KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,118
- 40,850
Suala la bwana mdogo mwenye vishimo mashavuni kuwa ni PUNGA halihitaji MICROSCOPE kuliona lipo wazi kwa kila mwenye utashi, utimamu wa afya ya akili na mwenye kusimama kwenye haki na sio kwenye unafiki....
Yeye kama ametuhumiwa kuwa ni PUNGA si aende mahakamani ili ikathibitike kuwa sio PUNGA na bwana CROCODILE atamlipa faini kubwa na jina lake litasafishika......
Nina hakika bwana Nyembo hawezi kwenda mahakamani maana watalazimika kutazama EKSOZI kama kweli imechezewa au la...na hapo ndipo itakapokuwa bayana kuwa MASEGA yamechezewa...
NB
Nilichogundua ni kwamba idadi ya MAPUNGA ni kubwa sana na wamejidhatiti vibaya Sana kwenye kuutetea UPUNGA WAO!!!