba wameachana na Zuchu ama sijui amerudiana na Zari n.k

NB: Hivi unawezaje kusema Dimpoz ni shoga bila kuwa na ushahidi naye

Na ushahidi unaweza kuwa wa aina mbili, kumlala, ama kuona akilalwa

Sasa hayo tumuachie Dudubaya mwenyewe
 
Ommy kagoma kulipa kiki saafii kabisa..!!

Ni muda sasa apumzishwe kwenye hizo show za Chaka 2 Chaka akaendelee kunywa visungura na vinyuki huko vilabuni..!!
😂😂😂
 
Nae huyo Omy anayataka mwenyewe...wenzie cycle yake yote wameoa au wana mademu lakini yeye hakunaa...si aoe? Au basi azalishe binti chap kwa haraka
Hawa wanao oa wenyewe kila siku wana achika, km hoja ndio kuto oa au kuwa na mtoto basi ni hoja dhaifu. Labda kuwe na hoja nyingine.
 
Nae huyo Omy anayataka mwenyewe...wenzie cycle yake yote wameoa au wana mademu lakini yeye hakunaa...si aoe? Au basi azalishe binti chap kwa haraka
Usimpangie mtu Maisha aisee, aoe au asioe inamuumiza Nini mtu mwingine?
 
Nae huyo Omy anayataka mwenyewe...wenzie cycle yake yote wameoa au wana mademu lakini yeye hakunaa...si aoe? Au basi azalishe binti chap kwa haraka
Usimpangie mtu Maisha aisee, aoe au asioe inamuumiza Nini mtu mwingine?
 
Hakuna maisha ya mwanaume kuamua kukubali kupigwa mpini eti kusema kaamua,ni tamaa hawawezi kukaza kutafuta kwa jasho ndiyo maana wenye jicho kali wanawastukia wanawapa favor mwisho wanawapasua ngoma.

Mwanaume hawezi kuchagua kupigwa miti huo ni uwongo.
Kumbe huna unalolijua wewe, sasa mie nakuambia hapa, Nina rafiki angu ni Bottom, baba yake anafanya kazi idara ya Ardhi, na mama yake ni Daktari, yeye mwenyewe anafanya biashara, couz aliacha kusoma, yeye ndio anawahonga mabasha, tena amepanga chumba maalumu tofauti na anapoishi huwa ndio anakutania na hao wanaume wake, hana shida kabisa, na anahonga balaa.
 
Kuna watu wanatoka familia zenye uwezo mkubwa hawana shida na pesa na ni mashoga. Ukisema ushoga ni tamaa tu kwa sababu mtu hawezi kutafuta kwa jasho unajionesha huijui dunia tu. Yani unaangalia watu wa hapo kijijini kwako, halafu unahitimisha kuwa dunia nzima iko hivyo.

Hujui kuwa kuna wanaume wana pesa, wao wanawalipa watu wawapige miti. Hawana shida ya pesa, wana shida ya kupigwa miti tu.

Lakini pia, hata kama kweli mtu anafanya ushoga kwa tamaa tu, hataki kutafuta kwa jasho, tatizo liko wapi? Yani ni kwamba unamuonea wivu shoga anapata maisha bila kutafuta kwa jasho (kwa tafsiri yako, maana hata kupigwa miti kunaweza kuwa kazi ya kutoa jasho pia) kama wewe au vipi? Kama ni hivyo wewe pia hujakatazwa kuwa shoga.

Tatizo lako ni nini hasa mtu akiamua kuwa shoga katika maisha yake yeye mwenyewe ambayo hayakuhusu wewe?
Muambie huyo, anadhani kila msenge ana dhiki au shida, kunao wamezaliwa kwenye familia bora, na kunao ambao wamesoma na wana kazi zao, wao ndio wanawahonga mabasha.
Sijui anahisi kila msenge anadanga, khaaah
 
Hizi mentality za kizamani sana, za kijima sana, za kupangiana maisha sana.

Mtu kuoa au kutooa ni uamuzi wa binafsi.

Unasema azalishe kama vile unajua ana uwezo wa kuzalisha. Hili si suala given, kuna watu kibaiolojia hawana uwezo huo. Sisemi Ommy hana uwezo, ila hutakiwi kusema tu "azalishe" kama vile ni kitu ambavho kinawezekana tu.

Hebu fikiria mtu hana uwezo wa kuzalisha halafu anakusoma unamlaumu kuwa hajazalisha.

Au fikiria wewe hujazaa, kwa sababu huna uwezo huo, halafu mtu anakulaumu hujazaa.

Zaidi, hata kama anaweza, huo ni uamuzi wake, wewe huna haki ya kumpanhia namna ya kuishi. Na mtu kuamua kutozaa si sababu ya kunyanyapaliwa.

Pengine anajua yeye akizalisha hatakuwa baba mzuri, oengine ana ugonjwa wa kurithisha na hataki kuzalisha arithishe ugonjwa huo. Pengine hataki tu, ameona maisha ni kitu kibaya na hataki kumleta mtoto kwenye dunia hii ya mateso mengi, kufanya hivyo nibkukisa maadiki mazuri.

Hizo habari zote za aoe, awe na demu, ni ushamba na ujima tu.

Jamii yetu ina ushamba sana, watu hawaheshimu matakwa ya ntu binafsi, wanapenda sana kuishibkwa kuoangiana maisha.

Kama hataki kuzaa, hataki kuoa, hataki kuwa na demu, hata kama yeye ndiye anataka kuwa demu, kivyake. Ni haki yake, ni maisha yake.

Acheni kupangia watu maisha.
Ndio faida ya kuishi mambelee hii hapa.
Wazee mnaoishi mpwapwa, liwale na kaliua.
Mkuje kusoma hapa, hili somo liwaingie.
 
Kwanza hata kama shoga ushoga ni aina ya maisha tu mtu kaamua.

Kwani akiwa shoga wewe tatizo lako nini?

Kumshambulia mtu kwa sababu shoga inaonesha umeshindwa kufuatilia mambo yako unafuatiliaje maisha usiyoyapenda ya mashoga?

Yani wewe rijali usiye shoga badala ya kukaa na marijali wenzako mpange mipango ya kirijali, unawafuatiliaje mashoga? Unataka kuwabashia ujiunge nao kwenye ushoga?

Yani mashoga huwapendi halafu unawafuatilia ili iweje?

Ndiyo hapo wengine wanasema utakuwa unawapenda kwa siri tu.
Kwanza huyo ni mzinzi, na ana watoto haramu, halafu hataki watoto wake waitwe haramu.
MNAFIKI huyo achana nae.
 
Back
Top Bottom