HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,321
- 103,590
UONGOOmmy ana mtoto mmoja wa kiume.
UONGOOmmy ana mtoto mmoja wa kiume.
LazimaLazima kuzaa kumbe??
Calm down dear. Umeeleweka.
Sio lazimaLazima
This is sadismUONGO
Unazingia wewe dudu ana 36Unamuita mzee, lini kawa mzee? Mtu anachezea 36 ni kijana huyo
Jokat, wema, nkibaoNitajieni madem hata watano tu ambao wamewahi kudet na mzee wa poz kwa poz!
Wema, jokateWatano.... Mi nitajiwe wawili tu....
Wemahata mmoja basi wa kumsafisha ajitokeze
Kumzalisha mtu ni mpango wa mungu, alafu dimpoz ana mtoto, labda kama ilibatilishwa kipindi hicho nakumbuka sanNae huyo Omy anayataka mwenyewe...wenzie cycle yake yote wameoa au wana mademu lakini yeye hakunaa...si aoe? Au basi azalishe binti chap kwa haraka
Nitunuku basi tufufue mishonoNimestaafu.
36 ni umri wa kuitwa mzee?Unazingia wewe dudu ana 36
Sio kweli, yule ana 48 au 50+36 ni umri wa kuitwa mzee?
Yaani Mwendawazimu kachukua nguo zako ukiwa unaoga mtoni nawe unaamua kutoka uchi na kuanza kumkmbiza?.Yaani niitwe ***** wakati sio halafu nimwachie Mungu?? Haipo hiyo, huyo dudubaya siju dudubwege angenitangaza hadharani alinichokoa lini na wapi, vinginevyo mimi ndio ningemchokoa yeye kwa mbinu yoyote na kumtangaza hadharani. Kuna tuhuma za kumezea ila sio za kuchokolewa, HUYO DIMPOZ ATAKUWA ***** KWELI NDIO MANA AMEAMUA KUMWACHIA MUNGU WAKATI HII ISHU NI YA KISHETANI